US Intel Report: Putin Directed Cyber Campaign to Help Trump

US Intel Report: Putin Directed Cyber Campaign to Help Trump

trump should speak something on this allegations! silence means something
 
trump should speak something on this allegations! silence means something

This is what Trump is tweeting;

Having a good relationship with Russia is a good thing, not a bad thing. Only "stupid" people, or fools, would think that it is bad! We have enough problems around the world without yet another one. When I am President, Russia will respect us far more than they do now and both countries will, perhaps, work together to solve some of the many great and pressing problems and issues of the WORLD!
 
Uwe unafuatilia habari za Kimataifa! Baada ya Obama kuwapa 72hrs wanadiplomasia wa Urusi, Putin nae akasema angewarudisha wanadiplomasia wa Marekani katika namba ileile, 35. Usiwe unabisha na kuita watu waongo bila kufanya utafiti! Putin alibadilisha mawazo ndio akawaalika wanadiplomasia wa Marekani na familia zao kwenye Christmas party!
Si kweli, ukiona nipo jukwaaa la kimataifa nso ujue pia nafuatilia habari za kimataifa, sergei lavlov ndo aliyesema kuwa watalipiza kusasi kwa hatua alizofanya marekani, PUTIN akawa anategemewa na kusubiriwa kwa hamu waone watajibuje, baadaye putin ndo akasema hatachukua hatua mpaka raisi mpya ashike madaraka na waone mwenendo wake ndipo wao wataamua cha kufanya
 
Upuuzi mtupu, wanazidi kujidhalilisha tu. Kwanza ieleweke kwamba wanachodaiwa kudukua ni email za Democratic na sio kucheza na mfumo wa matokeo uliopelekea kumpa ushindi Trump. Tuhuma za Clinton kutumia personal email zilitosha kumfanya asiwe credible za kuwa mgombea urais, mbona hill hawalisemi?
Ikumbukwe Trump alipoulizwa kama atakubali matokeo alijibu itategemea....tulishuhudia Obama na Clinton walivyomshambulia Trump kwamba anafedhehesha na kuvunjia heshima mfumo imara wa uchaguzi was US na democrasia ya nchi hiyo kwa ujumla.
Sasa hizi sarakasi na ngonjera zinatoka wapi?

If this is true, it means it has been proved that Russia is smarter than USA when it comes to intelligence techniques.
 
Mkuu Yegomasika watu huibuka tu hapa na kuandika vitu ambavyo havina ukweli wowote. Ni kweli kabisa Putin alitangaza kwamba naye angefukuza wanadiplomasia 35 kama ilivyofanya US. Nashangazwa sana na hawa watu ambao hawafuatilii international affairs halafu ghafla tu huibuka na kuandika vitu ambavyo havina ukweli wowote.

Uwe unafuatilia habari za Kimataifa! Baada ya Obama kuwapa 72hrs wanadiplomasia wa Urusi, Putin nae akasema angewarudisha wanadiplomasia wa Marekani katika namba ileile, 35. Usiwe unabisha na kuita watu waongo bila kufanya utafiti! Putin alibadilisha mawazo ndio akawaalika wanadiplomasia wa Marekani na familia zao kwenye Christmas party!
 
Mkuu Yegomasika watu huibuka tu hapa na kuandika vitu ambavyo havina ukweli wowote. Ni kweli kabisa Putin alitangaza kwamba naye angefukuza wanadiplomasia 35 kama ilivyofanya US. Nashangazwa sana na hawa watu ambao hawafuatilii international affairs halafu ghafla tu huibuka na kuandika vitu ambavyo havina ukweli wowote.

Watu wengine wanadhani kwa vile wao ni waongo, basi kila mtu humu ni muongo! Hawajui wengine sisi humu ni watoto wa Ma Paroko, uongo ni marufuku![emoji3]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa Mkuu watoto wa Paroko marufuku kusema uongo.


Watu wengine wanadhani kwa vile wao ni waongo, basi kila mtu humu ni muongo! Hawajui wengine sisi humu ni watoto wa Ma Paroko, uongo ni marufuku![emoji3]
 
If this is true, it means it has been proved that Russia is smarter than USA when it comes to intelligence techniques.

