USA nao wanataka majina ya facebook, instagram, twitter &Co.!

Kila nikitafakari "SABABU" hasa iliyofanya Maxence Melo ashitakiwe na aswekwe ndani Nashangaa sana na kulicheka hili Taifa.

Ni maajabu kwakweli.
 
Pumba ya kufungia mwaka hii thread. Wakati mwingine ujinga na upumbavu ni kipaji toka kwa shetani
 
Baada ya Serikali yetu kumtaka mmiliki wa JF kushirikiana na Serikali kumezuka maneno meengi ya dharau na kejeli dhidi ya Serikali yetu mimi naita dhidi ya Watanzania kwani Serikali inatuwakilisha hasa hasa ktk kwa madiaspora na wengi wao wanaishi USA!

Sasa USA wameamua katika hali inayoonekana kuwa ni hatua ya kwanza ya total surveillance kwa wasafiri wote ambao kwa sasa hawahitaji viza kuingia USA kuweka wazi akaunti zao zote za social media kama twitter, facebook, instagram n.k. bila ya hivyo ni no entry ina the US of Amerikaa!

Halii hii bila shaka itapelekea pia nchi hizo kuwataka raia wa USA pia kuweka wazi social medai accounts zao kabal ya kuingia EU!

Najua hapa JF kwa kuwa kafanya Mzungu, Mwafrika atatoka povu kuteteta na kuhalalisha na kusema hii ni ya Mzungu ni demokrasia na ya kwetu ni udikteta!

Uncle Sam Wants Travelers to Hand Over Social Media Accounts
Naona hii itatumika zaidi kwa waislamu, wamefanya hivi ili waonekane hawana ubaguzi. Hii haiwahusu wamarekani, sioni una linganisha kwa misingi ipi. Au ulikuwa hujaelewa?
 
Halii hii bila shaka itapelekea pia nchi hizo kuwataka raia wa USA pia kuweka wazi social medai accounts zao kabal ya kuingia EU!]

Sijaelewa, nchi zipi zitawataka raia wa Marekani kutaja akaunti zao? Au una maana nchi za EU ndio zimewawekea hayo masharti raia wa Marekani? Nikukumbushe tu kuwa US na EU ni sehemu mbili tofauti zenye taratibu tofauti.

Hayo mengine, wengi walionitangulia wamekuelezea vizuri tu.
 
Kwahiyo automatically kwa bandiko lako hili umeshatuthibitishia kuwa Wewe ni mmoja wa Watanzania wachache WANAFIKI na wenye ROHO MBAYA ambao mlifurahia na pengine hata kufanya sherehe baada ya kuona Ndugu Maxence Melo kakamatwa na kusekwa lupango na nina uhakika tena kwa bandiko lako hili hili Wewe ni miongoni mwa Watanzania wachache ambao kutoka kwa dhamana kwa Ndugu Maxence Melo kuliwaumiza sana na mlinuna mno.

Halafu umenishangaza kidogo kwahiyo Wewe chochote ambacho kitatokea tu nchini Marekani basi ni halali na lazima kifuatwe na nchi zingine Tanzania ikiwemo? Kwahiyo Wamarekani wakiamua kutembea u.c.h.i. wa Mnyama kabisa na Wewe utapendekeza Watanzania tuwaige? Na mbona hujafanya reference ya nchi zingine na umeamua ku sample tu Marekani?

Mnachonishangaza Watu humu baadhi yenu hamuipendi JF na mlikasirika Co-Founder wake Ndugu Maxence Melo kutoka kwa dhamana lakini bado tu Members wa JF ambayo inaongozwa na huyo huyo mnayemchukia. Kuna Professor mmoja aliwahi kusema kuwa Watanzania tuna ongezeko la Wasomi ambao wanaongeza kwa kasi sana idadi ya Wapumbavu duniani na sasa kupitia tu uzi wako huu naanza kumwelewa huyo Mzungu japo mwanzoni alipoisema hii kauli niliona kama vile anatudhalilisha.

Mwisho nimalizie tu kwa kukushauri mleta mada kuwa acha kuwa MNAFIKI na KUJIPENDEKEZA wakati dunia yote ya Watu makini sasa inapigania FREEDOM OF EXPRESSION na INTERNET FREEDOM kwa nguvu zote. Nikutakie pia Christmas njema!
Mkuu kwanza samahani sana maana nilikuwa najua wewe ndo huyo jamaa aliyeleta huu uzi kumbe sio.
 
