USA ndiyo nchi pekee iliyo Huru!

Sasa ndiyo umeandika nini? Mbona unarudi pale pale ninapoongelea? Kwa nini huyo Queen wako siyo Mkuu wa USA lkn ni Mkuu wa Kanada?
We jamaa hujui wala huelewi, nchi kuwa CW ni uamuzi wa nchi unaweza kujitoa au kuingia muda wowote Australia wamewahi kudebate kuhusu kujitoa. USA Kuna states ni wanachama hai wa cw Virginia na Massachusetts. Gambia nchi ya Africa walijitoa. Hakuna obligation ya nchi kuwa au kutokuwepo Commonwealth.
 
Sasa nataka nikueleze kuwa USA ndiyo nchi tegemezi. Umeishi US wewe? Nimeishi kule na kila mtu unayekutana naye akikwambia lazima akueleze yeye asili yake ni either Italy, England, schotland, German or whatever. Kwanini wasiseme wenyewe ni wamarekani. Ukiongea ukasikika una accent ya kiingereza watu wote wanakushangaa na kukuona kama umetoka peponi. Nasema hivi sababu nimeishi NY na kitongoji cha watu wenye uwezo nilikuwa nikiongea na accent yangu ya kwa mama watu wanakushangaa hivyo wewe kama unataka kujua wamarekani kaa uishi nao na ujue wanajisikia je siyo uje na stori hizi. Usipotembea siku zote mama chakula chake kitamu kuliko vyote. By the way accent yangu ya kwa mama ni king'e zaidi ya mr. Pombe. cc mshana jr.

Haujaelewa nilichomaanisha nafikiri, Nchi ya USA inamtegemea nani? USA inafanya biashara na Dunia nzima, na inaaangalia maslahi yake kwenye maslahi inajihusiha ikiona hakuna maslahi inajitoa, kama Paris climate USA imejitoa, lkn Afrika hatuwezi kujitoa popote pale, hata ICC tu AK , Kenya, Gambia wamejaribu wameshindwa, maana yake ni kwmaba hatuna uwezo wa kuamua maisha yetu wenyewe, bali Muzungu ndiyo anayetuamulia!
 
We jamaa hujui wala huelewi, nchi kuwa CW ni uamuzi wa nchi unaweza kujitoa au kuingia muda wowote Australia wamewahi kudebate kuhusu kujitoa. USA Kuna states ni wanachama hai wa cw Virginia na Massachusetts. Gambia nchi ya Africa walijitoa. Hakuna obligation ya nchi kuwa au kutokuwepo Commonwealth.

Acha uongo USA siyo Mwanachama wa British Commonwealth na wala haijawahi kuwa na sababu ni kwamba USA ali-kick ass ya kuwa free nation labda kama hauelewi maana ya British Commonwealth, ni lini uliona Mkutano wa Commonwealth ukifanyika USA au ni lini uliona Timu ktk USA ikishiriki Commonwealth games?
Ndivyo wanavyosema ili kuwafumba macho wajinga kama ninyi, waulize Gambia nini kiliwapata walipojitoa British Commonwealth!
 
umasikini wa nchi za kiafrika ni kama ulitengenezwa kimfumo toka na watu fulani kwa kuficha uhalisia fulani!
 
Mleta uzi, tatizo lako umemezeshwa hizo taarifa na wazungu koko.

USA unaiona iko hivyo ni Kwa sababu ile siyo nchi ya akina Bush, Clinton, and the like.

Hao wazungu koko wote wameua na kuwatenga wazawa halisi wa USA.

Kinachofanywa pale USA ni maigizo fulani hivi ila nchi inaongozwa kutoka UK, France na Israel.

Kama unataka uelewa vizuri, umewahi kujiuliza ni kwa nini hivi karibuni tu, USA kashindwa kumvamia NK na Kim Un .
Sababu kuu, ni kuwa USA kakosa msaada na sapoti kutoka UK, France and Israel.

Ila ukisema, USA yuko huru utakuwa huelewi concepts nyingi sana Kama vile state formation, diplomacy, international relations, foreign policy, global affairs, who runs the World and why, and the like.

