US Intel Report: Putin Directed Cyber Campaign to Help Trump

kui

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
6,467
6,499
Habari za punde zime hakikisha kuwa Rais wa Urusi Putin, aliamrisha Russian Military Intelligence kutumia vyombo mbalimbali kama WiKiLeaks, CDLacks.com na Gucifer kuingilia email za chama cha democratic party, na kutoa emails kwa ajili ya kumsaidia bwana Trump kushinda uchaguzi mkuu wa Marekani uliofanyika Nov.8 last year.

Report hiyo imetolewa na CIA, FBI na NSA.
Russia wamekataa allegations of hacking wakati wa campaign za uchaguzi huo.




WASHINGTON - Russian President Vladimir Putin ordered an effort to help Republican Donald Trump's electoral chances by discrediting Democrat Hillary Clinton in the 2016 presidential campaign, U.S. intelligence agencies said in an assessment on Friday.

Russia's objectives were to undermine public faith in the U.S. democratic process, denigrate former secretary of state Clinton, make it harder for her to win and harm her presidency if she did, an unclassified report released by the top U.S. intelligence agency said.

"We assess Russian President Vladimir Putin ordered an influence campaign in 2016 aimed at the US presidential election," the report said. "We further assess Putin and the Russian Government developed a clear preference for President-elect Trump. We have high confidence in these judgments."

The agencies believe Russian military intelligence used intermediaries such as WikiLeaks, DCLeaks.com and the Guccifer 2.0 personal to release emails that it had acquired from the Democratic National Committee (DNC) and top Democrats as part of the effort. It said the operation went for "targets associated with both major US political parties."

he report assessed with "high confidence" that the GRU, Russia's military intelligence agency, had used those intermediaries to release "US victim data obtained in cyber operations publicly and in exclusives to media outlets and relayed material to WikiLeaks."

WikiLeaks founder Julian Assange has said he did not receive emails stolen from the DNC and top Hillary Clinton aide John Podesta from "a state party." Assange did not rule out the possibility that he got the material from a third party.

Russian actors were not found to have targeted U.S. systems that are involved in tallying votes, the report said. The report was produced by the Central Intelligence Agency, the Federal Bureau of Investigation and the National Security Agency.

Russia denies the U.S. government's allegations of hacking during the election campaign..

U.S. intel report: Putin directed cyber campaign to help Trump
 
kwangu mimi naona ni propaganda kama walizotumia kumuangamiza sadam hussein na nitakuwa kuamini huu uongo wa cia,fbi na homeland security na walikkuwa wapi kipindi chote hicho mpaka sasa kutakuwa na kitu nyuma ya pazia sio bure
ndoa ya julian asenga na putin wapi na wapi hawa fbi,cia na homeland security wapuuzi sana wanataka kutuaaminisha ujinga sisi
nb : wameshindwa kutoa ushahidi basi waache kutapatapa
 
Naona wengi tunashindwa kuelewa haya mambo hizo ni tuhuma kama tuhuma tu nyingine, na mtuhumiwa anakuwa na kesi ya kujibu hadi pale ushahidi unapoletwa mezani usioacha hata chembe ya shaka.

Sasa kwa hii scenario hadi hapa tunavyojadili Obama administrtion wameshindwa kutoa ushahidi uliokamilika.

Wanalialia tu wanazidi kujiabisha, aibu kubwa hii.
 
Naona wengi tunashindwa kuelewa haya mambo hizo ni tuhuma kama tuhuma tu nyingine, na mtuhumiwa anakuwa na kesi ya kujibu hadi pale ushahidi unapoletwa mezani usioacha hata chembe ya shaka.

Sasa kwa hii scenario hadi hapa tunavyojadili Obama administrtion wameshindwa kutoa ushahidi uliokamilika.

Wanalialia tu wanazidi kujiabisha, aibu kubwa hii.

Haya mambo ya spying ni magumu sana. Ukitoa ushahidi ina maana unazi expose source zako zote za information! Siyo kwamba hawana ushahidi, wanao!
 
US wachutame tu,washavuliwa nguo
halafu si bora hizo leak zilivujishwa,huyo mkuu wa kampein wa hilaly alikuwa na mchezo wa kuwabaka watoto wa kike na inahisiwa hadi kuwatoa kafara,email ziliwekwa wazi pia zikimhusisha hilary clinton na mchezo wa kusagana ha yule msaidizi wake hume abeidine,
kwa mauchafu yaliyoanikwa wazi ndo yalipelekea hilary kushindwa na Trump,
hakuna cha ajabu Russia hata kama walifanya,marekani mbona kila mara huingilia chaguzi za nchi zingine na watu wako kimya
 
Uchaguzi hautarudiwa Pakawa lakini kwa mara ya kwanza katika historia ya Marekani Rais mteule haafikiani na Masenate wengi kwenye chama chake katika issue yenye umuhimu mkubwa katika kuhakikisha Democracy ya Marekani. Sijui hali hii ya kutoafikiana na masenators wa chama chake itaendelea vipi akishaingia madarakani. Kama kutoafikiana kutaendelea basi kuna uwezekano mkubwa wa utawala wake kutokuwa na mafanikio na hivyo kupunguza uwezekano wa yeye kuchaguliwa tena kwa awamu ya pili. Ngoja tuangalie hili sakata litakavyojidhirisha katika uso wa dunia hasa kwa wale wanaopenda kufuatilia international affairs.

Is there any possibility uchaguzi ukarudiwa??? Hahahhh jeuri kwishney! Anapenda sana ubepari huyu bwana! Sauti ya wengi majibu ni haya! Next mahakamani.
 
Upuuzi mtupu, wanazidi kujidhalilisha tu. Kwanza ieleweke kwamba wanachodaiwa kudukua ni email za Democratic na sio kucheza na mfumo wa matokeo uliopelekea kumpa ushindi Trump. Tuhuma za Clinton kutumia personal email zilitosha kumfanya asiwe credible za kuwa mgombea urais, mbona hill hawalisemi?
Ikumbukwe Trump alipoulizwa kama atakubali matokeo alijibu itategemea....tulishuhudia Obama na Clinton walivyomshambulia Trump kwamba anafedhehesha na kuvunjia heshima mfumo imara wa uchaguzi was US na democrasia ya nchi hiyo kwa ujumla.
Sasa hizi sarakasi na ngonjera zinatoka wapi?
 
Back
Top Bottom