Usafi katika mahaba

Usafi sio kuoga tu mkuu.
 
Kwa kuwa jiji likiwa chafu ni jukumu la wananchi kufanya usafi,, mm nitaanza kinyozi maalum ya vikwapa, wenzangu nao wajichagulie hizo sehem zilizobaki, jamani hii ni janga tusaidianeni
[emoji3] [emoji3] [emoji3] unakuta mkaka au mdada kavaa nguo ya makwapa nje half kashika bomba kwenye daladala kwapa chafuu utatamani utapike.
 
Safi mkuu usafi ni muhim unamfanya mwenzio aenjoy love
 
Kilicho baki kufanyia kazii
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] unakuta mkaka au mdada kavaa nguo ya makwapa nje half kashika bomba kwenye daladala kwapa chafuu utatamani utapike.

Hiyo hunikera sana kwa kweli.

Sasa hapo unakuta mwenzio wala haoni ubaya wowote ule.

Ndo mtu inabidi ukubali tu kuwa watu tumetofautiana.

Ukionacho kibaya wewe kwa mwenzio ni kawaida tu na kawaida kwako kwa mwengine yaweza kuwa kero.
 
Me mke wangu anavyonifanyia km mtoto mdogo!nalazmishwa kuoga tena na sabuni napewa na mswaki nikitoka hapo nafkizwa udi napuliziwa mapafyum!mwanzo nilikereka ikawa na ugomvi ila alikomaa hadi nimezoea sasa hivi najifanyia bila shuruti
Safi sana hongera mkuu [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hiyo hunikera sana kwa kweli.

Sasa hapo unakuta mwenzio hala haoni ubaya wowote ule.

Ndo mtu inabidi ukubali tu kuwa watu tumetofautiana.

Ukionacho kibaya wewe kwa mwenzio ni kawaida tu na kawaida kwako kwa mwengine yaweza kuwa kero.
Tena anaona sifaa mwenyewe kukaa kwapa wazi linadondosha jasho tpuuu...
 
Wakati mnatakana atakuficha Tabia zake mkishazoeana zitaanza kujitokeza ukimwambia anakua mkali.
Uchafu/Usafi haviigizwi. Mchafu ni mchafu na msafi ni msafi tuu. Labda ujitie upofu.
 
Nashukuru sijawahi kutana na hilo balaa maana usafi ni muhimu.
 
Uchafu/Usafi haviigizwi. Mchafu ni mchafu na msafi ni msafi tuu. Labda ujitie upofu.
Mtu kama ni mchafu ndani ya muda mfupi utajua tu.
Chamsingi unamweleza faida na hasara za huo uchafu wake kama anakupenda na ni mwelewa atabadilika na atajitahidi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…