Usahihi kuhusu BRELA

Usahihi kuhusu BRELA

To be honest BRELA wamejitahidi sana kubadilika kwa kiwango kikubwa sana tofauti na enzi ya JK

Tatizo kubwa ni mifumo ya IT ndio inaleta shida ila ukikuta imetulia ni ndani ya masaa 24 inakua tayari
Cha umuhimu ambacho watu wengi wanafanya usjilk kuwa mrefu ni kutokuyimiza nyaraka zote zinazotakiwa zikiwa timamu

Ni kweli kwamba mapungufu yapo lakini sio kama mleta mada wa awali alivyojaribu kuamisha watu

Hebu mtu aende kusajili halafu alete ripoti hapa

kwa nini kusearch business name lazima uwe umejisajili?

why cant anyone just go online and search a business name or registered companies tena for free? what do you have to charge for info that that should be open in the public domain kuendana na mipango ya serikali ya OPEN GOVERNMENT PARTNERSHIP?
 
Imani iwe kwenu Wakuu!

Baada ya mdau moja kuleta uzi leo kuhusu BRELA, naomba nisaidie kuweka record sahihi. Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Mimi ni mteja wa BRELA wa miaka mingi, ukweli ni kwamba BRELA ile ya enzi zile siyo hii ya sasa. BRELA ya sasa wanajitahidi sana kwenda na wakati hususani siku za karibuni

Kwa sasa huduma ya kusajili jina la biashara hutolewa kwa njia ya mtandao kwa Tsh. 20,000 tu, popote ulipo Tanzania, awali ilikuwa inakulazimu kusafiri kwenda Dar es Salaam kusajili jina la biashara

Pia, kupata taarifa za makampuni hususani, majina ya wanahisa, wakurugenzi, ofisi za kampuni na mtaji wa kampuni huduma hizo sasa inapatikana kwa njia ya mtandao

Vile vile ukitaka kusajili kampuni awali ilikulazimu kuandika barua na kupeleka kwenye ofisi za BRELA (DSM) kuomba jina hilo unalotaka kusajili kuhakikiwa kama hakuna kampuni nyingine iliyosajiliwa kwa jina hilo hilo, sasa hivi huduma hiyo inatolewa kwa njia ya mtandao na ni bure, ila ukiwa unapenda jina hilo litunzwe kwa muda wa siku 60 itakulazimu kulipa nafkiri Tsh. 50,000 tu. Na hii ni kwa mujibu wa sheria za makampuni

Pia, malipo ya huduma zote za usajili sikuhizi hulipwa kwa njia ya mtandao; Mpesa, Tigopesa, Fahari huduma, Simbanking, Mobile banking, matawi yote ya CRDB, matawi yote ya NMB Tanzania nzima.

Mwisho, naomba niwasihi wana Jukwaa hili na wananchi wote, kwa kuepuka upotoshaji kama ulivyoletwa humu JF kwa makusudi yake binafsi, ni vyema tujenge tabia ya kupata taarifa zaidi za usajili wa makampuni kwa kuwatembelea ofisini kwao moja kwa moja ama kwa njia ya mtandao www.brela.go.tz (Hapo utapata kila kitu, na sio ule upotoshwaji uliofanya na member mwenzetu wa JF)..

Asanteni!
Uzi wake aliuleta jana, hakika tulimuelimisha kwa kadri tulivyoweza na hatimaye akakubali.
cc. Comrade Igwe.
 
kwa nini kusearch business name lazima uwe umejisajili?

why cant anyone just go online and search a business name or registered companies tena for free? what do you have to charge for info that that should be open in the public domain kuendana na mipango ya serikali ya OPEN GOVERNMENT PARTNERSHIP?

Mkuu mara ya mwisho umekwenda lini brela kusajili kampuni?

Au mara ya mwisho umetembelea lini website yao ?
 
Verification wanachukua miezi mingapi siku hizi? Enzi hizo niko taasisi ya fedha, ilikuwa nikipata mteja anayetaka kufungua Business Account basi hapo hapo najisikia kuugua! Ilikuwa ukiwapelekea documents za mteja for verifications... basi zikirudi baada ya miezi 3; kapike sadaka kwenu!! Kipindi hicho ndipo niliichukia BRELA!
 
