Usafiri ndio mpango mzima

Usafiri ndio mpango mzima

Nasikia hii kitu iko Zambia
Yaani mtu ananunua flat screen ya Samsung
ndani ya nyumba ya Nyasi.

Nimefananisha huo mkoko hapo nje wakati
nyumba ina hali mbaya kwanini asijenge.
 
Photoshop live. Tazama nyasi zilizoko kwenye gari, halafu linganisha na nyasi zilizoko pembeni ya nyumba. Tena tazama nguzo ya kibanda cha gari utaona kama iko transparent. Mti gani transparent!
 
Wenye akili mbovu hununua magari mazuri wakati wazazi wao wananyeshewa na mvua kwenye vibanda vya nyasi
 
Amejitahidi lakini kwani ujumbe aliokuwa anataka uupate/tuupate umefika. AMEN
 
Motto wa vijana wa leo: Mwenye nyumba haonekani ila mwenye gari.
 
Wenye akili mbovu hununua magari mazuri wakati wazazi wao wananyeshewa na mvua kwenye vibanda vya nyasi
Kama ulikuwepo mkuu... wanasahau wazazi wao waliuza mpaka kitenge cha mwisho kuhakikisha wanapata mahitaji yao ya kila siku!
 
hakuna baba mwenye gari... kuna baba mwenye nyumba!!!
 
Back
Top Bottom