usafiri wa Precion air ni aibu tupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

usafiri wa Precion air ni aibu tupu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Makupa, Aug 1, 2012.

 1. M

  Makupa JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Wana jf,
  Katika siku.za hivi karibuni usafiri wa anga kwa kutumia kampuni ya precion air umekuwa kama kituko kutokana na kubadilisha ratiba za usafiri mara kwa mara .Sio siri ni afadhali kusafiri kwa basi kwenda mikoa ya kaskazini kuliko kutumia precion air
   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  wanatamaa mno. Kuna ka-ndege kao huwa kanapitia Musoma kila Alhamis kwa kweli kama usafiri ndo huo basi ni kituko. Kwa juu yaani roof ya ndege hiyo imezibwa zibwa na toilet paper kuzuia kama maji au mwanga wa jua.
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Nilipanda moja toka Mtwara yaani viti vyote ni matambara mabovu mpaka raia wa kigeni wakatikisa vichwa. Mende pia walikuwamo
   
 4. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Hivi hili shirika kwani watu wake wa kitengo cha huduma kwa wateja huwa hawasikilizi maoni ya wateja wao??? Au ndio ule uswahili wetu wa kulewa masifa ?? (maana walianza kujijengea jina kwa huduma nzuri+ kufa kwa ATCL wakawa wenyewe tuu)
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  panda flght 402 uone vituko....viti vinang'oka kama vya daladala iliyochoka....
   
 6. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Hizo ndege zimechoka.
   
 7. Karikenye

  Karikenye JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mi ambako 540 inaenda it is my flight of choice na wenyewe wakileta za kuleta napiga chini!
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Lazma kuna air hostess ambae ni bibi mifugo . Hamkunyunyiziwa dawa ya josho mkiingia?
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Aloo.....
   
 10. Silly

  Silly JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  niambieni ni wapi hapa nchini utapata customer care ya kuridhisha..na yote ni kwa ajili ya haya ma kampuni kubebwa, kama wangeachwa wafanye kazi kwa ushindani mambo ya kizushi kama haya yangekuwa historia
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Mkuu hii ndio ipi? PW 402 (ATR 42) ndiyo niliyopanda toka Mtwara....AU ulimaanisha Flight 540 (KAMPUNI)?
   
 12. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  asee hii kali hadi mende!
   
 13. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  yaani hawa Precision ni ovyo kabisa hasa kule Zanzibar ticket zinauzwa ovyo tu na mkiingia ndani ya ndege seat zinakua zote zina watu na ticket unakua nayo ukienda kulalamika watakuambia subiri nyingine inayokuja yaani ni usumbufu mtupu bora boti za Azam kuliko ndege za Precision pale Zanzibar
   
 14. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #14
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Nilmaanisha flight no 402 ya precision mkuu....kimeo kweli kweli...
  niliona jamaa mmoja kashika cushion la siti mkononi analumbana na flight attendant...
   
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  NDEGE ZA PW ZINA HALI NZURI, na nyingi ni mpya!
  Tuacheni uwongo!
  Kuna mtu anaongelea flight 402...hii ni kutaka kuwafool watu. Hakuna route iliyo na ndege specific kwa maana kwamba ni ndege hiyohiyo inayoenda route hiyo, zinabadilikabadilika. Leo ni 5hpwc, kesho pwd, siku ingine pwe etc..
  Mi ningewaona wa maana kama mngeongelea Hisa za PW!
   
 16. M

  Makupa JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Issue si ndege mpya bali ni kutokuwa na ratiba ya uhakika mkuu
   
 17. M

  Moony JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hawana ushindani hivyo wanafanya watakavyo ila DAWA yao iko njiani..
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Ndiyo hiyo hiyo yenye mende
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Mbona flamingo restaurant ya hapo JKN airport kuna mende. Wanajivinjari ukutani wakikuongezea appetite!
   
 20. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #20
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Kuna mtu anasema najaribu ku fool watu....hiyo hapo kipande ya ticket yao....
   

  Attached Files:

Loading...