EU yaivimbia Marekani huku ikiilinda Irani kibiashara

EU yaivimbia Marekani huku ikiilinda Irani kibiashara

TUJITEGEMEE

Platinum Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
27,505
Reaction score
28,438
UPDATE: 21/08/2020
Nchi tatu za EU ambazo ni UK, France na Germany zimekataa kutii mapendekezo ya US juu ya kurejesha vikwazo dhidi ya Iran katika misingi ya JCPOA. Nchi hizo zina sema US hana uhalali wa kutumia JCPOA kupendekaza adhabu kwa Iran baada ya yeye mwenyewe US kujitoa kibabe hata baada ya kubebelezwa na Merkel, Macron, na Borris wakati huo akiwa waziri wa mambo ya nje ya UK asijitoe.

Kwa taarifa zaidi fuatilia hapa chini

Germany, France & UK REJECT US push to reinstate UN sanctions on Iran

UPDATE
01/12/2019
===
NCHI sita za EU 'zajiunga' katika mpango wa kukwepa vikwazo vya US dhidi ya Irani.

Six European countries, among them US NATO allies, have joined an EU scheme to bypass Donald Trump’s sweeping sanctions, which ban all trade activities with Iran, raising the ire of a notorious American ambassador in Berlin.
Belgium, Denmark, Finland, the Netherlands, and Sweden released a joint statement relating their intent to connect to INSTEX, short for the Instrument in Support of Trade Exchanges, a European special-purpose vehicle. The move is to “facilitate legitimate trade between Europe and Iran,” and also to make the Islamic Republic stick by the 2015 JCPOA nuclear deal.
The news –lauded by some European diplomats– earned an angry rebuke from Richard Grenell, the US Ambassador to Germany. The envoy, whose heavy-handed diplomacy has irritated many influential Germans, found in his crosshairs a tweet by Lars Nordrum, Norway’s Ambassador to Iran.

Update
01/10/2019
===

nchi nane za EU zajipanga kuanza rasmi kuonyesha US kuwa zimeamua kuivimbia. Kwa taarifa zaidi fuatilia hapa.
---

Eight EU countries have joined INSTEX, the mechanism set up to trade with Iran while circumventing US sanctions, and another two are set to follow, according to an aide to EU High Representative Federica Mogherini.
Apart from the three countries that initiated the creation of the mechanism – France, Germany and Great Britain – eight more EU member states have decided to join. Two more countries are expected to follow in their footsteps,” Nathalie Tocci, an aide to Mogherini, said on Monday on the sidelines of the Valdai Club meeting in Sochi.
While Tocci did not mention which countries were joining the exchange, Sweden and Belgium have both said they plan to join, and membership was opened up to all EU countries in June, five months after the exchange’s creation.

Earlier this month, senior Iranian lawmaker Mucteba Zunnur said the EU had promised to contribute $15 billion to INSTEX – and promised in return to resume compliance with the JCPOA nuclear deal if the money was received before the end of the year. The EU had no official response to his claim.

UPDATE
28/06/2019
Sasa EU inaweza kufanya miamala ya fedha na Iran baada ya kufanikiwa kuanzisha mfumo ambao hautahathiriwa na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran. Mfumo huo unaitwa The European financial settlement mechanism (INSTEX), umeanza kufanya kazi rasmi. Habari hii imedhibitishwa na uwakilishi wa Iran katika mkataba wa JCPOA-1
===
The European financial settlement mechanism (INSTEX), aimed at circumventing US sanctions against Iran, is working and transactions are already happening, according to Iran’s JCPOA envoy.
The payments mechanism was established by the European Union to keep trading with Tehran despite US sanctions in order to keep the nuclear deal with Iran alive.
The US re-imposed sanctions against the Islamic Republic following Washington’s withdrawal from the 2015 Iran nuclear deal, officially known as the Joint Comprehensive Plan of Action (JCPOA).

