US wameshindwa kuwazuia Irani?.

US wameshindwa kuwazuia Irani?.

Wewe ni msurura kabisa, China, Russia, India mbona wananunua sana mpaka leo. Uwe unasoma habari za ulimwengu jinga sana wewe
Nikweli, kuna nchi ambazo "zinasemekana" Us eti ameziruhusu kununua mafuta Irani kwa sababu ya uhitajiwao mkibwa.
Yani China, Japan, Taiwan na nyingine kadhaa.
Na ametoa kipindi maalum cha miezi 6 kama sijakosea ili kutoa nafasi kwa uzalishani wa ziada kutoka Saudia kuziba gap litakalo achwa na Iran na baada ya hapo wata ziba kabisa usafirishaji wa mafuta kutoka Iran.
 
Iran: US has failed to stop oil exports

Rouhan, anasema wataendelea kusafirisha mafuta kama kawaida mana Us hawata wazuia kwa kuwa kuna nchi nyingitu haziungi mkono maamuzi ya vikwazo ispokuwa Israel na wengine wachache.

My take, kuna harufu ya US kufyata mkia this round.
Rais Trump anaiendesha nchi yake kama 'Trump Inc' matokeo yake yameleta mgawanyiko mkubwa baina ya wananchi wake, ameuvuruga umaja wa nchi za magharibi kutokana na kutaka kuwaburuza kama vikaragosi. Ameharibu mahusiano mazuri yaliyokuwepo kwenye umoja wa marekani [NAFTA]
US pia imeipa nguvu sana Russia kutokana na mgawanyiko huo[nadhani russia wana siri zake nyeti] amelazimisha nchi za asia kuwa karibu zaidi na vilevile amefanya warusi na wachina kuwa karibu zaidi.
Raisi huyu anadhoofisha hata vyombo vyake vya usalama,ustawi wa jamii, mahakama kutokana na kuwafanyia dharau zisizostahili. Kwa ufupi US sasa haivutii kabisa
 
iran wapo vizur kwa habari za ajabu View attachment 940786
Siyo kweli
Kilichomfanya Lieberman kujiuzulu ni kutofautiana na waziri mkuu kwenye kusitisha mashambulizi dhidi ya Hamas.
Lieberman alitaka mashambulizi yaendelee lakini waziri mkuu aliona ni busara kusitisha kwani kama Hamas wataacha kurusha vikombora vyao islreal state of quo' inaweza kuendelea.
Lieberman na Netanyahu wote ni hawks ila nadhani lieberman anautaka uwaziri mkuu wa nchi hiyo na ametafuta upenyo na ameupata. Ninauhakika kwenye uchaguzi ujao atashindana na Netanyahu.
Huyu jamaa akishinda itakuwa balaaa.
 
Unadhani US inaongozwa kama Tanzania eti?
Trump maamuzi yoyote anayofanya yana impact pos+kwa nchi yake.Na yanabaraka zote za Congress na uongozi wote wa juu.

Lazima tukubali kuwa zama zimebadilika na US kama nchi inayoongoza kwa kuwa na watu wenye high IQ na uzalendo mkubwa kwa nchi yao wamebadili sera na movement zao.

Saiz usitegemee dunia hii kuingia tena vitani kirahisi.kwa sababu zama zimebadilika.sera pia zimebadilika.Na impact ya haya inaonekana maana US uchumi wake upo juu na unaendelea kuwa juu.
Trump hawezi kujiamulia chochote bila baraka za wakubwa wake.Kuna wakubwa wanaoongoza nchi za wenzetu nje na wanasiasa kama akina obama na Trump bao ndio wenye akili na wanaangalia kwa ukaribu sana miaka 50 mbele hadi 100.ko ukidhani 2025 US atashuka wenzako washaona hilo miaka kama 25 nyuma na walishajipanga kuhakikisha wanaendelea kusimama.Ndo maana US hana rafiki wa kudumu wala Adui wa kudumu.Yote kwa yote wanapima upepo unavyoendaje wanabadili move.well planned.
 
balaa kivipi ?
 
labda ni pandikizi
 
Hebu angalia US news sasa uone jinsi wana democraft na republican wanavyokubaliana mambo ambayo miaka 2 iliyopita isingewezekana.
 
Nimetingwa mkuu nadhani wewe ulienanafasi hata kwa unagaubaga ungetuambia ni yapi ambayo Republican na Dems wanakubaliana sasaivi na mwanzo walipingana.
 
Unadhani US inaongozwa kama Tanzania eti?
Trump maamuzi yoyote anayofanya yana impact pos+kwa nchi yake.Na yanabaraka zote za Congress na uongozi wote wa juu.

Lazima tukubali kuwa zama zimebadilika na US kama nchi inayoongoza kwa kuwa na watu wenye high IQ na uzalendo mkubwa kwa nchi yao wamebadili sera na movement zao.

Saiz usitegemee dunia hii kuingia tena vitani kirahisi.kwa sababu zama zimebadilika.sera pia zimebadilika.Na impact ya haya inaonekana maana US uchumi wake upo juu na unaendelea kuwa juu.
Trump hawezi kujiamulia chochote bila baraka za wakubwa wake.Kuna wakubwa wanaoongoza nchi za wenzetu nje na wanasiasa kama akina obama na Trump bao ndio wenye akili na wanaangalia kwa ukaribu sana miaka 50 mbele hadi 100.ko ukidhani 2025 US atashuka wenzako washaona hilo miaka kama 25 nyuma na walishajipanga kuhakikisha wanaendelea kusimama.Ndo maana US hana rafiki wa kudumu wala Adui wa kudumu.Yote kwa yote wanapima upepo unavyoendaje wanabadili move.well planned.
Hebu Angalia
1.Trade
EU and China break ultimate trade taboo to hit back at Trump
Brussels and Beijing want to stop the US justifying tariffs as security measures, but the move carries high risks.
By JAKOB HANKE
11/21/18, 5:35 PM CET

Updated 11/23/18, 8:11 AM CET
Anger over U.S. President Donald Trump’s steel tariffs is pushing Europe and China to rip up one of the most sacrosanct unwritten rules in international trade policy: Don’t question national security.
Brussels and Beijing on Wednesday launched explosive cases at the World Trade Organization, in which they will argue that Trump’s tariffs on steel and aluminum, imposed in May, cannot be justified on grounds of national security, as the White House claims. The EU and China were joined in their protest by Mexico, Norway, Russia and Canada.
2. Judiciary
Trump hits back at Chief Justice Roberts, escalating an extraordinary exchange
The president had originally attacked a District Court judge who ruled against his asylum policy as an 'Obama judge.'
By MATTHEW CHOI
11/21/2018 01:13 PM EST
Updated 11/21/2018 07:29 PM EST
Share on Facebook Share on Twitter
Supreme Court Chief Justice John Roberts and President Donald Trump took swipes at each other Wednesday in an extraordinary exchange over just how partisan federal courts really are.
Roberts said Wednesday morning there are no “Obama judges or Trump judges” after the president attacked the judge who ruled against his attempt to restrict asylum seekers at the border earlier this week.
 
balaa kivipi ?
Quote from Associated Press-ISREAL
Israel’s prime minister, Benjamin Netanyahu, has said he will take on the defence minister portfolio, rejecting calls to dissolve his government even as early elections appeared increasingly likely.
Netanyahu said heading to elections now, amid repeated violent confrontations with Gaza militants, was “irresponsible” of his coalition partners, who have been pushing for early polls since the resignation last week of the defence minister, Avigdor Lieberman, over a Gaza ceasefire.
 
Back
Top Bottom