US Intel Report: Putin Directed Cyber Campaign to Help Trump

US Intel Report: Putin Directed Cyber Campaign to Help Trump

Democrats wakubali wameshindwa,deal with it..

Haya mademocrats ni ma-warmongers

CNN sio credible media too,i discredited all traditional medias as collection of doo-doos kipindi cga uchaguzi...i will never trust em again
 
He thought he was smart than US intel! Instead he was caught red handed with both of his hands in the jar!

Where the hell was so called smart US Intel when all this happened? In fact, they should keep quite if not conducting their operations silently, especially for this silly election allegations. Democrats just simply lost
 
Upuuzi mtupu, wanazidi kujidhalilisha tu. Kwanza ieleweke kwamba wanachodaiwa kudukua ni email za Democratic na sio kucheza na mfumo wa matokeo uliopelekea kumpa ushindi Trump. Tuhuma za Clinton kutumia personal email zilitosha kumfanya asiwe credible za kuwa mgombea urais, mbona hill hawalisemi?
Ikumbukwe Trump alipoulizwa kama atakubali matokeo alijibu itategemea....tulishuhudia Obama na Clinton walivyomshambulia Trump kwamba anafedhehesha na kuvunjia heshima mfumo imara wa uchaguzi was US na democrasia ya nchi hiyo kwa ujumla.
Sasa hizi sarakasi na ngonjera zinatoka wapi?

Umeiweka vizuri. Wengi walishangilia kura za maoni just a week before election...
Nashindwa kuelewa kwanini wengi hawataki kuamini kuwa ballot box imeamua!
 
Umeiweka vizuri.Sio Russia waliofanya inquiry na kuunda tume kuchunguza tuhuma hizi, Assange(bila kujali kwamba alisaidiwa na Russia au yoyote yule) alitoa tu kile ambacho tayari kilikuwa kinajulikana na Wamarekani. Wengi walishangilia kura za maoni just a week before election...
Nashindwa kuelewa kwanini wengi hawataki kuamini kuwa ballot box imeamua!
 
Haya maneno ya mkosaji tarehe 20 Mr Trump will sworn to be the president of USA and no body will refuse this. Kwani wale wa California walikuaje waliandamana wakaja na Caltex wameishia wapi ? Siasa za Amerika siyo za huko mavumbini . Jipe moyo.
He thought he was smart than US intel! Instead he was caught red handed with both of his hands in the jar!
Who will regret Mr Trump or Mr Putin ? You are lost dude ! Up to this occasion madam Hillary is one who regrets.
Big time miscalculation that he'll regret for the rest of his life.
 
Ujue mkuu watu ni wagumu sana kuelewa mambo mbalimbali hivi Leo Democratic allies wanacomplain wamefanyiwa udukuzi na Urusi hadi kupelekea kushindwa kwa candidate wao ! The question is walikua wapi ? Haya ni maneno ya mkosaji

Umeiweka vizuri. Wengi walishangilia kura za maoni just a week before election...
Nashindwa kuelewa kwanini wengi hawataki kuamini kuwa ballot box imeamua!
 
Unaziexpose source kivipi?
Sasa ukishindwa kuonesha huo ushahidi nani ataamini madai yako?

Putin anajua kama wamemkamata, baada ya Obama kuwafukuza 35 Russian Diplomats, Putin naye akatunisha msuli akasema na yeye atawafukuza Wamarekani kwa namba ileile! Mbona baadae aliamua kuwa mpole tu akasitisha zoezi!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
who is that with a right mind would want hillary to be the president. You got be kidding me.
Trump is not the best but better off
 
amna hata cha maana... Us hawana uhakika
Swal ni je al hack au haku hack?
 
Democrats wakubali wameshindwa,deal with it..

Haya mademocrats ni ma-warmongers

CNN sio credible media too,i discredited all traditional medias as collection of doo-doos kipindi cga uchaguzi...i will never trust em again
Na Bbc
 
He thought he was smart than US intel! Instead he was caught red handed with both of his hands in the jar!
Mkuu kama walimshika kwanini wasingezuia hizo hacks from day one? Huoni kama wanatapatapa?? Huoni russia kawazidi uwezo??
 
Putin anajua kama wamemkamata, baada ya Obama kuwafukuza 35 Russian Diplomats, Putin naye akatunisha msuli akasema na yeye atawafukuza Wamarekani kwa namba ileile! Mbona baadae aliamua kuwa mpole tu akasitisha zoezi!
Aliita hiyo ni chicken diplomatic alivyofanya Obama, yeye akawakaribisha kuukaribisha mwaka mpya kiroho safi na billionea Trump ameshampongeza kwa uamuzi huo wenye akili na busara.