"The announcement sent oil sharply lower, with crude futures falling about $1/bbl in closing minutes before settlement, extending daily loss, as it means Iran now has a fully functioning pathway to receive payment for oil it exports to anyone it chooses. "
UPDATE
31/01/2019
Katika hatua nyingine inayoonyesha 'uvimbaji' wa EU dhidi ya US, wanachama wa EU( Ujerumani, Ufaransa na UK) wanaelekea kukamilisha mfumo wa kufanya miamala na Iran kwa namna ambayo inakwepa vikwazo vya US kwa yeyote atakayefanya biashara na Iran. Kwa sasa biashara zisizotumia malipo ya dola kati ya nchi hizi na Irani ni zile zinazohusu bidhaa za ki-ubinadamu kama madawa na kadhalika. Mfumo huo mpya wa kufanya miamala na Iran unaitwa INSTEX. Utasimikwa Ufaransa ,kuendeshwa na wataalamu wa banki za Ujerumani na UK itaongoza bodi ya utawala wa mfumo huo.
----
Germany, France and the UK are setting up a transaction channel with Iran in a bid to thwart US sanctions and continue business with Tehran. For now, the non-dollar trade is said to be limited to humanitarian goods only.
The new payment system is called INSTEX – short for “Instrument in Support of Trade Exchanges.” It will reportedly be based in Paris and managed by a German banking expert, German media say. The UK is expected to head the supervisory board

EU takes 1st step to evade US’ Iran sanctions as it sets up payment channel for ‘humanitarian’ trade

UPDATE
07/11/2018
Mtihani wa kwanza kwa EU kuivimbia Marekani. SWIFT wazikatia baadhi ya benki za Iran kutokana na masharti ya US. Hii inakwenda kinyume na sheria za EU ambapo SWIFT inawajibika kwazo. Tusubiri tuone nini watafanya EU.
---
The international financial messaging system SWIFT has announced the suspension of several Iranian banks from its service. The move comes as the United States re-imposes nuclear sanctions on Tehran. Washington has been pressuring SWIFT to cut off Iran from the financial system as it did in 2012 before the nuclear deal. Six years, ago the EU imposed sanctions on Iranian banks, forcing SWIFT, which is subject to EU laws, to cut financial transactions with at least 30 of Iran’s financial institutions, including the central bank.
Iranian banks were reconnected to the network in 2016 after the Iran nuclear deal came into force, allowing much needed foreign cash to flow into Tehran’s coffers.
RT.com

======
UPDATE
03/11/2018
EU kupitia Ujerumani, Uingereza na Ufaransa zimesisitiza kuwa zitaendelea kufanya biashara na Iran. Hii ni baada ya Marekani kuamua kurudisha vikwazo vyote vilivyokuwa vimewekwa kabla ya mkataba wa JCPOA wa nchi kadhaa na Iran kuhusu urutubishaji nyuklia. Zaidi soma hapa chini na chanzo cha habari cha DW.com.
-----
Germany's Foreign Ministry took to Twitter to defend the Iran deal, also known by the acronym JCPOA (Joint Comprehensive Plan of Action), and to vow that Berlin would continue to trade with legitimate businesses in Iran, as permitted by the agreement.
"The JCPOA is a key element of of global nuclear nonproliferation architecture and of multilateral diplomacy," said the German government in a joint statement with the UK and France. "It is our aim to protect European economic operators engaged in legitimate business with Iran, in accordance with EU law."

US announces broad new sanctions against Iran | DW | 02.11.2018

UPDATE
25/09/2019
Kuonyesha kuwa EU haitanii katika suala lake la kutokubaliana na US, sasa inaandaa utaratibu wa kufanya malipo bila kufuata mfumo wa fedha unaodhibitiwa na US katika biashara yake na Iran. Maelezo zaidi haya hapa
------
5ba9a04efc7e93807a8b45a2.jpg

FILE PHOTO: Iranian Foreign Minister Mohammad Javad Zarif and the High Representative of the European Union for Foreign Affairs and Security Policy Federica Mogherini © Leonhard Foeger / Reuters
European Union foreign affairs chief Federica Mogherini says the EU signatories remain committed to the nuclear deal with Iran that the US has quit. The group is working to create special payment channels to do business with Iran.
EU to create special payment channels with Iran despite US sanctions – Mogherini
UPDATE
25/08/2018
EU imekubali hivi majuzi kuipatia msaada wa maendeleo Iran unaokadiliwa kufika Euro 18 milioni. Marekani wachukia.

Washington said the EU’s latest Iran development aid package of €18 million is “sending the wrong message” and apparently undermining its efforts to isolate the Islamic republic with unilateral sanctions.

“The European Union’s August 23 announcement of a new $20.7 million payment that will widen economic and sectoral relations between Iran and Europe sends the wrong message at the wrong time,” US State Department Special Representative Brian Hook said.

The US official went on to claim that Tehran will gratefully take the EU money and use it to “conduct assassinations in those very European countries.”

