USA yaendelea kuichimba Tanzania

USA yaendelea kuichimba Tanzania

Watanzania tuwe tunatumia akili kufikiri na tusitumie akiri za wengine kufikiri.
Unaweza kusema eti kuna mfumo kristo Tanzania wakati mambo yako wazi kabisa.

Rais wa Zanzibar :Islamist
Makamu wa rais Tanzania bara islamist
Waziri mkuu Islamist
Tamisem islamist

Mawaziri wengi ni Islamic

Etc

It is a stupid guy who can say in Tanzania waisilam wananayanyaswa.

What foreign western countries like America are propagating is inhumane
 
Wamarekani wana lao jambo. Sisi tunampenda raisi wetu...inahitaji diplomasia kali.sana lakini kuwashinda.....tunaweza kuwatag kama mbuzi dume hilo neno beberu wanalielewa vema....
 
Naomba msisahau mbinu ya Mmarekani siku zote huwaanaanza Kuwait banishes kwanza... Akafu yeye anakaa pembeni.. How come wanasema Magufuli hapendi waislam??

Waziri mkuu Muislam, Makamo pia... Juzi amezindua hoteli Zanzibar ya nyota 5 ya Muislam hawa wanayo sema haya wanataka tuwe kama Libya Uzuri tushawajua

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na wanaccm wenzako mliozoe kula jasho la wale mnao waita wanyonge ndo mtakuwa kama Libya
 
Wamarekani wana lao jambo. Sisi tunampenda raisi wetu...inahitaji diplomasia kali.sana lakini kuwashinda.....tunaweza kuwatag kama mbuzi dume hilo neno beberu wanalielewa vema....
wewe,mimi simpendi hata wakimnyakua kesho tu poa
 
Huu ndio ujinga wa kuzaliwa africa yaan najuta ata kuwa mtu mweusi nilikuwa namchukja sn michael jackon lkn sasa nimeanza kumuelewa
Mwafrika unaweza kumzaba makofi na kumnyanyasa lkn mkaja kupatana eti kisa kakualika kwenye sherehe
Maneno yako uliyoandika yanathibitisha ujinga wa kuzaliwa.

Ingawa Mama yako mzazi hakufanya kosa kubeba mimba yako kwa miezi tisa, atabakia kuwa ni Mama mzaa chema.
 
Sijamuona Musiba kwenye hiyo video clip.

Na hayo ya Jamestown chini ya hiyo video clip?
US akija hapa kama ataruhusiwa unafikiri ataleta mfumo gani? All the Moslem world know.
Tuache haya mambo ya mpito. Hayataweza kufua dafu. Wanataka tufarakane ili waibe kirahisi mali zetu
 
US akija hapa kama ataruhusiwa unafikiri ataleta mfumo gani? All the Moslem world know.
Tuache haya mambo ya mpito. Hayataweza kufua dafu. Wanataka tufarakane ili waibe kirahisi mali zetu
Labda huelewi kuwa ni heri ya Trump mara million kuliko hawa wajinga wenzenu...

IMG-20200213-WA0011.jpg
 
Sijamuona Musiba kwenye hiyo video clip.

Na hayo ya Jamestown chini ya hiyo video clip?
Tanzanite ni Musiba,.. Raisi wetu Magufuli Wazungu walimkubali sana alipoingia madarakani,hasa kwa nia yake ya kupiga vita RUSHWA

Lakini walimgeuka pale tu alipoanza kuminya uhuru wa kujieleza "freedom of speach", kwa Watanzania, kukandamiza vyama vya siasa.. nk..

Dunia imekuwa ndogo, Magufuli na CCM yake wanapingana na Wakati, huu ni wakati wa UWAZI, sio wakati wa KUFICHA
 
Kitu kimoja kikubwa kilichojitokeza na wanataka kukipa kiki ni neno "Mfumo kristo" wamefanya makusudi kulitumia ili kieleweke hata kwa mambumbu kwa kilugha chao, kwa hiyo hii ndio point muhimu ya ama kukanusha au kuifanyia kazi, la sivyo ni gia ya US kuchochea mtafaruko kwa watanzania.
 
Tanzanite ni Musiba,.. Raisi wetu Magufuli Wazungu walimkubali sana alipoingia madarakani,hasa kwa nia yake ya kupiga vita RUSHWA

Lakini walimgeuka pale tu alipoanza kuminya uhuru wa kujieleza "freedom of speach", kwa Watanzania, kukandamiza vyama vya siasa.. nk..

Dunia imekuwa ndogo, Magufuli na CCM yake wanapingana na Wakati, huu ni wakati wa UWAZI, sio wakati wa KUFICHA
Pole sana kama umekazia uko, jifunze ujue jinsi Dunia inavyoendeshwa.
 
Umeandika ninachowaza.

Hawa watu roho zinawauma saana kuona majirani zetu wanasumbuliwa na vikundi vya kigaidi lakini sisi tupo ahueni kama sio salama.

Walitaka tushiriki kusaidia. Na tusijindanganye tukawaamini hawa jirani zetu wayasemayo wakutanapo na wakubwa hatuyajui. Juzi Fox wanasema Tanzania ndiyo nchi inayoongoza kuwa na vijana wengi kuliko nchi yoyote Al-shaabab, hadi unajiuliza inamaana tumewapita hata wasomali?

