USAHIHI: UKAWA hawajagawana Majimbo

USAHIHI: UKAWA hawajagawana Majimbo

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,026
Reaction score
20,511
Leo kumezuka taarifa katika magazeti kuwa UKAWA wamegawana majimbo 211 na bado majumbo 18,

Taarifa hiyo sio ya kweli, ni taarifa yenye lengo la kupotosha umma na kudhalilisha umoja wetu wenye nia ya kumkomboa Mtanzania dhidi ya serikali hii dharimu.

Maadhimio ya wakuu wa Ukawa mwezi jana yalikuwa ni ya pamoja, ambayo ni Vyama vyote vitapendekeze/vitateua wagombea wao wa Urais ambapo CUF itampendekeza mgombea wake, CHADEMA itampendekeza mgombea wake, NLD itampendekeza mgombea wake na NCCR MAGEUZI itampendekeza mgombea wake pia,

Kisha wagombea wote watakutanishwa na kamati kuu/wajumbe wa mkutano mkuu wa vyama vyote kwapamoja watamchagua mgombea mmoja atakaye gombea kupitia UKAWA.

Vivyo hivyo kwenye ubunge, vyama vimeruhusu watia ni wao wajitokeze kuutangazia umma kuwania majimbo,

Hatua za kumpata mgombea wa jimbo kuputia UKAWA ni sawa na zilezile zinazotumika kumpata mgombea urais. Labda pale ambapo kuna ufuasi wa chama kimoja tu basi vyama vingine vitaunga mkono tu.

Sasa propaganda zinazoendelea zinatoka mtaa wa saba kwa majoka yenye makengeza, Makamanda kuweni makini msiyumbishwe na uzandiki huo wa ccm.

Wale mnaotia nia endeleeni kujitokeza katika majimbo kwakufuata miongozo ya vyama vyenu bila kusombwa na propaganda za ccm.
 
Unatuhakikishia vipi kuwa taarifa yako imebeba ukweli?
 
Muogope mtu yeyote ambaye anapenda CCM, hata km ni ndugu yako mjue kuwa ana roho ngumu, roho ya ukatili na roho ambayo haiwezi kutofautisha mema na mabaya.
HAWA watu wanaendeleza hila zao waendelee kuwatesa na kuwaua watanzania.
Mimi Siku hizi hata nikiwa kwenye bar kama mtu ni mpenzi wa CCM sina imani ya kumwachia bia yangu kwenda chooni. These people are evil.
 
Unatuhakikishia vipi kuwa taarifa yako imebeba ukweli?

Hivi wewe akili zako zipo wapi? Unajifanya umezeeka wakati ni juzi kati tu Twanga pepeta walikua wanakuimba wapi mamaa Mingoi.? Au wewe ndio Ash Bark nini?
 
Last edited by a moderator:
La uhakika ni kuwa ma jimbo yamesha gawanywa, wewe sio msemaji wa ukawa, hata hapa kuna wachangiaji walio karibu na viongozi wa vyama vinavyo ungana katika ukawa na wametuhakikishia huo mgawanyo.liko tatizo kati ya NCCR na cdm kwenye ma jimbo yao. Ndugu Yerico habari zako haziaminiki tena ile tabia ya copy past imekuvunjia heshima. One can never trust a culprit
 
Hivi wewe akili zako zipo wapi? Unajifanya umezeeka wakati ni juzi kati tu Twanga pepeta walikua wanakuimba wapi mamaa Mingoi.? Au wewe ndio Ash Bark nini?

Akili za kupe hizi
 
Last edited by a moderator:
Sasa huu uzi waliuleta hapa wa nini?
Uzi huu haukuletwa kwa ajili ya kushobokewa kijingajinga tu, ni maalumu kwa ajili ya kusahihisha upotoshaji wa Chama Cha Mafisi, majoka yenye makengeza yanayosaka hela haramu!
 
Uzi huu haukuletwa kwa ajili ya kushobokewa kijingajinga tu, ni maalumu kwa ajili ya kusahihisha upotoshaji wa Chama Cha Mafisi, majoka yenye makengeza yanayosaka hela haramu!

"Zitto is who"
 
Muogope mtu yeyote ambaye anapenda CCM, hata km ni ndugu yako mjue kuwa ana roho ngumu, roho ya ukatili na roho ambayo haiwezi kutofautisha mema na mabaya.
HAWA watu wanaendeleza hila zao waendelee kuwatesa na kuwaua watanzania.
Mimi Siku hizi hata nikiwa kwenye bar kama mtu ni mpenzi wa CCM sina imani ya kumwachia bia yangu kwenda chooni. These people are evil.

Halafu nimchekee mfuas wa CHAGADEMA? kilaza wee
 
kama wamegawana jee tayali wametangaza ?tusipelekeshane pasipo kuwa na ukweli.prapaganda ni mzuri wakati huu lkn ukweli ndio tunaoutaka zaidi.
 
Back
Top Bottom