USAGAJI: Kweli Kuna Kujaribu Na Kuacha??

juan moses

JF-Expert Member
Feb 16, 2014
2,403
2,477
Kuna Kipindi Niliwahi Kuingia Into A Heated Argument With One Girl In Our Whatsapp Group. Mada Ilikuwa Ni Ushoga But Nikaja Kusema While Tunakomaa Kuangalia Mashoga, Usagaji Nao Unakua Chini Ya Carpet....

Then Out Of Nowhere This Lesbian Sympathizers Anakuja Ananiambia Eti Wasichana Wengi Huwa Wanajaribu Tu Na Kuacha Wakat Wa Foolish Age Au Mazingira Yanawapelekea Kuexperiment With Other Girls.

Then She Strongly Said Wanaacha Na Wanaendelea Na Maisha Yao Wanaolewa, Wanazaa Wanasahau Kama Washawahi Hata Kusagana, Like Its Nothing.

How True Is This Statement...Sasa For The Sake Of Kujaribu Mnajaribu Vingapi. Maana Mwingine Atakuja Kusema Anajaribu Kuliwa Tigo Na Kuacha... Is This True...
 
Curiosity mkuu! Haswa kama umesoma shule za wasichana tupu. Unaweza kuacha.
Sema sishauri kabisa mtu ajaribu!!!
I Have A Story... This One Girl Alikua Hapo Udsm Like A Year Ago Akawa Besties Na This One Tomboy. Tomboy Yule Alikua Real Into That Shit,Yani Anamuapproach Demu Na Most Hawachomoi Koz Yuko Friendly And As They Say "Being A Woman She Knows What A Woman Wants". Sasa Bas Uyo Girl Nikawa Nataka Nimtupie Ila Akawa Ananiambia Nina Mtu Kama Miezi Sita Ivi Naimbisha,Kuingia Mwaka Wa 2 Ananiambia Nimeachana Na Jamaa,Nikajua Chance Imekuja Namuimbisha Anasema I Just Want To Live Freely Like A Bird,Sikuelewa. By Now Uyo Tomboy Alikua Amepanga Mtaani,Now Imagine Akiwa Hostel Tu Alikua Anawakunyuga Madildo Sasa Now Yupo At Her Own Ghetto Itakuwaje. Bas Bwana Baada Ya Demu Kunipiga Chini Nikaapishwa Rasmi Kama Friendzone Member,Sasa Baada Ya Kuzoeana Sana Sijui Hiyo Guilt Ilikua Inamkula Inside Akaanza Kuniambia How Huyo Tomboy Friend Amekua Akimseduce Slowly Passionately Since Mwaka Wa Kwanza And That Kwa Anavyoona Sio Siku Nyingi Attasurender Into The Tomboy's Hands. I Was Baffled,Not Knowing What To Do. Yani A Chick Nimemfukuzia Miaka Miwili Anaenda Kupigwa Madildo Na Tomboy. Nikaanza Kumpotezea Nisipate Update Yeyote. Nikimuona Yule Tomboy Chuo Naona Wivu Kingese.
After Like A Month Demu Akanitext Saa 12 Asubuhi,"Mambo" Nikamjibu Huku Nashangaa Kisa Nini Cha Kuntafta amapema Yote Hiyo. Nikampeleleza Hajajibu. Baada Ya Wiki Mbili Mawasiliano Yakarudi,Kumpeleleza Upya Ananiambia Ile Asubuhi Alivyonitext Ndo Alitolewa Bikra Yake Ya Usagaji Na That Tomboy Walikua Wametoka Akarudi Amelewa Na Nyege Zimemjaa Kashikwa Kachezewa Akagive In. Nilijiskia Kaubaridi Ila Nilishakubali Matokeo Bas Nikawa Nawasiliana Naye Siku Nyingine Nilikua Nimemmiss Tu Nikataka Kumuona Koz Alikua Anakaa Bibo Tulikua Na Mechi Tunaenda Angalia Ground,Nikamtext Akaniambia No Sipo Chuo Nikamchokonoa Upo Wapi Akasema Niko Riverside Kwa Tomboy Na Ilikua Jumamos Kumbe Kakipeleka Tangu Ijumaa Na Jumatatu Kuja Chuo Kaondokea Hukohuko. Nikasema Kweli Curiosity Killed The Cat. Nimebaki Kulike Picha Instagram Tu Baada Ya Kumaliza Chuo Nikikubali Defeat To A Tomboy.
 
Back
Top Bottom