Kalamu Yangu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,093
- 1,027
View attachment 450051
Yaani mkuu wangu Barbarosa unaniangusha sana;mahaba kwa chama chetu yamekufanya ushindwe hata kutulia na kuisoma vyema taarifa hiyo,ndiyo maana umeandika US of Amerikaa!!Sijui hii ulimaanisha nini??
Halafu hawa jamaa kuomba Social media accounts,hwamaanishi uwape mpaka nywira yako.Ni sawa na unapotuma maombi ya kibarua cha buku saba,wakikwambia ktk barua unadike sanduku la Posta,haimaanishi na funguo ya kufungulia sanduku lako uwape.
Au wanaposema andika email yako,haimaanishi uwape na nywira ya barua pepe hiyo.Hata kwa kuandika account yako ya Facebook,lengo si kuwapa wao faragha yako ya Fb.Wanachotaka wao ni kufuatilia post na michango yako ya nyuma ya Fb kwa kuangalia maandishi unayoyapost,kwani wenzetu walioendelea,maandishi yako tu yanaweza kuelezea kilichomo kichwani mwako.
Yaani wao mtu akindika tu,wanaweza kujua mtu huyu nia yake nini?Kwa hiyo hata ukifanya ugaidi wanaweza pitia posts zako na wakajua kuwa nia hiyo ulikuwa nayo muda mrefu.Kwa mfano;yale maandishi ya yule Deogratius Kisandu ,ingekuwa huko nje,madaktari wangeshampa kitanda muda mrefu.
Soma vizuri sehemu ya maelezo la Tangazo hilo:
Even though the request for social media information is optional, the program has attracted intense criticism from the tech industry and civil liberties groups. The critics point out that social media profiles can reveal deeply personal information—sexual orientation or political viewpoints, for instance—and that the collection program could lead other countries to impose similar requirements. As a result, Americans traveling abroad could have to hand over their Facebook profile to enter a country.
Na hapa,angalia aina na muundo wa form unayotakiwa kujaza;
Mkuu hapo kwa Kisandu umenifanya nicheke kwa sauti