YNIM
JF-Expert Member
- Aug 29, 2007
- 2,236
- 63
Rev. Kishoka upo wapi?? njoo hapa turukeruke kama wamenye wa Ol Kiding'a au Ekenywa....
Wasee woooooooote washabiki wa Obama toka day one, Susuviri, Capitol, Icadon, Jasusi, Gamba, Jokakuu, Rufiji, Rev na wengine wooote yaani ilikuwa nice kuvinjari hapa na kupeana nyuzi za maendeleo ya kampeni!! Kilichokuwa kinaendelea hapa ndicho kilichokuwa kinaendelea across America!! Hii ni revolution, sasa tusubiri mkuu ku-deliver yaliyo mazuri....nipo happy kinoma!!!