jiwe la maji
JF-Expert Member
- May 17, 2014
- 1,062
- 705
halafu ikaja system hizo express za pasiansi ilikuwa mwenye gari lazima aweke video maana kama hamna video watu wanachungulia tu hawapandi,
wadau wa rock city enzi zile mnakumbu mwanza hapakua na usafiri wa vipanya kam leo vipanya vilikua mabatini na kirumba tu lakini igombe kulikua na min bus zikitwa toto tundu, mayeji na jalijalalam, igoma kulikuwa na last boy na mkuyuni air jordan
Kumbe nyie wote mliotoa comment mpaka sasa hivi ni wa juzi tu. Miaka ile ilikuwa hakuna cha minibus wala nini. Tulikuwa tunapanda zile peugeot za kizamani mnarundikwa kama ndizi humu. Station wagon moja ilikuwa inaweza kubeba hadi abiria 8. Zilipotoka hizo ndio zikaja express. I love Mwanza mji niliokulia.
Tiba
wapi Masubo.........mbona njia ya Nyakato-Mitimirefu vipanya vilikuwepo miaka ya tisisini ila vumbi lilikuwa hatari.
wadau wa rock city enzi zile mnakumbu mwanza hapakua na usafiri wa vipanya kam leo vipanya vilikua mabatini na kirumba tu lakini igombe kulikua na min bus zikitwa toto tundu, mayeji na jalijalalam, igoma kulikuwa na last boy na mkuyuni air jordan
UnaKumbuka bin sadoti express ya kwenda pasiansi nauli shiling 3.
Tatizo la kukaa kanyigo muda mrefu ndo hili!
Pasiansi lami imewekwa toka PAPA john Paul Hajaenda kuzimu!
Tena wakati ule alipokuja pale kilimalini ILEMELA! tayari brbr inaanza kuchongwa.
We mwanza ulifika wakati ule wa GEZA ULOLE! Na yale ma Leyland ya MWATEX!
Na wakati huo Sehemu ya starehe ni kwenye BAR ya Mzee KAFITI pale nyakato na Disco unachezea Pale Kilabuni Nyakato kwa mzee mwendesha mpika KIMPUMU!
Kukaa kijijini muda mrefu ni Hatari sana.
Teh teh teh teh!
Unaongelea Santamaria za KIRUMBA za JUZI Hapa!? Za wale Watoto wa Mzee AWADH?
Watu wamepanda GEZA ULOLE! Gia Tatu!
Breki TOFALI halafu dereva Mzee Joseph Yuko GONGO 24/7!
Na ukiikosa hio unadandia TRANS AFRICAN BUS ya kwenda MUSOMA ukifika nyakato au Igoma haisimami, unalegezewa tu na dereva UNAACHIA Body mwenyewe!
Unasema nini wewe!
Wacha bana.
Digidigi mza -igombe