MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,750
- 71,628
скомпрометированы........?????
I always thought America is Invincible.
Haha, huyu jamaa katenda watu kitendo.
Watu tuliweka dau chini kwa jinsi upepo ulivyokuwa unaenda kwa Hillary kumbe..
Spy alikuwa anatoa orders tu. Mziki ulikuwa unapangwa na kupanguliwa kutoka Moscow bhana. 😀
Kuna campaign event moja ya mteule alitoa kauli ambayo baadaye baada ya hili bomu kulipuka nikajumlisha 1+1 nikapata 3 🙂🙂🙂 kauli yake ilikuwa ni kuhusu warusi kuwa wameshaanza kumfunyua Hillary. Nina wasi wasi hili bomu bado halijalipuka lote. Na kama dhana yangu itakuwa kweli basi kutakuwa na patashika nguo kuchanika siku za usoni.
Halafu cha kushangaza, kwa nini Comey hatoi jibu kamili akiulizwa kuhusu hii kitu wakati FBI walikuwa wana investigate hizi habari za uhusiano wa campaign ya Mteule na Russia wakati wa uchaguzi?!, alivyoulizwa na senate members jibu lake ni, 'he can't confirm or deny'