USA hana uhuru wowote usijindanganye Kwa kusoma paper uchwara na kusikiliza wazungu koko.
 
Haujaelewa nilichomaanisha nafikiri, Nchi ya USA inamtegemea nani? USA inafanya biashara na Dunia nzima, na inaaangalia maslahi yake kwenye maslahi inajihusiha ikiona hakuna maslahi inajitoa, kama Paris climate USA imejitoa, lkn Afrika hatuwezi kujitoa popote pale, hata ICC tu AK , Kenya, Gambia wamejaribu wameshindwa, maana yake ni kwmaba hatuna uwezo wa kuamua maisha yetu wenyewe, bali Muzungu ndiyo anayetuamulia!
una maana usa siyo wazungu? Scandnavia countries ambazo hazimo kwenye treat nyingi tu siyo wazungu? Wewe una tatizo na neno wazungu labda. Mzungu ni rangi nyeupe awe yupo Tanzania, SA, USA Asia au popote. Usitumie hili neno kwenye negative attitude yako ambayo kila mara unaitumia, bila hawa wazungu usingekuwa unatumia mtandao kuwasema na usingepata hata kujua aeiou unayotumia sasa kuwasema. Ina maana wachina wanachokifanya duniani kwa sasa unapenda? Tembo wetu, faru, madini kila kitu wanachoiba wewe unaona sawa tu sababu wachina ila mzungu mhuu.
 
Wengine wote tumezawadiwa tu huu unaoitwa Uhuru, USA haijapewa Uhuru bali imeuchukuwa kwa nguvu ktk kwa Wakoloni, USA ilipigana Vita na kuwashinda Wakoloni na kuchukuwa Uhuru wao na ndiyo maana wako huru!

Sisi wengine tunadanganyana tu, kilichofanyika ni kwamba Mkoloni kabadilisha namna ya kututawala badala ya kutawala moja kwa moja sasa anatumia njia nyingine, anateua mmoja wetu na ambaye tutamkubali kwa kuona kwamba ni mmoja wetu lkn ukweli ni kwamba yuko kwa ajili ya Muzungu, ndiyo maana mpaka leo hii Waafrika wote wako aidha British Commonwealth ambapo Mkuu wake ni Ufalme wa Uingereza, au Internationale dela Francaphonie na Makoloni ya Ureno nayo yana yao, lkn USA siyo Mwanachama wa huo ujinga, kwa sababu USA ni nchi huru ambapo ilichukuwa Uhuru wake kwa lazima na kwa nguvu, wengine wote Wamama tu, angalia Hati yetu ya kusafiria imeandikwa kama hamna Ubalozi wa nchi yetu hiyo nchi uliopo basi uende Ubalozi wa Uingereza, kwa nini siyo wa Uchina au Zimbabwe?

Tanzania hata Tembo wavamie kijijini kuharibu na kuuwa Wananchi hatuwezi kuwapiga tembo risasi bila kumjulisha Muzungu, WTF?
Zimbabwe hapo zamani ilijulikana kama South Rhodesia. Hili lilikuwa koloni la Waingereza. Ian Smith akaamua kujitangazia uhuru kutoka kwa Waingereza - "Unilateral Declaration of Independence". Kulikuwa na purukushani kidogo kati ya masetla wazungu wa Rhodesia na Uingereza lakini yalikwisha na masetla wazungu wakawa na nchi yao iitwayo S. Rhodesia. Je ule ulikuwa uhuru wa kweli?

Hiki ndicho kilichotokea Marekani. Sasa ukisema Marekani ndio yenye uhuru wa kweli hivi Native Americans (Indians) wasemeje?

Ni sawa na kama Ian Smith na utawala wake ungebaki hadi leo halafu uwaambie weusi wa Zimbabwe kuwa huo ndio uhuru kamili. Same thing na Afrika ya kusini.
 
Unataka kutuambia wachina, Japan ambayo haijawahi tawaliwa na koloni lolote, Scandnavia countries ambazo zilitawala ulaya including England nazo ni watawaliwa? Unataka kutuambia Urusi inatawaliwa na Marekani?