Naingia o

Sihitaji kwenda Brela

naingia online hapa:

https://ors.brela.go.tz/login

Kisha search jina la kampuni tuseme JAMIIMEDIA

hutopata access hiyo mpaka Ujisajili online yaani ufanye registration...another part of urasimu

NI sawa na kuingia kwenye Google

Kisha google wanakwambia mpaka ujisajili ndio utaweza kufanya search

Why?
 
wizi tuu

why haya mambo yafanywe kwa urasimu

ukitaka ku search business name kama vile CRDB watakwambia lazima ufanye registration ndio utaweza kufanya usajili

kama sio wifi nini?

Evidence hii hapa

https://ors.brela.go.tz/login
 
una tabia ya majungu,

anyway,brela wanajitahidi sana,na hii ni taasisi nyeti kwa usalama wa nchi,hawawezi kukurupuka tu na kukusajiria kampuni yako hata kama.ina malengo ya kigaidi na kuuza madawa ya kulevya.

pia si mbaya mtu kusajili kampuni ndani ya siku mbili tatu au maximum wiki moja,una haraka ya nini?unawahi kutapeli au?

la msingi nafikiri imefika wakati wawe na ofisi za kanda,dar,mwanza,arusha
Acha uji...n..ga wewe, tunatakiwa mambo yawe yanachukua muda mfupi...watu wanahangaishwa na mambo ya ajabu ajabu
 
wizi tuu

why haya mambo yafanywe kwa urasimu

ukitaka ku search business name kama vile CRDB watakwambia lazima ufanye registration ndio utaweza kufanya usajili

kama sio wifi nini?

Evidence hii hapa

https://ors.brela.go.tz/login
The problem kwa online search haitoa enough information for verification. Hata hivyo, sio kwamba haiwezekani; endapo wangeamua, info muhimu zote wangeweza kuziweka na pasiwe na sababu tena ya watu kuwapelekea ma-docs.
 
hili ni jipu na wanatuchelewesha na urasimu
Tangu lini ku search for simple info watu wakafanya registration? wanataka namba za sim, majina na verification ndio naweza kusearch business name online

Imagine google wakwambie kuwa kabla hujafanya search lazima uweke namba zako za sim majina yako nk ndio utaweza kufanya business name search...ontop unalipishwa elf 20

ningekuwa na register kampuni au nafanya returns au nabadili jina la kampuni I would have understood the concept of registration na kuweka personal details zangu

MFANO HUU HAPA CHINI NIMEINGIA KWENYE WEBSITE YA SEC YA USA AMBAYO UNAWEZA KU SEARCH MAJINA YA KAMPUNI ZOZOTE BILA KUAMBIWA UWEKE PRIVATE INFO

USHAHIDI HUUU HAPA:

http://www.sec.gov/edgar/searchedgar/companysearch.html
 
Naingia o

Sihitaji kwenda Brela

naingia online hapa:

https://ors.brela.go.tz/login

Kisha search jina la kampuni tuseme JAMIIMEDIA

hutopata access hiyo mpaka Ujisajili online yaani ufanye registration...another part of urasimu

NI sawa na kuingia kwenye Google

Kisha google wanakwambia mpaka ujisajili ndio utaweza kufanya search

Why?

Mkuu sasa napata picha kwamba wewe ni mpotoshaji mkubwa na wala hujui BRELa ya sasa inafanyaje kazi

Naomba rudi kwenye thread yako ya awali kafanye marekebisho na hasa baada ya kuingia website yao na kupata ufafanuzi kwa watu wanaokwend BRELA na uache madai ya ukweli

Najua hawajakmilika wanamapungufu lakini mkuu madai yako mengi ni kwasababu haukua na taarifa sahihi

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Nenda kafanye usajili mkuu utakuja na hadithi tofauti
 
Mkuu sasa napata picha kwamba wewe ni mpotoshaji mkubwa na wala hujui BRELa ya sasa inafanyaje kazi

Naomba rudi kwenye thread yako ya awali kafanye marekebisho na hasa baada ya kuingia website yao na kupata ufafanuzi kwa watu wanaokwend BRELA na uache madai ya ukweli

Najua hawajakmilika wanamapungufu lakini mkuu madai yako mengi ni kwasababu haukua na taarifa sahihi

