FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
- Thread starter
- #21
Well said.Mungu atatunusuru na hili. Mimi nahisi tatizo lao kubwa hawa jamaa juu ya hii issue mi kutaka sisi tutowe majeshi yaende Somalia. Kenya na allies wengine naona washachoka kupokea masanduku ya maiti. Hawa vichaa Alshabab na Alqaeeda tuwaachie kama walivyo. Lakini kwa dalili hizi nahisi kama hawa jamaa wanataka kutuletea zengwe kiaina!
Mimi siamini kama Waislam Tanzania kuwa wako institutionally radicalised. Wako tu individuals ambao wataendelea kuexist duniani kote kutoka kila dini. Suala la Bakwata ni kuwa kuna wasema kweli kina Shehe Ponda ambaye yuko vocalist rather than radicalised na naamini anayo right ya kujieleza.
Marekani hana rafiki au adui wa kudumu. Wao wanachojali ni maslahi yao tu.
"You are either with us or you're against us".
Umri umenifundisha kuelewa, ili USA asikuzonge zonge inabidi umpe chochote akitakacho kwa masharti yake.
Lazima umpe vipaumbele katika miradi yako mikubwa na usimzuie na usimbadilishie masharti anayoyataka yeye anapotaka kuwekeza miradi yake mikubwa nchini kwako.
Major export ya USA ni Vita na machafuko Kwa faida yake.
Kubali tu akule, hapo utakuwa salama milele na atakulinda, kinyume na hayo, umeenda na maji!
wanadai amezidisha mfumo kristo. Dah!