DETAILS :RT.com

UPDATE
07/08/2018
Mambo yameiva, EU imesema itaziadhibu kampuni za Ulaya zitakazotii masharti ya US.
=====
European companies doing business with Iran could soon find themselves between a rock and a hard place. Should they comply with US sanctions and abandon Tehran, they may in turn face sanctions in their home EU.
EU will punish own companies if they comply with US sanctions on Iran, says Mogherini aide
===
06/08/2018
EU imekataa kuidhinisha vikwazo dhidi ya Irani vilivyowekwa kibabe na US. Na EU imesema makampuni yake hayataguswa na mashinikizo ya vikwazo vya US kwa mwamvuli wa EU. Kuonyesha wameivimbia kweli kweli wame'washa' na wataanza ku'puliza' kitu kinaitwa 'Blocking Statute' kesho. Hii kitu inakinga makampuni ya EU na bughudha za Marekani katika biashara zao. Maelezo ya Kina haya hapa chini
====
The European Union is enforcing the so-called Blocking Statute to protects its firms operating in Iran from the looming US sanctions against the country.
The first round of renewed US sanctions will take effect on Tuesday after midnight US Eastern time with the harshest sanctions expected to return in early November.
The European Commission has stated that despite US sanctions, European companies will continue doing legal business in Iran under the protection from Brussels.
“The lifting of nuclear-related sanctions is an essential part of the deal – it aims at having a positive impact not only on trade and economic relations with Iran, but most importantly on the lives of the Iranian people. We are determined to protect European economic operators engaged in legitimate business with Iran, in accordance with EU law and with UN Security Council resolution 2231,” the European Commission stated on Monday.
"This is why the European Union’s updated Blocking Statute enters into force on 7 August to protect EU companies doing legitimate business with Iran from the impact of US extra-territorial sanctions," it added.
Brussels announced back in May that it would enable the Blocking Statute starting from August. The law was first adopted in 1996 and forbids EU companies from complying with the extraterritorial effects of US sanctions. It allows companies to recover damages arising from such sanctions, and nullifies the effect in the EU of any foreign court judgements based on them.

EU blocking US sanctions against Iran to protect European companies
---
Update
====
Kumetokea mlipuko mkuwa Bologna, Italy. Italy ni mwanachama wa EU

2 dead, at least 55 injured in massive highway explosion in Bologna (PHOTOS, VIDEOS)
 
Attachments

  • Bologna.jpg
    Bologna.jpg
    22.6 KB · Views: 139
hakuna kitu kama icho,Hakuna kampuni itakayotaka kufilisiwa na USA ili ifanye biashara na Iran.Nenda na dola Moja huko Iran uone kama ujarudi na Rambo LA manoti ya pesa zao.Vikwazo vya kawaida vinaanza mwezi huu,na ikifika November hawataruhusiwa kuuza mafuta nje ya Iran.Wanachofanya EU in kujikosha wasionekane wamewasaliti Iran kutokana na mkataba walioingia nao before Trump.
 
Uchumi ni namba , na namba hazidanganyi. Wakiona kupoteza biashara na Marekani INA hasara zaidi zaidi kuliko kuliko kufanya biashara na Iran basi ujue Iran wataachwa . ila wakitumia kigezo kuwa, je kutonunua mafuta ya Iran kukiongeza bei ya soko la mafuta mardufu na EU akapoteza pesa nyingi za kununua mafuta , wakati huo Marekani yeye sasa hivi anajitosheleza mafuta na gas kwa teknolojia ya cracking na shale gas basi EU atakuwa upande Wa Iran. Na lengo LA Marekani no kuona bei ya mafuta inapanda ili Trump alipe fad hila za matajiri Wa biashara waliomuweka madarakani wanafaidi urais wake akiwemo mrusi. Hiyo ndiyo hoja itakayoamua Mchina na EU wanagemea upande UPI? Mengine yote tutasikia porojo tupu, haipendwi nchi Bali mchango kwenye maslahi mapana hasa uchumi wake. Huo ndio ukweli Wa mchina kumbinya Kim Wa Korea akubali ya mbabe Marekani ili mchina asikose export ya $ 600 bln za kuuza Marekani wakati Marekani ananunua $ 130 bln toka uchina kwa mwaka . Turufu ya Iran ni bei ya mafuta kupanda ndio itwaokoa. Lakini Marekani akimshawishi Saudi Arabia aongeze uzalishaji na bei isipande believe me Iran atapiga magoti kwa Eagle(Evil) empire.
 