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Nenda kafanye usajili mkuu utakuja na hadithi tofauti
hili ni jipu na wanatuchelewesha na urasimu
Tangu lini ku search for simple info watu wakafanya registration? wanataka namba za sim, majina na verification ndio naweza kusearch business name online

Imagine google wakwambie kuwa kabla hujafanya search lazima uweke namba zako za sim majina yako nk ndio utaweza kufanya business name search...ontop unalipishwa elf 20

ningekuwa na register kampuni au nafanya returns au nabadili jina la kampuni I would have understood the concept of registration na kuweka personal details zangu

MFANO HUU HAPA CHINI NIMEINGIA KWENYE WEBSITE YA SEC YA USA AMBAYO UNAWEZA KU SEARCH MAJINA YA KAMPUNI ZOZOTE BILA KUAMBIWA UWEKE PRIVATE INFO

USHAHIDI HUUU HAPA:

http://www.sec.gov/edgar/searchedgar/companysearch.html
 
hili ni jipu na wanatuchelewesha na urasimu
Tangu lini ku search for simple info watu wakafanya registration? wanataka namba za sim, majina na verification ndio naweza kusearch business name online

Imagine google wakwambie kuwa kabla hujafanya search lazima uweke namba zako za sim majina yako nk ndio utaweza kufanya business name search...ontop unalipishwa elf 20

ningekuwa na register kampuni au nafanya returns au nabadili jina la kampuni I would have understood the concept of registration na kuweka personal details zangu

MFANO HUU HAPA CHINI NIMEINGIA KWENYE WEBSITE YA SEC YA USA AMBAYO UNAWEZA KU SEARCH MAJINA YA KAMPUNI ZOZOTE BILA KUAMBIWA UWEKE PRIVATE INFO

USHAHIDI HUUU HAPA:

http://www.sec.gov/edgar/searchedgar/companysearch.html

Ulianza kulalamika oooh unatakiwa upande basi hata kama upo mwanza kwenda dar kufanya research ya jina kisha ulipie elfu hamsini na rushwa then urudi ukae mwezi mzima kupata majibu

Sasa umegundua kumbe sio kweli unaanza kulia na regstration ya dakika tatu!!!?
Wabongo tunapenda kulalma jamani

Najua jamaa hawapo perfect lakini mkuu madai yako bana ni kwasababu ahuna information sahihi
 
Naungana na wewe Mkuu. brela ya sasa inaendana na speed ya Magufuli. Juzi juzi walikuja huku kanda ya ziwa majamaa wako fresh sana. Ndani ya dakika 10 nilipata cheti na sasa nina kampuni yangu.

Kuna vijana pale wanapiga kazi sana sana.
Una kampuni yako au una jina la biashara?
 
hili ni jipu na wanatuchelewesha na urasimu
Tangu lini ku search for simple info watu wakafanya registration? wanataka namba za sim, majina na verification ndio naweza kusearch business name online

Imagine google wakwambie kuwa kabla hujafanya search lazima uweke namba zako za sim majina yako nk ndio utaweza kufanya business name search...ontop unalipishwa elf 20

ningekuwa na register kampuni au nafanya returns au nabadili jina la kampuni I would have understood the concept of registration na kuweka personal details zangu

MFANO HUU HAPA CHINI NIMEINGIA KWENYE WEBSITE YA SEC YA USA AMBAYO UNAWEZA KU SEARCH MAJINA YA KAMPUNI ZOZOTE BILA KUAMBIWA UWEKE PRIVATE INFO

USHAHIDI HUUU HAPA:

http://www.sec.gov/edgar/searchedgar/companysearch.html

Brela ya sasa mkuu hakuna hata usajili wa siku mbili kama umekwenda na doc zote

Nakushauri nenda kafanye usajili utakuja na majibu hap
 
wanajibu thread hii hapa

Kwanini Rais Magufuli hataki kutumbua jipu la BRELA?

majibu yao ni mepesi mepesi sana

kwa nini wasitoe official press release to the media? why join JF na fake names kujibu?
Watoe pr kwa ajili ya malalamiko yako? Hicho ulichofanya hapa ni majungu. Wengine tuna zaidi ya miaka 10+ tuna deal na BRELA, kama taasisi nyingine wanazo changamoto lakini ukweli ni kwamba wameenda mbele hatua nyingi. Tuwaunge mkono tuache majungu kwa kutaka kuwalinganisha na taaasisi za Marekani bwana!
 
