hili ni jipu na wanatuchelewesha na urasimu
Tangu lini ku search for simple info watu wakafanya registration? wanataka namba za sim, majina na verification ndio naweza kusearch business name online
Imagine google wakwambie kuwa kabla hujafanya search lazima uweke namba zako za sim majina yako nk ndio utaweza kufanya business name search...ontop unalipishwa elf 20
ningekuwa na register kampuni au nafanya returns au nabadili jina la kampuni I would have understood the concept of registration na kuweka personal details zangu
MFANO HUU HAPA CHINI NIMEINGIA KWENYE WEBSITE YA SEC YA USA AMBAYO UNAWEZA KU SEARCH MAJINA YA KAMPUNI ZOZOTE BILA KUAMBIWA UWEKE PRIVATE INFO
USHAHIDI HUUU HAPA:
http://www.sec.gov/edgar/searchedgar/companysearch.html
Mkuu huna hoja unalalamika tu bure. Na ni kwa nini hutaki kufanya registration, unaogopa nini kuweka details zako, au sio msafi katika shughuli zako?