Kwa maana hiyo.. mpaka sasa naona kuna haja kuu mbili juu ya usafiri Kusini.
1. Uwekezaji wa hotel ya kisasa kabisa mazingira safi na rafiki kwa abiria wote. Tatizo nawaza tabaka la huko watalua tayari kwa nature ya vipato vyao?
Vipi idadi ya wageni huko? Je, wale wa nje ya mikoa hiyo ni wengi kiasi cha kuvutia uwekezaji huo? Maana muwekezaji asije wekeza mradi mkubwa akaishia kula hasara. Tunatamani hata sisi kama kusafiri kuja huko tupate mazingira safi kabisa ya kula.
2. Bado inaonekana usafi kwa pande hizo haujasimama vyema. Bado inaonekana changamoto mpya juu ya wafanyabiashara wengine waliopo hapo wamebweteka na hawako vizuri kwa huduma. Hivyo ushindani na vyombo imara vinahitajika.
NB: nimewaza chai ya moto na maandazi gari iwe masaa ya mbele halafu ipite lwenye tuta mtikisiko wake na chai ya moto


Mitano tena