Usafiri wa Treni - Japan

Usafiri wa Treni - Japan

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,926
Shinkansen - Bullet Train

ImageUploadedByJamiiForums1434590927.026492.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1434590947.559902.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1434590987.409939.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1434591006.626215.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1434591022.976811.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1434591076.556881.jpg
 
Hii ndio ile treni yenye mwendokasi mkubwa kuliko zote?
 
Hii ndio ile treni yenye mwendokasi mkubwa kuliko zote?

Yeah. Inaitwa Hayabusa E5 .320kmph.

Kuna nyingine ipo kwenye majaribio bado. "Magnetic Levitation" The Lo Series train, ina speed ya 370kmph.
 
Kwa wenzetu train ni kama ndege tu.Kwetu ni gogo. Hah hah
 
Niliwahi kusoma njemba za kijep zilikuwa na tabia ya kupapasa warembo wowowo na hata matiti hasa kama treni ikiwa imejaa sana mpaka ikasababisha kuwe na mabehewa ya njemba peke yao na warembo peke yao.
 
Yeah. Inaitwa Hayabusa E5 .320kmph.

Kuna nyingine ipo kwenye majaribio bado. "Magnetic Levitation" The Lo Series train, ina speed ya 370kmph.

Nilikuwa naulizia hii...
 
Kwa wenzetu train ni kama ndege tu.Kwetu ni gogo. Hah hah

Treni za abiria mijini huwa zinashona sana...

Zile zinazopiga masafa ya mkoa na mkoa ndio zinakuwa nzuri...
 
Niliwahi kusoma njemba za kijep zilikuwa na tabia ya kupapasa warembo wowowo na hata matiti hasa kama treni ikiwa imejaa sana mpaka ikasababisha kuwe na mabehewa ya njemba peke yao na warembo peke yao.

Upo sahihi. Hii tabia ipo. Hasa wanaporudi nyumbani baada ya kunywa.

Domestic train (tofauti na Shinkansen ya usafiri wa mbali) inakuwa na sehemu ya wanawake pekeyao asubuhi na jioni. Lakini siyo zote.

Sasa kuna kamera na wengi wamekamatwa.

Sijui huko katika daladala kama huu mchezo unaendelea bado.
 
ImageUploadedByJamiiForums1434594336.698910.jpg

Behewa la wanawake tu, treni za safari fupi. Japan

ImageUploadedByJamiiForums1434594399.231893.jpg

Sehemu maalum ya wanawake.

Treni ya Indonesia.
 
Kwenye daladala kama kazi kuna uzi nadhani humu unazungumzia madhila wayapatayo wakina mama ndani ya dala dala ya kushikwa nyeti zao.

Upo sahihi. Hii tabia ipo. Hasa wanaporudi nyumbani baada ya kunywa.

Domestic train (tofauti na Shinkansen ya usafiri wa mbali) inakuwa na sehemu ya wanawake pekeyao asubuhi na jioni. Lakini siyo zote.

Sasa kuna kamera na wengi wamekamatwa.

Sijui huko katika daladala kama huu mchezo unaendelea bado.
 
ImageUploadedByJamiiForums1434595236.422958.jpg

Basi la Indonesia. Mbele ni kwa ajili ya wanawake tu.

ImageUploadedByJamiiForums1434595377.075764.jpg
 
Kwenye daladala kama kazi kuna uzi nadhani humu unazungumzia madhila wayapatayo wakina mama ndani ya dala dala ya kushikwa nyeti zao.

Japan, ukikamatwa, siyo tu unakula kifungo/fine bali pia unaachishwa kazi.
Lakini watu bado hawaachi tabia.
 
​Nitaifanya Kigoma kuwa kama Dubai - by Kikwete 2005 kwenye kampeni
 
Back
Top Bottom