Kichaa akikupiga konde tu majiani kwani wewe utaanza kumlipiza kisasi?
Na ukimrudishia kwa konde tena ni nani ataonekana kichaa zaidi hapo
 
Obama Administration wamechanganykiwa sana kwa kilichotokea na mpka leo ni vigumu kuamini juu ya matokeo ya uchaguzi sasa kinachotafutwa ni Obama kujitoa kwenye lawama juu ya kushindwa kwa chama chake Dems na juu ya lawama za kambi ya bibi Clinton kwa vyombo vya usalama vya US kama FBI ambavyo Obama ni kiongozi wao kama Rais na ndie vyombo vyote vipo chini yake na ma DG's wake wameteuliwa na Obama sasa inabidi waje na sababu za kusingizia kuwa russia anahusika na kuingilia mifumo ya uchaguzi wa US ambao kwa kura za popular vote bibi Clinton ameshinda na wao walikuwa wanajua uchaguzi huu ni lazima watashinda na walikuwa wamejipanga kuanzia kifedha na kipropaganda na vyombo vyote vya habari vikubwa dunian walkuwa upande wao sasa baada ya kushindwa wamechanganyikiwa na wanataka uchaguzi urudiwe au wanataka ule mzigo wa lawama wawapatie wengine ndo maana wakaja na ushaidi dhaifu sana juu ya Russia kuingilia mifumo yao ya uchaguzi

1 Jina la kikundi kilichokumika kuhack ni APT 28 au Fancy Bear na APT 29 au Cozy Bear note APT inasimama kama Advanced President threats vikundi hvyo viko chini ya serikali ya Russia

2 Pia wnasema GRU na Jeshi la Urusi kitengo cha Cyber army wapo nyuma ya APT 28 au ndo code name yao

3 Pia wanasema FSB kitengo cha ujasusi cha Russia ambao makao makuu yake ni majengo ya iliyokuwa KGB zamani wapo nyuma ya APT 29 au ndo code name yao

4 Pia wanaamini APT 28 walivamia saver za DEM's kipindi cha majira ya kiangazi mwaka 2015 na APT 29 walivamia saver za DEM's kipindi cha kipupwe mwaka 2016

note ; ktk swala la kijasusi au kiupelelezi inatakiwa uje na details kamili si kutaja ma code names na kama kitu umeamua kuweka adharani ni lazima kila mtu ajue sasa code name za nini? kwa nini wasije na Tarehe ,mwezi kamili baada ya kusema majira ??

5 Pia wanaamini APT 28 ndio waliohack emails za Bib clinton na za DEM's na kuwapa Wikileaks wazichapishe kitu ambacho Julian Assange amekikataa

Kitu ambacho kinanichanganya na kunipa wasiwasi mimi juu ya hizi habari na kwa nini zinatangazwa japo ni aibu kwa serikali ya Taifa kwa kuonyesha udhaifu wa upande wa cyber security wamekubali kutangazwa dunia nzima wajue wakat kuna mambo makubwa sana ya hacking yametokea hapa lakini wameficha iweje hii watangaze tena kwa promo kubwa?

1 Mwaka 2015 Russian hackers walivamia State Department email system kwa kile kilichojulikana kama “worst ever” cyberattack against a federal agency.

2 Mwaka 2015 Ofisi ya menejimenti ya utumishi wa umma walireport kwa NSA kupotea kwa Americans’ fingerprints milion 5.6 za watumishi wa umma katika kile kilichojulikana kama ilikuwa ni cyberattack.

3 Government Accountability Office (GAO) wamereport kwa NSA kuwa kuanzia mwaka 2015 namba ya mashambulizi ya kimtandao yalipanda kwa 64% kutoka mashambulizi kutoka 5,500 mpaka zaidi ya 77,000 kwa mwaka ni 24 federal agences zilivamiwa

4 Machi mwaka jana hackers wa kutoka China waliendelea kufanya mashambulizi ya kimtandao dhidi ya serikali ya Marekani na mitandao binafsi, kwa mujibu wa U.S.mkuu wa Cyber Command Mike Rogers. China imekuwa ina husishwa na mashirika ya upelelezi ya U.S. kwa kufanya mashambulizi kwa lengo la kuiba taarifa na kuchora ramani katika mitandao muhimu ya kompyuta kwa ajili ya mashambulizi ya baadaye katika mgogoro au vita.
 