Wanajivua nguo tu!! Walishapoteza wajipange kwa uchaguzi ujao. Waache visingizio. Nakumbuka Clinton alimlaumu Obama na CIA baada ya kushindwa, na sasa naona wanataka kuirushia lawama Urusi, kama hata hao waliopiga kura EC nao walipitiwa na upepo na ushawishi wa Urusi anazotuhumiwa, mfumo wao wa uchaguzi in mbovu na dhaifu kuliko yote.

CIA walianzisha uchunguzi wa email za Clinton tena wakati wa kampeni karibia kabisa na uchaguzi, hiyo lawama wanaiongeleaje? Huwezi kumlaumu Mrusi kwamba alidukua barua pepe wakati wewe CIA ulienda mbali zaidi hadi kuendesha uchunguzi. Kwanini kama hayo yana ushawishi kwenye matokeo ya uchaguzi wao nao wasilaumiwe kwa kusababisha anguko la Clinton?

Watu tulisema hapa, Trump atashinda, kabla hata ya sarakasi za tuhuma za Urusi kuanza kusemwa. Na sijui ilikuaje hata kashfa ya ubalozi wa US Benghazi hawakauikumbushia kwa nguvu iliyostahili wakati wa kampeni.

Kwa ufupi, Clinton alikua na makandokando mengi sana yaliyomzonga.
 
Wabongo kwa kujifanya babu kubwa hatujambo,hivi kweli sisi nao ni wa kuikosoa CIA?
 
Huelewi kitu, hujui ni kiasi gani vikwazo vya kiuchumi vya US na nchi nyingine za magharibi zilivyoathiri kwa kiasi kikubwa uchumi wa Urusi. Mapato ya pesa za kigeni yameanguka sana, thamani ya pesa yao imeanguka sana soko lao la hisa na gharama za maisha zimepanda zaidi. Hivyo vikwazo zaidi ndiyo vitazidi kuongeza hali kuwa mbaya zaidi. Kaula wa chuya YES Putin he'll regret for the rest of his life.

Mkuu unachokisema sio cha kweli.nasomea Russia mwaka wa nne huu niko partice lumumba hapa hapa maisha ya hapa mazuri sana kuliko udhaniavyo.unachojaeibu kukielezea ni kile kinachoongelewa na vyombo vya magharibi ambvyo ndo hivyo hvyo vilimsupport cliton
 
So he didnt not interfere the tallying of votes? then what is it? stupid losers who likes to complain about everything! If the people voted for TRUMP fairly, the rests is UJINGA tu, hizo ni tricks of competitions!

Habari za punde zime hakikisha kuwa Rais wa Urusi Putin, aliamrisha Russian Military Intelligence kutumia vyombo mbalimbali kama WiKiLeaks, CDLacks.com na Gucifer kuingilia email za chama cha democratic party, na kutoa emails kwa ajili ya kumsaidia bwana Trump kushinda uchaguzi mkuu wa Marekani uliofanyika Nov.8 last year.

Report hiyo imetolewa na CIA, FBI na NSA.
Russia wamekataa allegations of hacking wakati wa campaign za uchaguzi huo.




WASHINGTON - Russian President Vladimir Putin ordered an effort to help Republican Donald Trump's electoral chances by discrediting Democrat Hillary Clinton in the 2016 presidential campaign, U.S. intelligence agencies said in an assessment on Friday.

Russia's objectives were to undermine public faith in the U.S. democratic process, denigrate former secretary of state Clinton, make it harder for her to win and harm her presidency if she did, an unclassified report released by the top U.S. intelligence agency said.

"We assess Russian President Vladimir Putin ordered an influence campaign in 2016 aimed at the US presidential election," the report said. "We further assess Putin and the Russian Government developed a clear preference for President-elect Trump. We have high confidence in these judgments."

The agencies believe Russian military intelligence used intermediaries such as WikiLeaks, DCLeaks.com and the Guccifer 2.0 personal to release emails that it had acquired from the Democratic National Committee (DNC) and top Democrats as part of the effort. It said the operation went for "targets associated with both major US political parties."

he report assessed with "high confidence" that the GRU, Russia's military intelligence agency, had used those intermediaries to release "US victim data obtained in cyber operations publicly and in exclusives to media outlets and relayed material to WikiLeaks."

WikiLeaks founder Julian Assange has said he did not receive emails stolen from the DNC and top Hillary Clinton aide John Podesta from "a state party." Assange did not rule out the possibility that he got the material from a third party.

