Usahihi: Dr. Slaa yupo CHADEMA

BADO cjaelewa Lowasa anakuwaje msafi Chadema,,mchafu ccm,,,hebu nipeni maneno kidogo wana jamii wenzangu
 
Slaaaaa....mh mkono wangu shavuni,kwani bila Slaa chadema hatuwezi kuvuka kweli.....
 
Heri uwe maskin wa mali kuliko kuwa maskin wa akili.
>Lowasa anasema anauchukia umaskin wakat kwenye wilaya yake maskin wamejaa hata shule n tatzo ameshindwa kuwakomboa ataweza kuwakomboa watanzania?

Lakn cha ajabu mijitu inakaza mpaka makalio ooh lowasa lowasa lowasa.
 
Mwambie huyo jamaa yako @DrSlaa hapa napo tunataka maelezo ya kina. Aache unafiki kama wenye kampuni wameamua yeye atafanya nini sasaa ?
 

Attachments

  • 1438191311236.jpg
    47.3 KB · Views: 364
hapa naona tunadanganyana tu, hakuna AMANI ndani ya cdm, ndiyo maana msemaji mkuu wa chama amegoma kutoa taarifa rasmi kwa Yale yanayoendelea ndani ya chama hatimaye makamu KATIBU mkuu ndiye kawa msemaji wa chama. SINA IMANI NA WANA SIASA
 
Walioleta umaskini ni serekali ya ccm siyo Lowasa
 
hapa naona tunadanganyana tu, hakuna AMANI ndani ya cdm, ndiyo maana msemaji mkuu wa chama amegoma kutoa taarifa rasmi kwa Yale yanayoendelea ndani ya chama hatimaye makamu KATIBU mkuu ndiye kawa msemaji wa chama. SINA IMANI NA WANA SIASA
Je unauwakika mimi siko kwenye idara ya habari ya chama?
 

Hivi chato kule maisha yakoje??au umepaona monduli tu,,,,kwa vigezo vyako magufuli hafai pia,,,
 
Mzee maswali yake ni ya msingi sana . Lakini zaidi na uvamizi mitandaoni kumchafua . Mzee namuomba ajue CCM ia watazidi ku fuel hi situation . Yeye anajua zaidi mbinu zao na Mzee ni Mzee tu maana hekima zitatawala . Kwa kupitia bandiko namuomba saana Mzee wangu , rafiki yangu , atuvushe . Bila Slaa hakuna UKAWA. Wale wanao mchafua Mzee kwa kutumia jina lake vibaya ni vibaka wa demokrasia. Naamini bado Mzee atatusikiliza na kutuelewa lakini pia lazima wengine wamwelewe Dr.Slaa anacho simamia . It is only through that way tunaweza kuvuka salama . Dr.Slaa asikiizwe na mawazo yako yapelewe majibu . Dr.Slaa kasema yeye hana shida na yeyote hata asipo gombea he is ready for Chadema lakini tuondoka tukiwa na lugha moja .Narudia kanihakikishia hana tatizo anataka clarification clear not za jumla then Chama kinashika kasi .
 

Sio kua ameshapewa mgawo wake akakaa pembeni.vp na ww ushapata wako mgao
 


Unajua watu wengi ni wajinga!!!

Wanafikiri Lowassa kaamua juzi na jana kajiunga CDM....
Mbowe kasema walikaa vikao lukuki kuwekana sawa.... Dr. Slaa kasema Lowassa aliwaeleza mambo mengi sana ambayo umma haukuyajua na wakati ukifika watayajua....

Hizi propaganda za CCM zimegonga mwamba....

Lengo letu kuu ni kuiondoa na kuivunja vunja CCM....

KANU moja ilikua mzizi wa ufisadi Kenya leo KANU imevunjika wale wale waliorudi kivingine toka KANU wanaendesha vita dhidi ya UFISADI....

CCM is a SYSTEM na lazima iondoke.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…