Uchaguzi hautarudiwa Pakawa lakini kwa mara ya kwanza katika historia ya Marekani Rais mteule haafikiani na Masenate wengi kwenye chama chake katika issue yenye umuhimu mkubwa katika kuhakikisha Democracy ya Marekani. Sijui hali hii ya kutoafikiana na masenators wa chama chake itaendelea vipi akishaingia madarakani. Kama kutoafikiana kutaendelea basi kuna uwezekano mkubwa wa utawala wake kutokuwa na mafanikio na hivyo kupunguza uwezekano wa yeye kuchaguliwa tena kwa awamu ya pili. Ngoja tuangalie hili sakata litakavyojidhirisha katika uso wa dunia hasa kwa wale wanaopenda kufuatilia international affairs.
Mkuu Bak siyo hilo tu, amesema haaamini hata US National Intelligence Agencies (NSA) kitu ambacho ni kioja katika Historia ya Siasa za Marekani. Ameanzisha bifu na makampuni ya Marekani kama Boeing kwa sababu ambazo anazijua mwenyewe. Ni dhahiri kwamba kutokana na hizi habari toka Russia, kwa mara ya kwanza Russia wamepata kikaragosi ambaye ni Rais wa Marekani. Swali linakuja je Establishment ya USA itaruhusu huyu bwana aendelee kuwa Rais ?
 
I am anti-Trump, actually I don't like the geezer at all... but this debate about hacking is really embarrassing. Nimekua kwenye forums ambapo Warusi huchangia, aisei wanawacheka sana Wamarekani na huu upumbavu wao.
 
Umeona mbali Mkuu nami nimejiuliza hilo swali. Kama ataendelea hivi je Wabunge wa chama chake watakubali akichafue chama chao kiasi cha kutishia uhai wake!? Je, wanaweza kuitisha kura ya kutokuwa na imani naye na hivyo kumuondoa madarakani!? Tusibiri Mkuu tuione hii picha itakavyoendele.

Mkuu Bak siyo hilo tu, amesema haaamini hata US National Intelligence Agencies (NSA) kitu ambacho ni kioja katika Historia ya Siasa za Marekani. Ameanzisha bifu na makampuni ya Marekani kama Boeing kwa sababu ambazo anazijua mwenyewe. Ni dhahiri kwamba kutokana na hizi habari toka Russia, kwa mara ya kwanza Russia wamepata kikaragosi ambaye ni Rais wa Marekani. Swali linakuja je Establishment ya USA itaruhusu huyu bwana aendelee kuwa Rais ?
 
Aliita hiyo ni chicken diplomatic alivyofanya Obama, yeye akawakaribisha kuukaribisha mwaka mpya kiroho safi na billionea Trump ameshampongeza kwa uamuzi huo wenye akili na busara.

Kichaa akikupiga konde tu majiani kwani wewe utaanza kumlipiza kisasi?
Na ukimrudishia kwa konde tena ni nani ataonekana kichaa zaidi hapo
Kula Tano [emoji109] [emoji109] [emoji109] mkuu
 
I think the whole saga was well planned from the time Edward Snowden obtained political asylum in Russia. No body knows how much information he has provided to them and how much he knows. During cold war era we could say Russia 2 USA 0.
 
Huelewi kitu, hujui ni kiasi gani vikwazo vya kiuchumi vya US na nchi nyingine za magharibi zilivyoathiri kwa kiasi kikubwa uchumi wa Urusi. Mapato ya pesa za kigeni yameanguka sana, thamani ya pesa yao imeanguka sana soko lao la hisa na gharama za maisha zimepanda zaidi. Hivyo vikwazo zaidi ndiyo vitazidi kuongeza hali kuwa mbaya zaidi. Kaula wa chuya YES Putin he'll regret for the rest of his life.

Haya maneno ya mkosaji tarehe 20 Mr Trump will sworn to be the president of USA and no body will refuse this. Kwani wale wa California walikuaje waliandamana wakaja na Caltex wameishia wapi ? Siasa za Amerika siyo za huko mavumbini . Jipe moyo.

Who will regret Mr Trump or Mr Putin ? You are lost dude ! Up to this occasion madam Hillary is one who regrets.
 
  • Thanks
Reactions: kui
I think the whole saga was well planned from the time Edward Snowden obtained political asylum in Russia. No body knows how much information he has provided to them and how much he knows. During cold war era we could say Russia 2 USA 0.

Lakini usisahau kwamba mpaka leo hii hakuna ushahidi wowote ule ambao hao Intelligence walioutoa kwamba Urusi alihusika kwamba namna ama nyingine!
 
Back
Top Bottom