Labda lengo la uzi wako hapa nini? Maana huko mwishoni hujaeleweka ulivomaliza,na nimkuona siku nyingi sana unavoshadadia.ni kama kukamatwa kwa Max ulifurahi sana
 
Nadhani shida ya huyu pimbi wa Lumumba ni lugha ya kiingereza. Hapo kinachohitajika ni kuweka wazi accounts na sio kuwasilisha taarifa za siri za watumiaji wa account ili washitakiwe. Serikali yako hii puuzi inataka taarifa zetu ili itupeleke mahakamani kwa kosa la kumsema vibaya mtukufu raisi. Toka sheria ya mitandao imeanzishwa imetumika dhidi ya wale waliohoji matokeo ya uchaguzi na wale wanaomsema vibaya mtukufu. Sheria imeundwa kwa ajili ya mtu mmoja. Sasa hivi amefanya ufisadi kwa kujenga uwanja wa ndege wa hadhi ya kimataifa kijijini kwake ili atumie yeye na familia yake na asisemwe na yoyote. Then atakapobadilisha katiba ili akae madarakani milele nyie wakata viuno mtasema ni heri kwa vile hakuna mtukufu mwingine kama huyo hapa Tanzania
 
Hii si ya kidikteta ni ya kawaida sana hauwezi ilinganisha na iliyopo iliyotumika kumsweka ndani max kule marekani alikamatwa Gaidi akagoma kuifungua simu yake aina ya iPhone ili polisi wasome taarifa zake na kujua Tabia zake ikawa vigumu,wakaamua kwenda kwa mmiliki wa kiwanda cha iPhone awasaidie kutoa Siri za iPhone akagoma kutoa mpaka leo FBI wanahaha lakini mmiliki wa iPhone kagoma na hawajamkamata kumweka ndani,lakini ingekuwa Tz leo hii angekuwa gerezani Ukonga.
mkuu,baada ya apple inc kukataa,f.b.i walihack hio simu na kuacess infos walizoziitaji!
 
Baada ya Serikali yetu kumtaka mmiliki wa JF kushirikiana na Serikali kumezuka maneno meengi ya dharau na kejeli dhidi ya Serikali yetu mimi naita dhidi ya Watanzania kwani Serikali inatuwakilisha hasa hasa ktk kwa madiaspora na wengi wao wanaishi USA!

Sasa USA wameamua katika hali inayoonekana kuwa ni hatua ya kwanza ya total surveillance kwa wasafiri wote ambao kwa sasa hawahitaji viza kuingia USA kuweka wazi akaunti zao zote za social media kama twitter, facebook, instagram n.k. bila ya hivyo ni no entry ina the US of Amerikaa!

Halii hii bila shaka itapelekea pia nchi hizo kuwataka raia wa USA pia kuweka wazi social medai accounts zao kabal ya kuingia EU!

Najua hapa JF kwa kuwa kafanya Mzungu, Mwafrika atatoka povu kuteteta na kuhalalisha na kusema hii ni ya Mzungu ni demokrasia na ya kwetu ni udikteta!

Uncle Sam Wants Travelers to Hand Over Social Media Accounts
Mbona umekuja na mihemko hapa?Mbona umeweka unadhani?Lete habari kama ilivyo kwenye link na si kuweka hisia zako!
 
Kwahiyo automatically kwa bandiko lako hili umeshatuthibitishia kuwa Wewe ni mmoja wa Watanzania wachache WANAFIKI na wenye ROHO MBAYA ambao mlifurahia na pengine hata kufanya sherehe baada ya kuona Ndugu Maxence Melo kakamatwa na kusekwa lupango na nina uhakika tena kwa bandiko lako hili hili Wewe ni miongoni mwa Watanzania wachache ambao kutoka kwa dhamana kwa Ndugu Maxence Melo kuliwaumiza sana na mlinuna mno.

Halafu umenishangaza kidogo kwahiyo Wewe chochote ambacho kitatokea tu nchini Marekani basi ni halali na lazima kifuatwe na nchi zingine Tanzania ikiwemo? Kwahiyo Wamarekani wakiamua kutembea u.c.h.i. wa Mnyama kabisa na Wewe utapendekeza Watanzania tuwaige? Na mbona hujafanya reference ya nchi zingine na umeamua ku sample tu Marekani?

Mnachonishangaza Watu humu baadhi yenu hamuipendi JF na mlikasirika Co-Founder wake Ndugu Maxence Melo kutoka kwa dhamana lakini bado tu Members wa JF ambayo inaongozwa na huyo huyo mnayemchukia. Kuna Professor mmoja aliwahi kusema kuwa Watanzania tuna ongezeko la Wasomi ambao wanaongeza kwa kasi sana idadi ya Wapumbavu duniani na sasa kupitia tu uzi wako huu naanza kumwelewa huyo Mzungu japo mwanzoni alipoisema hii kauli niliona kama vile anatudhalilisha.

Mwisho nimalizie tu kwa kukushauri mleta mada kuwa acha kuwa MNAFIKI na KUJIPENDEKEZA wakati dunia yote ya Watu makini sasa inapigania FREEDOM OF EXPRESSION na INTERNET FREEDOM kwa nguvu zote. Nikutakie pia Christmas njema!
Asipoelewa akapimwe akili
 
Mimi naisi, hata apa Jamii Forum wakitaka kujua mtu anayetumia Jina bandia wanampata, Sema tuuu Technology ya Tanzania bado aijawa kubwa.
Mfano mzuri kujiunga na Jamii Forum Lazima uwe na simu yenye Imei na email address Lazima utumie, sasa inashindikana vip? Kufatilia Email address na Imei ya simu. Hiyo kwa America ni swala dogo sana
 
Back
Top Bottom