Imani iwe kwenu Wakuu!

Baada ya mdau moja kuleta uzi leo kuhusu BRELA, naomba nisaidie kuweka record sahihi. Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Mimi ni mteja wa BRELA wa miaka mingi, ukweli ni kwamba BRELA ile ya enzi zile siyo hii ya sasa. BRELA ya sasa wanajitahidi sana kwenda na wakati hususani siku za karibuni

Kwa sasa huduma ya kusajili jina la biashara hutolewa kwa njia ya mtandao kwa Tsh. 20,000 tu, popote ulipo Tanzania, awali ilikuwa inakulazimu kusafiri kwenda Dar es Salaam kusajili jina la biashara

Pia, kupata taarifa za makampuni hususani, majina ya wanahisa, wakurugenzi, ofisi za kampuni na mtaji wa kampuni huduma hizo sasa inapatikana kwa njia ya mtandao

Vile vile ukitaka kusajili kampuni awali ilikulazimu kuandika barua na kupeleka kwenye ofisi za BRELA (DSM) kuomba jina hilo unalotaka kusajili kuhakikiwa kama hakuna kampuni nyingine iliyosajiliwa kwa jina hilo hilo, sasa hivi huduma hiyo inatolewa kwa njia ya mtandao na ni bure, ila ukiwa unapenda jina hilo litunzwe kwa muda wa siku 60 itakulazimu kulipa nafkiri Tsh. 50,000 tu. Na hii ni kwa mujibu wa sheria za makampuni

Pia, malipo ya huduma zote za usajili sikuhizi hulipwa kwa njia ya mtandao; Mpesa, Tigopesa, Fahari huduma, Simbanking, Mobile banking, matawi yote ya CRDB, matawi yote ya NMB Tanzania nzima.

Mwisho, naomba niwasihi wana Jukwaa hili na wananchi wote, kwa kuepuka upotoshaji kama ulivyoletwa humu JF kwa makusudi yake binafsi, ni vyema tujenge tabia ya kupata taarifa zaidi za usajili wa makampuni kwa kuwatembelea ofisini kwao moja kwa moja ama kwa njia ya mtandao www.brela.go.tz (Hapo utapata kila kitu, na sio ule upotoshwaji uliofanya na member mwenzetu wa JF)..

Asanteni!
Ni utetezi wa hovyo. Fanyieni kazi changamoto mnazopewa na wananchi, kuliko kuleta utete usio na tija na wa kiwango chini kama huu. 1.ANZISHENI KANDA. 2. WEBSITE IWE USERFRIENDLY.
 
Mleta Thread Kaja Kuitakasa Brela Nadhani Wadau Wataweka Hadharani Kila Kitu.
 
Imani iwe kwenu Wakuu!

Baada ya mdau moja kuleta uzi leo kuhusu BRELA, naomba nisaidie kuweka record sahihi. Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Mimi ni mteja wa BRELA wa miaka mingi, ukweli ni kwamba BRELA ile ya enzi zile siyo hii ya sasa. BRELA ya sasa wanajitahidi sana kwenda na wakati hususani siku za karibuni

Kwa sasa huduma ya kusajili jina la biashara hutolewa kwa njia ya mtandao kwa Tsh. 20,000 tu, popote ulipo Tanzania, awali ilikuwa inakulazimu kusafiri kwenda Dar es Salaam kusajili jina la biashara

Pia, kupata taarifa za makampuni hususani, majina ya wanahisa, wakurugenzi, ofisi za kampuni na mtaji wa kampuni huduma hizo sasa inapatikana kwa njia ya mtandao

Vile vile ukitaka kusajili kampuni awali ilikulazimu kuandika barua na kupeleka kwenye ofisi za BRELA (DSM) kuomba jina hilo unalotaka kusajili kuhakikiwa kama hakuna kampuni nyingine iliyosajiliwa kwa jina hilo hilo, sasa hivi huduma hiyo inatolewa kwa njia ya mtandao na ni bure, ila ukiwa unapenda jina hilo litunzwe kwa muda wa siku 60 itakulazimu kulipa nafkiri Tsh. 50,000 tu. Na hii ni kwa mujibu wa sheria za makampuni

Pia, malipo ya huduma zote za usajili sikuhizi hulipwa kwa njia ya mtandao; Mpesa, Tigopesa, Fahari huduma, Simbanking, Mobile banking, matawi yote ya CRDB, matawi yote ya NMB Tanzania nzima.