Huo ndio ukweli Wa mchina kumbinya Kim Wa Korea akubali ya mbabe Marekani ili mchina asikose export ya $ 600 bln za kuuza Marekani wakati Marekani ananunua $ 130 bln toka uchina kwa mwaka .
Mkuu asante sana kwa ufafanuzi wako...! Ila naomba ufafanuzi hapo kwenye tarakimu. China anauza/export $600 bln US na US ananunua $ 130 bln kutoka China. Maana yake, China anatoa msaada kwa US wenye thamani ya $ 470 bln ?
 
Uchumi ni namba , na namba hazidanganyi. Wakiona kupoteza biashara na Marekani INA hasara zaidi zaidi kuliko kuliko kufanya biashara na Iran basi ujue Iran wataachwa . ila wakitumia kigezo kuwa, je kutonunua mafuta ya Iran kukiongeza bei ya soko la mafuta mardufu na EU akapoteza pesa nyingi za kununua mafuta , wakati huo Marekani yeye sasa hivi anajitosheleza mafuta na gas kwa teknolojia ya cracking na shale gas basi EU atakuwa upande Wa Iran. Na lengo LA Marekani no kuona bei ya mafuta inapanda ili Trump alipe fad hila za matajiri Wa biashara waliomuweka madarakani wanafaidi urais wake akiwemo mrusi. Hiyo ndiyo hoja itakayoamua Mchina na EU wanagemea upande UPI? Mengine yote tutasikia porojo tupu, haipendwi nchi Bali mchango kwenye maslahi mapana hasa uchumi wake. Huo ndio ukweli Wa mchina kumbinya Kim Wa Korea akubali ya mbabe Marekani ili mchina asikose export ya $ 600 bln za kuuza Marekani wakati Marekani ananunua $ 130 bln toka uchina kwa mwaka . Turufu ya Iran ni bei ya mafuta kupanda ndio itwaokoa. Lakini Marekani akimshawishi Saudi Arabia aongeze uzalishaji na bei isipande believe me Iran atapiga magoti kwa Eagle(Evil) empire.
Suala la Saudi Arabia nalo ni kizungu mkuti. Maana mafuta kutoka Saudi Arabia kwenda USA yatapitia wapi. Maana kupitia Israel utakutana na Syria huko Iran anaweza kuzuia meli kupita.
Kupitia maeneo ya Yemen huko nako hali siyo shwari.
Persian Gulf tena usiseme utakutana na Iran uso kwa uso. Sijui njia gani ya kutoka Saudi Arabia
1533560437833.png
 
View attachment 828514
We nawe.... Hapo Red sea si meli inapitia Suez Kanal huko Syria ikafate nini? Hata hivo marekani pia inapigana ku "control" visima vya Mafuta. Iraq asilimia kubwa ya visima ni makampuni ya Marekani. Huko Syria sasa Kaskazini mwa Mto Euphrate ambapo pana zaidi ya 40% ya visima vya Mafuta vya siria vina dhibitiwa na marekani... Hali ikiwa Shwari utaona makampuni yao yakifanya kazi huko
 
Update
====
Kumetokea mlipuko mkuwa Bologna, Italy. Italy ni mwanachama wa EU

https://www.rt.com/news/435214-bologna-airport-explosion-videos/

Mkuu mimi nina maswali hapa:
Mosi, Umoja wa Ulaya unapitisha sheria ya kuyalinda makampuni yao yanayofanya kazi nchini Iran. Hivi hiyo sheria mbali na kulipa fidia za hasara na kutotii maamuzi ya mahakama ya nchi za nje, inawezaje kuyalinda hayo makampuni ???

Pili, huo mlipuko uliotokea nchini Italia sasa hivi unahusikaje na The Blocking Statute ???
 
Uchumi ni namba , na namba hazidanganyi. Wakiona kupoteza biashara na Marekani INA hasara zaidi zaidi kuliko kuliko kufanya biashara na Iran basi ujue Iran wataachwa . ila wakitumia kigezo kuwa, je kutonunua mafuta ya Iran kukiongeza bei ya soko la mafuta mardufu na EU akapoteza pesa nyingi za kununua mafuta , wakati huo Marekani yeye sasa hivi anajitosheleza mafuta na gas kwa teknolojia ya cracking na shale gas basi EU atakuwa upande Wa Iran. Na lengo LA Marekani no kuona bei ya mafuta inapanda ili Trump alipe fad hila za matajiri Wa biashara waliomuweka madarakani wanafaidi urais wake akiwemo mrusi. Hiyo ndiyo hoja itakayoamua Mchina na EU wanagemea upande UPI? Mengine yote tutasikia porojo tupu, haipendwi nchi Bali mchango kwenye maslahi mapana hasa uchumi wake. Huo ndio ukweli Wa mchina kumbinya Kim Wa Korea akubali ya mbabe Marekani ili mchina asikose export ya $ 600 bln za kuuza Marekani wakati Marekani ananunua $ 130 bln toka uchina kwa mwaka . Turufu ya Iran ni bei ya mafuta kupanda ndio itwaokoa. Lakini Marekani akimshawishi Saudi Arabia aongeze uzalishaji na bei isipande believe me Iran atapiga magoti kwa Eagle(Evil) empire.

