Wapuuzi hawa Maning Nice, tulishawahi kutoka Morogoro saa 12 alfajiri, kwanza wanapakia maasai wote wanaoenda kuchunga vijiji kati ya Dar na Mlandizi, Ubungo tukafika saa 4-5,
Tukapelekwa garage Tandika sijui Temeke, wakachomelea weeh, walipochoka, wakatubadilishia gari, Mbagala saa 8, kudadadeki niliapa NEVER again, Ikwiriri saa10-11, Mtwara sijui walifika saa ngapi!
Bora kuunga Moro Dar BM, Abood saa 3 Korogwe unadandia mwendokasi saa 4 unusu uko Mbagala, stendi ya Shamba, gari za Muhoro, dk 0 zinajaa, Ikwiriri 7-8 ulishafika!
Everyday is Saturday............................... 😎