Trump raia wao waliuliwa juzi na Al-shaabab..hawezi kupenda hili hata siku moja. Ni sawa na jirani mwenye misukosuko na aliye na amani..utatafutiwa visababu tu
Mwishoni mwa mwaka jana walitaka kututengenezea zengwe eti tunataka kushambuliwa na Al-shabaab, wakafail, baada ya kutengeneza mpango ulioshindwa kabla ya kuanza.
 
Kudeal na mabeberu hasa huyu beberu mkuu kunataka akili ya zaidi sana..

Ukisoma vizuri na ukawa unayajua matendo ya USA basi utagundua tayari ameshaunda kundi lingine la kigaidi Tanzania. Anachofanya sasa ni kutuandaa kisaikolojia ili kazi iendelee, tayari ana namna mbili za kuidestabilize Tanzania kupitia dini na siasa na target yake ni mikoa ya kusini na soon utasikia wakusini wanataka Taifa lao..
Na je Kama kila anapoliunda linafumuliwafumuliwa?
 
Critical questions before responding to this
1-Why them? Kinawahusu nini?, Kinawauma nini? kwamba wanatupenda sana watanzania?
wanawapenda sana waislam? Marekani hakuna waislam? wanauchukia sana mfumo kristu?, wa kwao ni mfumo gani?
2-Why Now? Wameyaona haya lini? Kwa nini wanatuletea leo? mwaka jana hayakuwepo? mwaka juzi je?
3-Why this way? wanmeona wapitie alshabab na alquada ndio mkakati wao kutuvuruga? wameona njia rahisi ni kutumia dini kwa sababu wanajua watapata support ya watu fulani?
Because of unkown crimals to remain unknown 'watu wasiojulikana kuendelea kuto julikana japo munawahisi'
 
Swali fikirishi je watu wasiojulikana hapa Tanzania siyo magaidi japo magaidi wanaweza wakajitaja ama kutojitaja
 
Uhusika wa Marekani kwenye jambo lolote baya nchinj mwetu (kama kweli ni hivyo) ni ishara ya kuongezeka kwa mianya ya utawala mbovu usiojali misingi ya utengamano na mshikamano wa kitaifa tuliokuwa nao huko nyuma.

Marekani siku zote wamejua umoja na udugu wa kitaifa tuliokuwa nao Tanzania, na walijua ulikuwa hauwezi kupenyeka kirahisi kutugawa na kuingiza jambo lao.

Lakini baada ya kuingia Rais mbabe, asiyejali misingi ya utawala bora, anayeendesha nchi kwa matamko ya kifalme na kupuuza utamaduni uliozoeleka wa kukaa na kutatua migogoro na tofauti na makundi yote pinzani, basi wameona huu ndiyo muda wa kuturarua na kutengeneza Libya nyingine Afrika.

Kujiruhusu kwa Rais kuendeshwa kwa 'ushauri wa kiwango cha jalalani' wa watu kama Musiba, na makundi mengine ya kina "sifia-shangilia mfalme ili ule" ndicho chanzo kikuu cha maamuzi ya papara, na kuongezeka kwa matamko mengi ya enzi za ujamaa.

Wamarekani wameusoma mchezo wa aina ya utawala uliopo, na hasa nchi kuwa na Rais anayetamani kuongoza nchi ya chama kimoja, yaani watu wote wawe na mtazamo mmoja, na kuvaa sare za kijazi na njano tu, basi wakaona huu ndiyo muda wa kuingia kwa kutumia makundi ya watu walioko ndani, wenye hasira lakini wamezibwa mdomo.

Tatizo limetengenezwa kwa muda mrefu na CCM yenyewe na tabia yake ya kutaka kukaa madarakani kwa hila na ujanja ujanja bila ridhaa ya wazi ya wananchi. Chenye mwanzo huwa kina mwisho tu. Na Tanzania si tofauti sana nchi nyingine zilizojifanya wababe wakaja kulipa gharama ya kibri.

Tunapowalaumu na kuwatukana Mabeberu, tujilaumu pia sisi wenyewe kwa kukifanya ni wajanja na na wajuaji ambao tunadhani mbinu zetu za kutawala kwa mabavu na vitisho hazitafikia mwisho.

Hakuna namna tujipange tu na yanayokuja maana muda huwa haugandi.

FACTS can be ignored and denied, but FACTS cannot be derailed!
 
Hapa nyi hamjamwelewa huyu mwanamke shetani. Hapa huyu anajita Faiza anachukia utawala wa Magufuli na kusupport uovu na uwongo kwamba serikali ya Magu nj ya kikristo.
Wewe ni mshenzi mkubwa sana tena sana. Unatumika na unataka kutumika. Nenda kwenu kwa mtume. Hapa Tanzania tutakutafuna.
 
Pole sana kama umekazia uko, jifunze ujue jinsi Dunia inavyoendeshwa.
Sawa,.. Lakini Ukweli ndio huo, achane kuminya demokrasia, Watanzania hatuwezi kuwa sote na fikra zinazofanana,..

Tanzania ni yetu sote, hamna mwenye hati miliki ya kutawala wengine..
 
Back
Top Bottom