Usafi wa jiko muhimu sana.

Usafi wa jiko muhimu sana.

Kulikua na marafiki watatu,,siku moja wakaenda kutembelea nyumban kwa mmoja wao kufika wakatengewa msosi(chapati)sasa wakat wanakula huku wapo karibu na mpishi wakashuhudia mpish akichukua kifimbo cha chapat kumkunia mgonjwa mwilin kisha akaendelea kukitumia kusukumia chapat kikiwa na nywele za mgonjwa,jamaa chakula kiliwashinda kushuka tumboni.
Haaaa no sijaiona. Na umekumbuka nin
 
Utafikiri juu ya hilo jiko panafugwa Njiwa,ndio wameachia kinyesi kikaangukia kwenye hilo jiko.
 
Hapo kama una matatizo ya kuumwa tumbo, ukimaliza kula unaalisha hadi unakufa mkuu
 
Back
Top Bottom