NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 26
Kipindi cha hedhi wakina mama wengi hutumia njia mbalimbali kujisafi wengine hutumia pedi wengine vipande vya kanga na wengine maji tu yatosha.
Lakini baada ya kutumia vifaa hivyo namna ya kuvitunza kwa ajili ya kwenda kuvitupa mara nyingi utakuta pedi zimezagaa kila mahali.
Mie jambo hili linanikera mno utakuta wakati mwingine pedi zilizotumia zimetupwa hovyo
Je wewe ushakumbana na hii adha??