Africa hatutawaliwi ila utegemezi wetu ndo unatusumbua. Wewe si kada mzuri wa CCM chama tawala chenye kushika dora, je? ulishauliza kwanini budget yetu itegemee nchi za nje ili iende? Je, unajua kuwa asilimia kubwa ya bunge letu linafadhiriwa na serikali ya uingereza? Mbona huulizi kwa nini iwe hivyo? Wakoloni waliondoka 1960 bado unawataja wakati wenzio wa Thailand, Malaysia, Singapore, Botswana, Brazil walitawaliwa na watu hao lakini sasa wamekuwa mataifa yenye, maendeleo na uchumi mkubwa duniani? Wenzenu wanabadili uongozi kila mara na hivyo kuna ushindani wa nani na chama gani kimefanya nini, nyinyi mnabakia mipasho ya TOT na akina Diamond. mtakaa hivyo hivyo kama Cuba ambao walitegemea misaada toka USSR ilipovunjika waone walivyo na chama chao kimoja. Tanzania hakuna upinzani sababu mpinzani kila siku ni kutishwa, wameshaambiwa wafuguzwe bungeni ili washughulikiwe nje, ni nchi gani zaidi ya urusi, cuba, uganda, rwanda na nyingi za kiafrika ambazo zinaweza fanya hivyo. Bila uhuru wa raia hakuna maendeleo, hata yakija ni nguvu ya soda.

Du huyu jamaa. Anakuwa na yake sasa anasema tu kila kitu. Hata kama mada haihusu. CCM inazalisha Watu 50 mill au sisi wenyewe na vifaa vyetu. Ukifikiri chama ndo kitaleta maendeleo. Taja chama gani. Mana Chadema. Lowasa ni CCM. Au unamaanicha Act
 
Sijakuelewa ulimaanisha nini kwenye hili. Naomba unifafanulie tafadhari. Natanguliza shukrani.
 
Unajua asili ya taifa la marekani ni nani ? Hawa akina Trump maana yangu wazungu weupe na waafrika ni walowezi.
Marekani ni nchi ya Red Indians ambao hawana nafasi kwenye serikali ya marekani. Kwahiyo Marekani sio nchi huru kama unadhani ni nchi iliyokaliwa kwa mabavu.
Idadi ya hawa Red Indians ilipunguwa sana baada ya kupata maradhi ya kuambukizwa kutoka kwa hawa walowezi kama small pox. Kwasasa hawa red Indians wanaishi vijijini.
 
Mleta uzi, tatizo lako umemezeshwa hizo taarifa na wazungu koko.

USA unaiona iko hivyo ni Kwa sababu ile siyo nchi ya akina Bush, Clinton, and the like.

Hao wazungu koko wote wameua na kuwatenga wazawa halisi wa USA.

Kinachofanywa pale USA ni maigizo fulani hivi ila nchi inaongozwa kutoka UK, France na Israel.

Kama unataka uelewa vizuri, umewahi kujiuliza ni kwa nini hivi karibuni tu, USA kashindwa kumvamia NK na Kim Un .
Sababu kuu, ni kuwa USA kakosa msaada na sapoti kutoka UK, France and Israel.

Ila ukisema, USA yuko huru utakuwa huelewi concepts nyingi sana Kama vile state formation, diplomacy, international relations, foreign policy, global affairs, who runs the World and why, and the like.

USA hana uhuru wowote usijindanganye Kwa kusoma paper uchwara na kusikiliza wazungu koko.

England anaongoza USA? Unaumwa wewe siyo bure unafikiri USA ni Afrika? Unajua BP Kampuni ya Serikali ya Uingereza ililipa na bado inalipa kiasi gani ilipochafua Gulf of Mexiko? Tanzania tuna uwezo wa kumlipisha Muzungu chochote? Haya Madini tu tayari tunaanza kumtetea Muzungu!

Kwa nini Kiongozi wa Uingereza anapigania kuwa wa kwanza kwenda kujitambulisha kwa Raisi wa USA?
USA ana control Ulaya yote kama ulikuwa haujui na ndiyo maana Trump ameiondoa USA Paris Climate bullshit na hakuna wa kumfanya kitu sisi hata tembo hatuwezi kuuwa bila Mzungu kukubali!
 
Still, you missed the point.
 
Back
Top Bottom