Tiketi za ile show kabambe ya 'The FINEST' ya mwanaFA bado zinapatikana kwa wingi maeneo mbalimbali ya jiji la Dar na zitaendelea kupatikana hadi mlangoni mwa ukumbi wa mahali ambapo show itafanyika. Mpaka sasa matangazo ya kuwahimiza watu wajitokeze kuja kwenye show au kununua tiketi yanaendelea kupitia Radio, Television na mitandao.
Wananchi wote Wapenzi wa bongo flavour msikubali kubabaishwa na watu wachache wenye nia mbaya ambao wanaeneza uvumi wa kudai tiketi hizo zimekwisha huku.lengo lao ni ili mkose show hiyo murua au muanze kutafuta tiketi kwa njia za panya na hapo mtalanguliwa tiketi kwa bei ya juu au mtauziwa tiketi bandia.
Aluta Continua, mapambano bado yanaendelea!!!