Hiyo ndio ilikuwa plan mechi kusogezwa tarehe hiyo ilikuwa well planned, mzee anaapishwa tarehe 5 wakimaliza tu watu wataanza kufikiria mechi topic zitabadilika mechi ikipita itakuja wiki ya kubishana maana mechi imetengenezewa matukio ili watu baada ya tarehe 7 watatumia wiki nzima kujadili refa goal au sio goal wakija kumaliza wabunge wanaapishwa. mechi itakuwa na matukio mengi na hii ndio imepangwa.Siasa sasa basi, tumechoka. Miezi miwili inatosha.Habari ya mujini ni mpira ni mpira tu sasa: 7/11/2020.