Usahihi: Dr. Slaa yupo CHADEMA

Dr. Slaa anajua anacho kifanya.... ccm ni shida kwa Watanzania kuzidi fisadi lowasa kama wanavo iaweka japo ccm wote ni mafisadi.... aje na abanwe ndani ya chekeche la chama kama mbowe alivo mpa EL kubwa jana..
 


Mimi najua Mkuu ila sisemi kitu
 

What a waste kupoteza muda wote huu kuandika upuuzi
 
dr.slaa atambue kwamba lengo la chama chochote ni kushika madaraka. nje ya hapo hakuna haja ya kuwa na chama cha siasa. ccm iondoke kwanza madarakani. mengine baadae..
 
Asante mkuu. Najua viongozi wa chadema ni makini na wenye msimamo wa pamoja. Kabla ya kumkaribisha lowassa kulikuwa na vikao vya kutosha. Na mtu aliezingatiwa zaidi ushauri wake ni Dr. Apewe hata uwaziri mkuu

Mwekezaji ndo sasa ataamua pa kumuweka!
 

Heshima kwako Lunyungu na heshima kwa Dr Slaa.

Japo nipo tofauti naye kisiasa lakin nina heshima kubwa kwake, Dr Slaa Mungu akutangulie na fanya uamuzi wa mgumu kwa imani yako, amani ya Bwana ikuongoze, lakin jitahidi pia kukisitiri chama, maana ikitokea wanachama wakajua kuwa haukubaliani na haya na ukizingatia kuwa watu wengi ndani ya Chadema wewe ndiye ulikuwa jicho lao basi Chama kitapotea.

Mungu akubariki sana Dr Slaa.
 
Ccm kilichojili ni hofu ya kukosa ikulu walioshikilia kwa takriban miaka 45 ila muda umefika mtanzania hata mim aliopo mbali nifurah kusika kwamba inch yangu imeokolewa
 
Kuna habari zinazovuma kutoka kwa watu mbalimbali wasiokua na taarifa sahihi kua Dr. Slaa. Habari. Sahihi nikua Dr. Slaa yupo Chadema na anaendelea na majukumu yake kama kawaida.

Chadema Kwanza
Mungu akubariki sana Kamanda .
 
Maneno ya busara sana Mkuu, kweli Dr.anahitaji utulivu mkubwa.
 
Ukweli ni kwamba viongozi wengi walipinga ndani ya chadema lakini ilimchukua muda mrefu kwa mbowe kuwa convince wengine walitaka awe mwanachama tu,lakini baada ya kuona vitu anavyoweza kuchangia walikubaliana pamoja na wengine kukubali kwa shingo upande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…