tatizo kubwa la Dick Morrison na Clintons ni loyalty!!
matatizo yalianza kule kwenye ile scandal ya whitewater, ndio maana Dick alikuwa reluctant kujiunga na team clinton....maana kulikuwa tayari na ka-pattern flani hivi ka kina clinton kuwatosa marafiki mambo yanapokuwa mabaya(remember the McDougals na Gavana Guy).
Dick analia na betrayal ya kina Clintons, ana amini mpaka leo, ile issue ya prostitute ilikuwa ni setup, ana amini kwamba alikuwa used na baadae kutoswa vibaya licha ya ku-run a successful campaign!!
hasira zikamzidi baada ya lewisky scandal kufumuka(connect dots hapo, DOUBLE STANDARDS)............
lakini kina Billary wanakatabia kabaya sana ka ku-betray marafiki, kumbuka Vincent Foster(the rumor has it kwamba,huyu alikuwa ana msaidia unyumba Bill kwa Hilly, alijiua akiwa kama sehemu ya whitewatergate investigation, wakti huo alikuwa whitehouse attorney). mfarakano wao na mtu kama Louis Freeh(FBI chief), the McDougals, Gov. Guy, Miss Trippi, Al Gore.....na list goes on and on!!!
Billary ni wabaya sana, all they care ni themselves and power.......dizaini ya Machiavelli bila modifications.!!!
Nyani Ngabu,YNIM,Susuviri,
..Mzee Lewis kwa kweli amechemsha. he is a party elder na alitakiwa asubiri mpaka mwisho ndiyo atoe kauli yake. he could still do it privately na baada ya Mama ku-concede ndiye amu-endorse Obama.
..pia hii mifarakano ya baina ya weusi kuhusu kum-support Obama inaleta picha mbaya. isije wakajikuta Obama anakuwa Raisi halafu hali na maisha ya blacks haibadiliki hata kidogo.
..kwanza alikuwepo ...Frederick Douglas, WEB DuBois, Thurgood Marshall, mpaka MLK, lakini blacks bado ni watu wa chini kabisa USA. sasa wawe makini kuendeleza ajenda yao haswa ikiwa Obama anakuwa Raisi.
..Blacks need Obama more than he needs them. George Bush alishinda Uraisi bila kukubalika na blacks.
NB:
Obama amepagawisha Wamarekani na hicho ni kitu muhimu sana kwa mwanasiasa yeyote. Kashfa nyingi alizoibuliwa zingeweza kummaliza kisiasa mgombea yeyote yule. Kwa Obama imeshindikana.
Nashawishika kutabiri ushindi wa kishindo kwa Obama ktk general elections.
Halafu kuna double standard ya ajabu sana. John Lewis anasema amebadili uamuzi wake kwa vile jimbo lake kwa uwingi lilimpigia kura Obama na sasa wajumbe wengi wa CBC wana shinikizo kuwa na wao wabadili uungaji mkono wao. Lakini kwa wakati huo huo hakuna mtu anayewashinikiza John Kerry na Uncle Teddy na wao wabadili uungaji mkono wao kwa vile Mama alishinda convincingly Massachussets....All I can say is wow!!!
Huyo ame-display ujinga ambao pengine watu walikuwa hawaujui, sasa amejichafua beyond Obama's campaign. Yaani yeye ni kama bua anajiendea tu hana maamuzi yake mwenyewe, hii ni zaidi ya wow, yaani wakati nasoma vidudu tungemuita huyu ni ziiiiiiiii kabisa!
Kwanza nianze kwa kupingana na utabiri wako. Uchaguzi mkuu sio primary na caucus za Democratic party, kitu ambacho ndio kinaendelea sasa. Na si sahihi kusema Obama amewapagawisha Wamarekani. Ungesema amewapagawaisha Democrats ningekubaliana na wewe.
Ndugu yangu uchaguzi mkuu wa Marekani ni ball game tofauti kabisa na ktk siasa miezi nane iliyobaki ni lifetime.
Halafu unaposema "Blacks need Obama more than he needs them. George Bush alishinda Uraisi bila kukubalika na blacks" sijui una maana gani kwa sababu hii sentensi ina apply zaidi kwa Republicans more than Democrats. McCain anaweza kushinda bila hata kura moja ya mweusi lakini weusi ni ngome kuu ya Democrats.