Marekani baada ya Shale Oil Revolution ya mwaka 2014 hajali sana kuhusu biashara ya mafuta ya wale waarabu. Maana wanasema kufika hadi 2020 anaweza akaacha kabisa kusafirisha mafuta kutoka Ghuba ya Uajemi (The Persian Gulf). Ndiyo maana sasa hivi huu mgogoro wake na Ulaya una sura nyingi sana kwasababu juzi hapa aliwatishia kwamba wasinunu gesi ya Mrusi bali wanunue gesi yake, naye sasa katingwa kutafutia makampuni yake soko kubwa.

Hilo la Ulaya na Iran nalo ni gumu sana maana Ulaya walifanikiwa kumzuia Bill Clinton na hii sheria mwaka 1996 lakini sijuia kama watamzuia Donald mwaka 2018 ambapo sehemu kubwa ya Uchumi wa Ulaya uko shimoni. Kuhusu Iran sasa, jambo la muhimu kukumbuka ni kwamba uchumi wake bado haujasimama kwa kiasi kukubwa na bado anaweza akafanyiwa kama alivyofanyikwa mwaka 2012 kwenye THE SWIFT AFFAIR ili kumfanya akubali kukaa kwenye meza ya mazungumzo.

SWIFT a.k.a Society for Worlwide Interbank Financial Telecommunication iliwafanya waajemi wakubali kukaa kwenye meza ya mazungumzo na mataifa ya Magharibi. SWIFT ndiyo chombo kinachotumiwa na mabenki yote hapa duniani kwenye kufanikisha usafirishaji wa pesa nje ya mipaka ya nchi yako. Bank yoyote ya dunia hii inapotaka kusafirisha pesa nje ya mipaka lazima kwanza ipewe CODE kutoka SWIFT ndiyo wakamilishe muhamala. Sasa Iran alitolewa nje ya huu mfumo na ikawa haiwezekani nchi kununua mafuta kutoka Iran kwa pesa za kawaida na hivyo wateja wakapata shida na mabenki ya Iran yakaumizwa.

Hebu jiulize ni hasara kiasi gani waliyopata hawa waajemi....
Baada ya mazungumzo ya ule mgogoro wa Nyuklia ndiyo mwaka 2016 Iran akaomba arudishwe SWIFT. Urusi baada ya CRIMEA mwaka 2014, alitaka kutolewa kwenye huu mfumo akatishia kwamba wakifanya hivyo itakuwa "Tantamount to Aggression" na angejibu mapigo ili waumie wote. Mrusi ana msuli mkubwa, mataifa ya Magharibi yaliweka vikwazo lakini hakujaribu kumtoa SWIFT.

Sasa basi:
Vikwazo vya Mike Pompeo vinaweza vikawa vibaya sana lakini bila Ulaya kuwa upande wa Marekani ni jambo la hatari sana sanaa. Iran katika hili anaweza kuumizwa sana lakini sidhani kama Marekani anaweza kufanya jambo kubwa hapa duniani bila THE WESTERN ALLIANCE kuwa pamoja.
 
Mkuu mimi nina maswali hapa:
Mosi, Umoja wa Ulaya unapitisha sheria ya kuyalinda makampuni yao yanayofanya kazi nchini Iran. Hivi hiyo sheria mbali na kulipa fidia za hasara na kutotii maamuzi ya mahakama ya nchi za nje, inawezaje kuyalinda hayo makampuni ???

