US Intel Report: Putin Directed Cyber Campaign to Help Trump

If that is true!! i compily my thought that Snowden was Republican plan to what it happened!! i never trust USA and thier missions , but i respect them
 
These things happen everyday.

Check your spam folder and see all the junk emails that you have/ get. What do you think all those emails are?

Try opening them and see what happens.

Everybody hacks everybody.

So it's nothing really to be surprised about.

Ever heard of Kim Dotcom?

If you haven't look him up.

Best believe the US tries to hack other countries too.

This should only surprise the naive. But to the likes of us...nah.

The thing to do is always have your guard up.

Never let up.
 
Cheza na Mrusi wewe! Kama kweli wamemdukua noma sana na kesho anafanya news conference for the first time in six months sijui kama ataruhusu maswali maana maswali mengi yatahusu kudukuliwa kwake. I hope wamedukua tax filings zake za miaka chungu nzima alizogoma kuziweka hadharani kwa kudai IRS wanamfanyia Audit. Na IRS wakasema wao kufanya ukaguzi hakumzuii taxpayer kuweka tax records zake hadharani lakini bado jamaa akaingia mitini.

BAK what thaa.....!!!!!

This's getting even weirder, mteule nae kadukuliwa?!
 
  • Thanks
Reactions: kui

Haha, eti watoe Tax filings, wewe. The timing will be a coincidence too. 🙂

Hii noma sasa, na kinachonishangaza ni wanataka kufanya nini na personal info zake.
 
BAK what thaa.....!!!!!

This's getting even weirder, mteule nae kadukuliwa?!

Watu wanakusanya habari au taarifa zako kisha wanaamua wazitumie zipi, lini kwa aina gani ilimradi lengo lao litimie.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mkuu figisu zozote si nzuri na pia sidhani ni sawa ku justify figisu zilizofanywa ndani ya DNC na zilizofanywa na Putin. The formal was within the party, the latter is between countries. Kama Putin amefanikiwa ku interfear na ku influence uchaguzi sasa, who knows what he's capable of doing next time?!
I don't think there's any good reason to this mkuu.
report nadhani inasema russia hawaja hack voting system lakini waliachia emails za hillary( personal server) na DNC....kitu ambacho Russia wao wamefanya ni ku publish vitu vitu walivyo hack...interfering ni kuingilia uchaguzi...ku influence ni kusaidia one part lakini kama kweli walijua Hillary alikuwa na makosa why Government ilikuwa inamsafisha huoni kuwa wao pia walikuwa wanaficha mabaya ya Hillary?....
hizi ni politics tu
 
  • Thanks
Reactions: kui
Watu wanakusanya habari au taarifa zako kisha wanaamua wazitumie zipi, lini kwa aina gani ilimradi lengo lao litimie.

See. Na hii ikiwa confirmed wakute Warusi wanazo hizo Info zake watatafutana, ukizingatia na beef lililopo kati ya Putin na USA. If they decide to sabotage this, he's such a big risk, kwake mwenyewe na biashara zake, na kwa Nchi as Prez.
 
Trump: 'I think it was Russia' Khe kheeeeee kheeeeeee hatimaye karuka huku na kule lakini ujanja wake kwishney.

Hahahahhaaaaaaa!, kakubali bwana, sasa next news conference (sijui lini tena) atakubali mengine labda...lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naona mpaka July tena maana kama news conference zenyewe mshike mshike kiasi hiki kama hii ya leo basi mbili kwa mwaka tu zitatosha au yatakuwa ni majanga. I can't wait to watch Alec Badwin on SNL lol!

Eti nyingine mpaka July!, mbavu zangu mie...😀😀😀😀😀

Mbili kwa mwaka, nane kwa miaka 4, kamaliza mchezo...lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Si umeona watu wa media walivyomnuia leo na yeye kishawasagia sana. Atakuwa anafanya news conference zake Utube kule hakuna maswali lol! au atatweet kamaliza kazi hahahahaha ngoja tuone lini tena atafanya News Conference nyingine labda January 21 after his inauguration or after State of the Union speech.

Mbona wana kazi, sasa hizi fake news tunazolalamikia naona tumesahau zile conspiracy theories na Fake News za birther claims mpaka tukatuma watu Hawaii Ku investigate birth cerfificate ya Obama. Halafu tuliziamini mpaka juzi kati hapo, wakati wa campaign, na baada ya kuona watu wanatukubali ikabidi tuwe serious na tuachane na Fake News za birther claims na kukubali kuwa Obama was born in the US of A.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Media watalala naye mbele nadhani ataiona WH chungu kama asipoamua kubadilika na kubehave kama Rais wa nchi na kuendelea kuongea hovyo hovyo dhidi ya media basi kazi kubwa anayo katika miaka minne ya utawala wake. Na yule Tillerson leo katofautiana naye kwa kusema Urusi ni nchi hatari kwa Marekani. Boss na subordinate wake wameshaanza kutofautiana hata kabla ya kuingia madarakani. Na sijui kama watampitisha kama Sec of State.

Mbona wana kazi, sasa hizi fake News naona tumesahau zile conspiracy theories na Fake News za birther claims mpaka tukatuma watu Hawaii Ku investigate birth cerfificate ya Obama. Halafu tuliziamini mpaka juzi kati hapo, wakati wa campaign, na baada ya kuona watu wanatukubali ikabidi tuwe serious na tuachane na Fake News za birther claims na kukubali kuwa Obama was born in the US of A.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Si umeona watu wa media walivyomnuia leo na yeye kishawasagia sana. Atakuwa anafanya news conference zake Utube kule hakuna maswali lol! au atatweet kamaliza kazi hahahahaha ngoja tuone lini tena atafanya News Conference nyingine labda January 21 after his inauguration or after State of the Union speech.

U tube hakunaga maswali eti. [emoji2] [emoji124]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kule unaongea tu ukichoka unamaliza lol! Hukuwahi kuona alifanya sijui mbili au tatu za utube. Usishangae akahamia huko au akaendelea kutweet kuanzi 9 za usiku 🙂🙂🙂

U tube hakunaga maswali eti. [emoji2] [emoji124]
 
  • Thanks
Reactions: kui
Media watalala naye mbele nadhani ataiona WH chungu kama asipoamua kubadilika na kubehave kama Rais wa nchi na kuendelea kuongea hovyo hovyo dhidi ya media basi kazi kubwa anayo katika miaka minne ya utawala wake. Na yule Tillerson leo katofautiana naye kwa kusema Urusi ni nchi hatari kwa Marekani. Boss na subordinate wake wameshaanza kutofautiana hata kabla ya kuingia madarakani. Na sijui kama watampitisha kama Sec of State.

That was bizarre,kisa cha kukasirika ni kwa sababu kaulizwa swali na watu wanataka kujua ukweli?
Halafu akawalinganisha Intel comm. with German Nazi?, wow!
Sasa ana tofauti gani na Africa yetu ambapo wanasiasa wana undermine kupita kiasi waandishi wa habari, yaani hiyo miaka 4 watu wasitake kujua ukweli.

Na hii ya Tillerson ni shiider, wametofautiana na boss wake in key issues halafu. Naona Rubio kam grill na tena akasema he's not committing to voting for him.
 
Back
Top Bottom