US wameshindwa kuwazuia Irani?.

US wameshindwa kuwazuia Irani?.

Netanyau yuko levelheaded,ndo maana kamnyima Naftali uwaziri wa ulinzi,akijua jamaa hajatulia anaweza kuingiza israel katika vita vikubwa,
Netanyau huwa anapiga na kupuliza ili kutofanya mgogoro kuwa endelevu kama ule wa afaghnistani,
mfano majuzi,israel wakati walipoona basi lao limelipuliwa na footage kurushwa al aqsa Tv,
israel walikwenda kulipua kabisa kile kituo cha Tv,lakini kabla hajalipuwa,walitumia dakika 45 kuongea na mpalestina mmoja awahimize watu waliokuwa ujirani na kituo watoke kabla hajalipua,baada ya kutoka ndo wakalipua,
ingekuwa liebman au Naftali wao wangemwaga makombora tu na kuua mamia ya watu ,kitu ambacho kingeweza kuleta vita vya iwalo na liwe na ingeicost israel,
na wakati wote wa mapambano hayo,magari ya mizigo yalikuwa yakiendelea kuingia gaza kutoka israel,kwani wanajua wakiwanyima mahitaji muhimu na watu wote milioni 2 wakarise,wao hawatabaki salama kwani hawana stock ya mabomu ya kutosha kuua watu milioni 2
 
Hapo chini umemalizia kwa kusema Israel hawana stock ya kutosha ya Mabomu,una uhakika?
 
fact mtu akishafikia levo ya liwalo na liwe huwa ni mbonde munene ngoma nzito
 
Kuna watu wa ajabu humu!! Wanafurahia Iran kuwekewa vikwazo, sijui wanapata faida gani kwa mzungu...

Trump hakukosea kutuambia waafrika hatuna akiili, Wapumbavu, wajinga.. binafsi naona yupo sahihi kabisa...maana tumewakumbatia mno hawa wauwaji.
We unapata nini kwan Iran? Wote mbwa tu! Simwarabu ama nguruwe pori
 
Niko pamoja na nchi zote zinazokataa kuonewa kizembezembe
Nalog off
Mkuu, dunia nikama baharinitu, samaki mkubwa huonea wadogo na hakuna kinacho badilika.
Lakini angalau ni vizuri kuonyesha hatuungi mkono uonevu.
 
Mbona umepanik mkuuu, ndio ivyo haina namna tutaendelea kuuza mafuta yetu January
Elewa kiingereza basi mkuu, nimekuuliza nitajie nchi gani ambayo wameshanunua hata pipa mbili tu, wewe unanipa hanari za S.Korea na Japan kwamba wata endelea kuagiza mafuta january, hizo ni assumptions za baadae, mimi nimeuliza as we speak, and for your information your source ni udaku tu, kati ya mataifa wanaoheshim hasa vikwazo vilivyowekwa na swahiba wao ni mataifa hayo ulioyataja kamwe hayawez kukiuka afadhal ungesema hata mengine
 
SYRIA NI KUBWA MKUU, ZINAPITA MPKANI MWA UTURUKI NA SYRIA AMBAKO WANASEMA ZINASHAMBULIA IS NA SIO JESHI LA SYRIA, KWA SASA JESHI LA SYRIA LIKO SALAMA SANA PAMOJA NA HIZBULLAH NA JESHI LA IRAN, NA MAREKANI WANAPOPITISHA NDEGE ZAO KWENYE MIPAKA YA SYRIA HUWAGA INAIJUULISHA RUSSIA KUWA ITASHAMBULIA WANAOSEMA KUWA NI IS, NA KWA TAARIFA TU ASSAD AMESHAFANYA KITUMBO HUKO, NO STRESS, WATU WANAFKIRIA KUIJENGA TENA SYRIA
Naskia f- 22 raptor zinaogeleatu kwenye anga ya Syria licha ya s-300 security system za urusi.
 
Back
Top Bottom