Sijui bei rahisi kwako ni ngapi. Kuna "The Pacific Hotel" ipo "City Centre" kabisa (William Street), jirani na kituo cha zamani cha daladala, wenyewe wanaita "taxi" badala ya daladala. Ilikuwa ni kama Shillingi 75,000 za Uganda, ila nikirudi watanishika tena. Ni wasafi, lugha nzuri, breakfast pouwa kabisa, WiFi speed nzuri, Bar matata...