Russian actors were not found to have targeted U.S. systems that are involved in tallying votes, the report said. The report was produced by the Central Intelligence Agency, the Federal Bureau of Investigation and the National Security Agency.

Russia denies the U.S. government's allegations of hacking during the election campaign..

U.S. intel report: Putin directed cyber campaign to help Trump
 
Then what will be the next action by Obama's US towards Vladmir ?
Wataishia kulalamika tu ?
Kama walikuwa wanatafuta Sababu ya Kumvamia kivita Putin naona wamekuta kiberiti kimejaa.
Kama wanakiri Mifumo yao imekuwa Hacked na Russian Military Inteligence then Obama's US inakiri kuwa Russian Millitary Inteligence ina akili kubwa kuzidi CIA,FBI na NSA.


Obama adm. is almost out the door and they did what they could. Mpira anaachiwa Trump sasa but, he's not even buying this in the first place. Atasukumwa zaidi na senators wanao side na hii report, kama atafanya chochote.
Kwa huu mkasa kweli wameshikwa pabaya, wameliwa timing haswa. Mara ngapi tumesikia Wachina wanajaribu ku hack sensitive information za US, tena za usalama, lakini hawakufika kuharibu sana.

Hii issue ilijulikana kabla hata ya uchaguzi, kama nakumbuka vizuri, I think it was a month before the election FBI had some information about this, but nothing much was done zaidi ya ndani ya FBI wenyewe kutoelewana about the timing of publicizing the issue, mpaka uchaguzi ukafika.
Their Intelligence agencies underestimated the power of the foreign intelligence agency.
 
This is what Trump is tweeting;

Having a good relationship with Russia is a good thing, not a bad thing. Only "stupid" people, or fools, would think that it is bad! We have enough problems around the world without yet another one. When I am President, Russia will respect us far more than they do now and both countries will, perhaps, work together to solve some of the many great and pressing problems and issues of the WORLD!


He's still adding fuel, sipati picha moto wake na wakina Lindsey Graham.
 
Yeah, thanks, nilikosea kuandika.

Mkuu mbona hiyo ni slipup ya kawaida tu, what matters the contents ulizo andika ambazo ni flawless kabisa - sijui kwa nini watu wengine upenda penda kusahihisha vitu ambavyo ni so obvious!!! Cha ajabu wanafanya hivyo bila ya kuchangia kitu.
 
The game is over, what remains is black propaganda that is used by Obama authorities to clear the bad atmosphere in Democratic Camp. Nothing will change, Trump gonna be sworn in as USA president !
A one term POTUS.
 
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa FBI imethibitisha kuwa raisi wa Urusi Vladmir Putin aliamuru kuingiliwa kwa uchaguzi wa Marekani kwa vyombo vyake kufanya udukuzi wa matokeo yaliyompa ushindi Donald Trumph kwa madai kwamba alikuwa na chuki na Bi. Hilary Clinton.

What next?
Je uchaguzi wa Marekani utafutwa na kurudiwa?
Tunajifunza nini kuhusu Mataifa ya nje kuingilia chaguzi za nchi zingine kama Tanzania?

Mkuu Warusi wataingiliaje mashine ambazo hazikufungwa kwenye mitandao type ya Internet, je, CIA na group zima la majasusi wanataka kuiambia Dunia kwamba Warusi walikuwa wanatumia nyungo za wachawi wa usiku kuingilia client machines na Servers zake kwa lengo la kubadirisha chochote kwenye database/mafaili ya chaguzi ili wampe ushindi Trump!! Wanataka kumdanganya nani?

Kama walikuwa wamechukulia maiigizo haya kama karata yao ya mwisho ya kumukwaza Trump ili hasiapishwe come 20th mwezi huu basi hujumu zao zimekwama vibaya sana, lakini ujinga wao utampatia Trump sababu ya kufanya mabariko makubwa kwenye vyombo vya kijasusi nchini mwake wamejisahau sana kwa kijingiza sana katika masuala ya siasa kuliko kulinda Taifa lao - Trump ahakikishe ma CEO wote na wandamizi wao kwenye vitengo vya kijasasu wanatumuliwa kazi.
 
Screenshot_2017-01-07-21-02-48-1.png
 
Back
Top Bottom