Usafi wa jiko muhimu sana.

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
296,607
1,161,222
Tunaweza kulaumu kuwa ni mwanamke ndio mmiliki wa hili jiko,huwezi jua hata mwanaume bachela nae anaweza fanya hichi kituko. Jaman ee usafi muhimu wakati wa kupika na baada ya kupika kwa watu wote
17267626_271791013233394_4260902192388505600_n.jpg


Kama kawaida nimeiokota mtandaoni.
 
Ilitokea juz hapa wanawake walipoenda kusherekea sikukuu yao, waka waachia wanaume jiko
 
Back
Top Bottom