Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Kwangu mimi ndivyo ninavyoiona USA ni kama vile unamuona demu kavaa suruali ya kubana na anavutia na kuanza kumsifia kwamba anafaa kuwa naye bila ya kujua undani wake.
Ukiangalia sana watu hawako free kiivyo USA, mfano mzuri ni Kanye West, kwa kuwa tu wewe ni mweusi basi ni lazima umchukie D.Trump na ni lazima awe Chama cha Democrat vinginevyo wewe ni mtu mbaya, sasa Kanye West kaonyesha mapenzi yake kwa D.Trump wamemchukia na wanaanza kumbomoa, sasa hawataki kununua muziki wake, media zinamshambulia na wanakwenda mbali hata kuharibu career yake sasa uhuru na haki yake kama raia kuchagua Raisi na Chama akipendacho uko wapi?