Pili, huo mlipuko uliotokea nchini Italia sasa hivi unahusikaje na The Blocking Statute ???
Hiyo sheria ni porojo,hakuna kampuni kubwa ya west inatakayofanya kazi na Iran bila waiver ya USA vikwazo vikianza.Unafikiri TOTAL,boeng,airbus and co. Watakubali Mali zao kuwa freezed kisa Iran.Wamepewa muda mpaka November waondoke.Remember Trump anaogopeka kuliko tunavyodhani
 
Suala la Saudi Arabia nalo ni kizungu mkuti. Maana mafuta kutoka Saudi Arabia kwenda USA yatapitia wapi. Maana kupitia Israel utakutana na Syria huko Iran anaweza kuzuia meli kupita.
Kupitia maeneo ya Yemen huko nako hali siyo shwari.
Persian Gulf tena usiseme utakutana na Iran uso kwa uso. Sijui njia gani ya kutoka Saudi Arabia
View attachment 828514

Mpaka sasa Marekani anategemea asilimia chache sana ya mafuta kutoka Ghuba ya Uajemi. Duniani yeye ndiyo anaongoza kuzalisha mafuta na mwaka jana kazilisha mapipa ya mafuta mengi kuliko Urusi na Saudi Arabia. Kama alivyosema Mkuu muyovozi kwamba baada ya Shale Oil Revolution ya mwaka 2014, Marekani ana ulinzi wa kinishati (Energy Security) kuliko wenzake wengi wa Ulaya ambao hutegemea mafuta na gesi kutoka Urusi na Uarabuni.

Ndiyo maana sasa hivi anafanya mambo ambayo anajua kabisa yanaweza kusababisha vita kwenye Ghuba ya Uajemi. Yakitokea ya kutokea pale yeye hatapata hasara kubwa kwasababu wakianza kupigana pale mafuta hayatazalishwa tena. Kama mafuta hayazalishwi basi kutakuwa na mfumuko mkubwa wa bei ya mafuta hapa duniani, yeye atauza sana mafuta, yaani atauza kweli. Japo mgogoro hauwezi tokea kirahisi kwasababu mataifa ya Ulaya na Mashariki ya mbali kama Uchina na India itakula kwao kwasababu hawana Energy Security kama Marekani.

Iran acheze vizuri sana huu mchezo, maana akibugi tu imekula kwake mzee, tena imekula sana sanaaaa. Anashindana na American Corporatists na Wazayuni ambao hutumia mapesa na akili kwa wingi.
focuseconomics_top_oil_producers_march_2018.jpg
 
Hiyo sheria ni porojo,hakuna kampuni kubwa ya west inatakayofanya kazi na Iran bila waiver ya USA vikwazo vikianza.Unafikiri TOTAL,boeng,airbus and co. Watakubali Mali zao kuwa freezed kisa Iran.Wamepewa muda mpaka November waondoke.Remember Trump anaogopeka kuliko tunavyodhani
Corrections.
Boeing ni kampuni la Marekani siyo Ulaya.
Sasa tukirudi kwenye swali letu la msingi hapa: Hivi unadhani Marekani anaweza kukamata mali za makampuni kutoka Ulaya ??? Atazikamata mali au atayazuai makampuni yasifanye kazi nchini kwake ???

Trump haogopwi kwasababu anaweza kufanya kitu cha kutisha lakini kwasababu anajiamini kwamba Umoja wa Ulaya hauwezi kuingia kwenye vita ya kibiashara na Marekani kwasababu ya Iran. Vita ya kibiashara ikitokea baina ya Ulaya na Marekani basi ndiyo utakuwa ndiyo mwanzo wa kuanguka kwa mataifa ya Magharibi. Hivyo sidhani kama tutashuhudia vita ya kibiashara kati ya Marekani na Umoja wa Ulaya kisa tu Iran, sidhani kama itatokea leo au kesho.
 
Mkuu mimi nina maswali hapa:
Mosi, Umoja wa Ulaya unapitisha sheria ya kuyalinda makampuni yao yanayofanya kazi nchini Iran. Hivi hiyo sheria mbali na kulipa fidia za hasara na kutotii maamuzi ya mahakama ya nchi za nje, inawezaje kuyalinda hayo makampuni ???

Pili, huo mlipuko uliotokea nchini Italia sasa hivi unahusikaje na The Blocking Statute (BS) ???
Asante mkuu kwa maswali yako murua kabisa; swali la kwanza itabidi nipitie makabrasha yangu kwanza. Swali la pili, uhusika wa mlipuko huo na BS itategemea na taarifa za uchunguzi. Kama uchunguzi utagundua kuwa ni shambulio la kigaidi ama ajali ya kawaida(Taarifa za awali wanasema ni ajali kati ya roli la mafuta na gari lingine la kawaida). Kama litakuwa tukio la kigaidi, basi....tutajua BS inahusika kwani wanolipa magaidi kufanya uharifu Ulaya na Uarabuni wanajulikana.
 
Back
Top Bottom