Mwisho, naomba niwasihi wana Jukwaa hili na wananchi wote, kwa kuepuka upotoshaji kama ulivyoletwa humu JF kwa makusudi yake binafsi, ni vyema tujenge tabia ya kupata taarifa zaidi za usajili wa makampuni kwa kuwatembelea ofisini kwao moja kwa moja ama kwa njia ya mtandao www.brela.go.tz (Hapo utapata kila kitu, na sio ule upotoshwaji uliofanya na member mwenzetu wa JF)..

Asanteni!
Ushauri wako nimeupenda maana una pendekeza hata huu tusiuamini kwa saaaana!!!
Tuendelee kutafuta and the search wont end.
 
Nina watu kama watano (mimi nikiwemo) tumeshajaribisha sana kufanya usajili. Hatua ya kwanza lazima ufanye clearance ya jina process ambayo inachukuwa masaa sio chini ya nane, then ndio uanze usajili wenyewe. Kumbuka registration inaanza na clearance ya jina kwanza. Lakini hakuna haja ya kuandikia mate, jaribu leo hii ufanye name search, clearance na usajili wenyewe uone itakukuchua muda gani. Halafu jiridhishe kama hiyo process ni 'friendly' kwa watanzania wa kawaida ambao hata lugha (kiingereza) inayotumika kwenye mtandao ni shida.

Ukiangalia report ya Workd Bank kuhusu 'ease of doing business' Tanzania tuko nyuma sana (tunashika nafasi ya 139). Na hatuwezi kurekebisha hayo kama utendaji wa Brela utandelea kama ulivyo. Waziri wa viwanda sijui anafanya nini?
Hayo maelezo ya historia ungewafundisha wanafunzi ingependeza kwenye tovuti yenu mnaona ipo sawa kabisa tunavyo apply kupata hiyo fomu ya kusajili jina la kibiashara/kampuni? Halafu mpompo tu hamna ushawishi wowote kwa wateja hata kujitangaza ni kazi
Wakuu Hekima Kwanza na Denis, mimi ninakubaliana na hoja zenu, lakini si katika kiwango cha kuwaona BRELA ni JIPU! Binafsi ni mdau wa BRELA, nikilinganisha na huko tulikotoka naona kuna mabadiliko makubwa. Kweli kuna changamoto, zingine za mfanyakazi mmoja mmoja na sio BRELA kama taasisi. Mfano, nina zaidi ya miezi miwili niliandikisha jina la biashara lakini utashangaa hadi leo kuna jamaa hajanitumia cheti changu cha usajili, hili siwezi kuliita ni tatizo la BRELA bali la huyo mtu ambaye mimi nahurumia mkewe na watoto iwapo nitamharibia kazi.

Zaidi ya miaka minane iliyopita nilisajili kampuni mapito niliyoyapita hadi kupata cheti cha usajili nikilinganisha na sasa, naona BRELA kuna mabadiliko makubwa sana. Niwaombe tu tukubaliane kwamba matumizi ya mtandao hapa kwetu bado nayo ni changamoto. Na kwa uhakika, ni maoni yangu kwamba kama tusingekuwa na changamoto kwenye matumizi ya mtandao sioni hata sababu ya kutumia muda na gharama kubwa kuhamishia makao makuu Dodoma leo kama tunaendelea kutumia hoja ya Nyerere katika uamuzi huo. Hoja kuu ya Nyerere (japo inapotoshwa) ilikuwa kwamba, kuhamishia makao makuu Dodoma ingesaidia kuharakisha maendeleo katika mikoa mingine kwa kuwa Dodoma ni katikati ya nchi.Je, katika karne hii ya dunia kuwa ni kijiji tunahitaji watu kubebana kwenda Dodoma ili kuleta maendeleo katika mikoa mingine? Hivyo hivyo, tukubali kwamba teknolojia bado ni changamoto kwetu, na BRELA tusiwalaumu sana bali tuwaunge mkono!
 
Back
Top Bottom