Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,729
- 46,999
Mtaje sasa huyo mtejaSasa watasafirishaje mafuta kwenye meli ambayo hayana mteja? Swali lako la ajabu, wanaposafirisha maana yake wanapeleka kwa mteja.
Mtaje sasa huyo mtejaSasa watasafirishaje mafuta kwenye meli ambayo hayana mteja? Swali lako la ajabu, wanaposafirisha maana yake wanapeleka kwa mteja.
sio rahisi russia kumsaidia iran directNgoja tuone, Putin anaweza akaamua kumsaidia ulinzi kama alivyo fanya Syria yani kuamua kuilinda biashara, sijui itakuwaje.
Ngoja tuone, Putin anaweza akaamua kumsaidia ulinzi kama alivyo fanya Syria yani kuamua kuilinda biashara, sijui itakuwaje.
kwann hawezi kupitisha bomba pengine?IRAN ANAUWEZO WA KUJILINDA KWA SASA, RUSSIA ALIKUA NA MKATABA WA KUILINDA SYRIA KIJESHI TOKEA ENZI ZA HAFIDH ASSAD, ALAF PIA RUSSIA ANAJUA KUWA KAMA SYRIA IKIVAMIWA KIJESHI NA MAGHARIBI BASI MASLAHI YAKE YA GESI ULAYA YATADORORA COZ NJIA NJIA NZURI YA SAUDIA KUPITISHA BOMBA LA MAFUTA KWENDA ULAYA IPO SYRIA, SO SIO RAHISI RUSSIA KUKUBALI
Kwani wewe Iran isipowekewa vikwazo unapata faida gani?
Kwa nini, Aliwezaje Syria alafu ashindwe Iran.sio rahisi russia kumsaidia iran direct
russia na syria walikuwa na mikataba ya ulinzi that why kama ilivyo tz na bulgaria japo wanafichaKwa nini, Aliwezaje Syria alafu ashindwe Iran.
Putin ana provide msaada wa kijeshi waziwazi Syria na US wana angaliatuu. Putini anaweza kujabu Irani pia ilikupima kama anaweza kubadilisha mambo kama Syria, late's keep on wait and see.
Unasema kwamba Tanzania tunapenda vya bure, hiyo kashfa kwa nchi yetu; si ajabu na wewe ni mtanzania. Hata kama wewe siyo mtanzania, si uungwana kukashfu nchi ya watu. Hakika, ni kwa ni kwa sababu tu sina uwezo wa kujua wewe ni nani na uko wapi na sina hakika kama ningeweza kukumudu.labda north korea na wapenda vya bure tanzania
tz ni wapenda vya bure halipingiki iloUnasema kwamba Tanzania tunapenda vya bure, hiyo kashfa kwa nchi yetu; si ajabu na wewe ni mtanzania. Hata kama wewe siyo mtanzania, si uungwana kukashfu nchi ya watu. Hakika, ni kwa ni kwa sababu tu sina uwezo wa kujua wewe ni nani na uko wapi na sina hakika kama ningeweza kukumudu.
Vingineyo, ningeweza kujua wewe ni nani, uko wapi na nina uwezo wa kukumudu, ningekuadabisha na usingerudia tena kuikashfu Tanzania; nakushauri acha tabia hiyo.
Unamaanisha kwamba Tz inalindwa na Bulgaria??russia na syria walikuwa na mikataba ya ulinzi that why kama ilivyo tz na bulgaria japo wanaficha
no wanasaidiana kijeshi sema tu bulgaria nae maisha magumu tu lkn anaumuhimu mkubwa sana kwenye usalama wa tzUnamaanisha kwamba Tz inalindwa na Bulgaria??
Wewe ni msurura kabisa, China, Russia, India mbona wananunua sana mpaka leo. Uwe unasoma habari za ulimwengu jinga sana weweKupitia wap? Tupe evidence hata moja from 1stNov sio maneno, nipe taifa hata moja ambalo limeweza agiza mafuta ya Iran from 1st nov hata pipa 2 tu,
ITAWAKOST ZAIDI YA SANA MKUU, SYRIA NDIO NJIA RAHISIkwann hawezi kupitisha bomba pengine?
tz ni wapenda vya bure halipingiki ilo
SOMA HABARI MKUU SIO UNAPINGA KUTOKANA NA MAHABAKupitia wap? Tupe evidence hata moja from 1stNov sio maneno, nipe taifa hata moja ambalo limeweza agiza mafuta ya Iran from 1st nov hata pipa 2 tu,
Elewa kiingereza basi mkuu, nimekuuliza nitajie nchi gani ambayo wameshanunua hata pipa mbili tu, wewe unanipa hanari za S.Korea na Japan kwamba wata endelea kuagiza mafuta january, hizo ni assumptions za baadae, mimi nimeuliza as we speak, and for your information your source ni udaku tu, kati ya mataifa wanaoheshim hasa vikwazo vilivyowekwa na swahiba wao ni mataifa hayo ulioyataja kamwe hayawez kukiuka afadhal ungesema hata mengineSOMA HABARI MKUU SIO UNAPINGA KUTOKANA NA MAHABAView attachment 943310