Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,659
- 4,387
ndio maana leo mwanza imepita figher jet ya jw inaenda kushambulia huko
hizo habari umezisikia wapi,,us hawezi kupeleka pua huko anga limeshafungwaNaskia f- 22 raptor zinaogeleatu kwenye anga ya Syria licha ya s-300 security system za urusi.
Then wana Ogernize training ya wapiganaji almost 30,000 eti kwaajili ya kuwapiga Is.SYRIA NI KUBWA MKUU, ZINAPITA MPKANI MWA UTURUKI NA SYRIA AMBAKO WANASEMA ZINASHAMBULIA IS NA SIO JESHI LA SYRIA, KWA SASA JESHI LA SYRIA LIKO SALAMA SANA PAMOJA NA HIZBULLAH NA JESHI LA IRAN, NA MAREKANI WANAPOPITISHA NDEGE ZAO KWENYE MIPAKA YA SYRIA HUWAGA INAIJUULISHA RUSSIA KUWA ITASHAMBULIA WANAOSEMA KUWA NI IS, NA KWA TAARIFA TU ASSAD AMESHAFANYA KITUMBO HUKO, NO STRESS, WATU WANAFKIRIA KUIJENGA TENA SYRIA
kuna watu bado hawaamini kuona us na mtoto wake wamekuwa wapolehizo habari umezisikia wapi,,us hawezi kupeleka pua huko anga limeshafungwa
Duuhh kweli dawa ya jeuri " kiburitena jana walionyesha meli zao za mafuta zikiwa zinasafirisha mafuta kama kawaida
Hahaawatajua wenyewe..
sputniknews.com
Sera ya mambo ya nchi za nje ya Marekani inayumba sana...na sasa itawagharimu. Ona aibu nyingune hii.
===
![]()
US Backtracks on Sanctions on Iran's Revolutionary Guards Days After Designation
Earlier, the US formally designated Iran's Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) military unit a foreign terrorist organisation, with Tehran responding by placing...sputniknews.com