Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 8,379
- 24,695
Kwa hiyo kila mara meli hiyo ikiwa baharini iwe na escort ya nchi iliposajiliwa?Bado haina tofauti kubwa, nchi ikibeba bendera ya nchi fulani, hiyo nchi (country of registration) ndio inayohusika na suala lolote la kiusalama la hio meli.