Mimi napingana na nyie Obama amefanya vizuri kwenye hii debate esp part ya mwisho alipombana mama kuhusu suala la Iraq.
Leo Mama kamaliza....when it comes to policy she's a wonk...You go girl
Nyani ,
Umesoma New york times ya leo , hii stori itamuumiza sana mama.
http://www.nytimes.com/2008/01/31/u...?em&ex=1201928400&en=30526cefe8453a3c&ei=5070
Steve D ,
Nakubalina na wewe kwamba mama alimaliza na ile statement . Ila hapa jamani mama atapoteza kura fulani za latino kwenye suala la drivers license ! Ila nimemsifu Obama alipolikwepa lile swali la kuwa african america wengi wamekosa kazi kutokana na influx ya latino .....
Nyani,
... a naive wonk rather! leaving to repair and regret the consequences of her previous misjudgements for sending bush to iraq via her precarious vote!
SteveD.
...sounds like you've stayed up sippin' on that Clinton-hatorade...stay tuned for Supa dupa Tuesday...
Paul A. Volcker(kwa wasio mjua huyu bwana please google, yupo interesting.....) ka-endorse Obama.......maana yake ni kwamba wall street pia wamo kwenye change-bandwagon. "Obanomics" that's the term used to describe the magnitude of this endorsement.
Utasikia, watasema oooooooh "endorsements hazileti kura"!! ebo, kama ni hivyo kwanini Billary wana-lobby watu wawa-endorse??
Obama is coming off a victory in South Carolina, the Kennedy endorsement and the announcement that he raised a record-setting $32 million in January, more than enough money to fund TV commercials in at least 20 of the 22 states at stake on Tuesday. In addition, the latest Gallup tracking poll shows Obama has narrowed Clintons lead to just 4 percentage points nationally.
Nina wasi wasi sana na hizi polls alafu sijaziangalia siku nyingi ila baada ya Supa Dupa Tuesday mambo yatajulikana