Hali ya vyoo vya IFM inahatarisha kwanza kumekuwa hakuna maji na usafi sio wa mara kwa mara vyoo ni vichafu sana. Uongozi wa chuo tunaomba mliangalie hili ili kuepuka mlipuko wa magonjwa chuoni.
Unajua Usafi wa vyoo kwa kiasi kikubwa unategemea watumia vyoo
Kuna watu wachafu sana kwenye matumizi ya vyoo kwani huvitumia na kuviacha Vichafu bila kujali atakayeingia baada yake. Baadhi ya watu wakisha jua kuna mtu ameajiriwa kusafisha choo wanafikiri maana yake ni uache choo kichafu ili asafishe....
Na hivi vya kukaa ndio majanga (havifai kabisa) kwa mazingira ya jumuia ambapo watu wengi bado hawawezi kujisimamia
Kwakweli Watanzani tunasikitisha Sana, sijui Sisi ni kitu gani ambacho tunaweza kufanya kwa umahiri?
Leo alfajiri nimepita na bus stand ya Msavu Morogoro nikitokea masafa ya mbali, basi ikatangazwa kuchimba dawa nikasema ngoja niende nikatowe maji yaliyobaki kwenye blada.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.