Halafu kuna double standard ya ajabu sana. John Lewis anasema amebadili uamuzi wake kwa vile jimbo lake kwa uwingi lilimpigia kura Obama na sasa wajumbe wengi wa CBC wana shinikizo kuwa na wao wabadili uungaji mkono wao. Lakini kwa wakati huo huo hakuna mtu anayewashinikiza John Kerry na Uncle Teddy na wao wabadili uungaji mkono wao kwa vile Mama alishinda convincingly Massachussets....All I can say is wow!!!
good argument!! Lewis kaua pale aliposema ati "uamuzi huu ulikuwa mgumu kushinda hata ule wa ku-march Selma-Alabama." That's booooo, to my opinion.......there is no way u can the significance of the two!!!.
sijawaigi kuwa mshabiki wa huyu jamaa, ni opportunist kama "candinda albicans"..........hanaga tofauti na watu kama Jesse au ma-relaxer Sharpton!!
Sura Ndefu na Uncle Teddy, they knw better.....huwezi kuwafananisha na John Lewis!!
Kaka naona hukunielewa kidogo. Ninachosema ni hiki...members wengi wa Congressional Black Caucus sasa hivi wanajikuta kuwa na wakati mgumu sana hasa wale wanaomuunga mkono Mama. Katika majimbo yao watu wengi walimpigia kura Obama. Sasa kama hii mechi ikienda kwenye convention ina maana wata-stick na Clinton au watapiga kura kuendana na matakwa ya walio wengi majimboni mwao? Mfano mzuri ni John Lewis...zaidi ya asilimia 80 ya jimbo lake walimpigia kura Obama na ndio maana na yeye kaamua kubadili uamuzi ingawaje hakulazimisha na haikuwa lazima kufanya hivyo.
Kwa hiyo ishu niliyonayo mimi ni kwa nini hawa wajumbe wa CBC wanaomsapoti Mama waonekane kama ni wasaliti na kupewa wakati mgumu kwa vile tu majimbo yao yalimpigia kura Obama na baadhi ya watu wanawataka wabadilishe kura yao ya superdelegate lakini sijasikia mtu hata mmoja anayewashinikia sura ndefu na mjomba Teddy kwa sababu na wao jimbo lao Mama alishinda..? Kwa nini na wao wasibadili kura yao ya superdelegate iendane na matakwa ya wengi jimboni mwao...
By the way...umewahi kumwona Uncle Teddy akiimba...? M-search kwenye youtube....
Hivi ni mimi tu au babu McCain vimikono vyake ni kama anataka kupata Seizure. Jana katolewa nishai ile kinoma and It's On. Yeye amesema watakaa Iraq for 100 more years.
Kitila,Nyani,Susuviri,Koba,YNIM,
..kwa kweli mtizamo wangu unatokana na jinsi media inavyom-treat Obama. yaani kila mtu amezibwa mdomo isipokuwa yule anayemtetea Obama.
Jokakuu babu has no chance ya kusimama na Obama na kama huamini utaona,preview tumeiona jana pale babu alivyopewa lecture na Obama kuhusu Al Qaida in Iraq,na this time hakuna cha rangi wala southern states....nimemsikia O'reilly akisema may be this is a new kind of politics seems nothing can bring him down,mama kafanya kila kitu lakini kila akiamka polls zinaenda chini.....usicheze na hope bwana na hakuna mtu anataka kuwa depressed hapa!
Mkuu naomba ku differ na wewe. Hivi utasema ile sweep ya Obama kwenye potomac primaries ilikuwa ni media driven? Siku zote media iko kwenye biashara na siku zote wanaangalia product itakayo drive their ratings through the roof. Na Obama happens to be that product kwa sasa...kwa mfano Obama asipopata nomination sasa hivi, then aka decide ku run tena baadae, nina uhakika hatakuwa na coverage anayopata sasa..lakini this is not media. Obama movement kutoka kwa voters ndio imesababisha media ku join the bandwagon.
Hiyo hiyo media ikianza kum-scrutinize Obama utaona watu wanaanza kusema iko biased against him. Kwa kweli mpaka sasa hajapata scrutiny kama aliyopata Mama..tena kwa miaka mingi tu....