Usafi katika mahaba

Ingieni ktk ndoa. Acheni dhambi. Ndo maana mnakutana na mivundo.
Hata kwenye ndoa nako kuchafu tena useme na huko mkisha zoeana tu kosa
 
Hatari na inatia aibu...
inaoneka hata wewe tu mleta mada hilo janga ni lako wenzio wote tukipanga mihadi tukifika kwanza lazima tuoge kidogo kuondoa jasho la barabarani maana kuna wanawake wengine hisia zipo kwenye makwapa so kuoga ni lazima
kama hujawai kuoga before sex just do that
 

Halafu perfume ikichanganyika na harufu ya jasho inakuwa shida kwelikweli
 
Kwa kuwa jiji likiwa chafu ni jukumu la wananchi kufanya usafi,, mm nitaanza kinyozi maalum ya vikwapa, wenzangu nao wajichagulie hizo sehem zilizobaki, jamani hii ni janga tusaidianeni
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Utupendae watanashati
 
Duh, ukweli mkuu. Binafsi enzi zangu kabla ya ndoa nilikuwa naoga na kupiga pamba safi najirashia body spray au perfume amazing, narudia kupiga mswaki na dawa kisha nasukutua vema. Nikiwa njiani kuelekea eneo sasa naongezea na kutafuna chewing gum ya mint. Yaani yote hii ni kuweka mazingira safi. Sikilizia tukifika 6x6 sasa utakuta mtoto watu ananilamba kila sehemu kwa hamu zote.
 
Aseee uciombee ukutane na mbunyee inayotoa harufu ndivyo sivyoo unawezaa ukapatwa tumbo la kuharaa jaman ile kituu ikiamuaga kunukaa banaaa chaaa afuu hataa akiondokaa ukimuona kwa mbaalii unahisi ilee harufuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Harufu huwa ina linger hadi kwa imaginations....
 
Kwa kuwa jiji likiwa chafu ni jukumu la wananchi kufanya usafi,, mm nitaanza kinyozi maalum ya vikwapa, wenzangu nao wajichagulie hizo sehem zilizobaki, jamani hii ni janga tusaidianeni
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Me mke wangu anavyonifanyia km mtoto mdogo!nalazmishwa kuoga tena na sabuni napewa na mswaki nikitoka hapo nafkizwa udi napuliziwa mapafyum!mwanzo nilikereka ikawa na ugomvi ila alikomaa hadi nimezoea sasa hivi najifanyia bila shuruti
 
Mtu akiwa mchafu ukimuacha bila kumwambia haita kuwa suluhisho, mwambie na msaidie ajirekebishe
[HASHTAG]#makavulive[/HASHTAG]
Siyo binadam wote wana hiyo courage, lkn lazima tu atakutana na mwenye hy courage na atakwambia weakness yk
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…