US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

hahahahahahahhahahahahaha ngoja niingie zangu Downtown Chicago nikale Raha hahahahhaha Nyani uko wapiiii???????
 
Electoral College votesWinning post 270 Obama -
Democrat200
McCain - Republican 90

Congressional Results:
SenateParty Seats
Democrat 50
Republican 34

House of RepresentativesParty Seats
Democrat 90
Republican 57

Obama 16,313,192
McCain 16,148,781
 
Bi mkubwa you need not to worry....Sasa hivi road to victory ya McCain ni very narrow almost impossible. This is going to be a landslide..trust my words.

Obama anahitaji 70ev akishinda Florida 27ev mchezo umekwisha maana California kuna 55ev ambayo miaka yote ni jimbo la Democrats 🙂
 
Tunatakiwa kukumbuka kwamba kuna ev 55 zipo reserved pale Califonia, ukijumlisha na hizi 200 utaona kwamba Obama anahitaji ev 15 tu. Hivyo akishinda Florida babu atatoa speech ya kukubali kushidwa very soon. Inaleta raha.
 
Wewe acha tu bubu mwenzio nilishaenda kuhiji huko Tarime nasubiri tu bibi yangu aamke nimpigie simu.... hahahaahahahahah!!!
Nyaralego sijui yuko wapi maana watu tutazungumza kijaluo hivi karibuni japo kwa sekunde kadhaa, invisible atatusamehe...............
 
waheshimiwa mlioko huko asanteni sana maana "rakha" mnayotupa haina mfano.....good f job folks.
Jamani Kisumu salama huko? maana hilo nalo ni jimbo la marekani japo halipigi kura.
 
hahahahahahahhahahahahaha ngoja niingie zangu Downtown Chicago nikale Raha hahahahhaha Nyani uko wapiiii???????

Geeque....katuwakilishe huko bwana...mimi hapa nina ka party kadogo tu watu kama 10 hivi tukisubiri Colorado na Florida kuwa called kabla hatujaanza kufungua courvoisier. Mnamuona "brother" Smiley anavyo spin akiwa na Brian Williams wa NBC.
 
Electoral College votesWinning post 270 Obama -
Democrat -200
McCain - Republican 124
 
Nahitaji kushuhudia historia..................silali hadi kengele ilie na taarifa itolewe rasmi.

History ambayo wengi wetu hatukutegemea kuiona within our life time.
 
waheshimiwa mlioko huko asanteni sana maana "rakha" mnayotupa haina mfano.....good f job folks.
Jamani Kisumu salama huko? maana hilo nalo ni jimbo la marekani japo halipigi kura.

Sina uhakika na huko Kisumu ila Tarime tupo!!
 
So far Dems wameshachukua 4 Senate seats za GOP hehehe!!!
 
Geeque....katuwakilishe huko bwana...mimi hapa nina ka party kadogo tu watu kama 10 hivi tukisubiri Colorado na Florida kuwa called kabla hatujaanza kufungua courvoisier. Mnamuona "brother" Smiley anavyo spin akiwa na Brian Williams wa NBC.
Mazeee hakuna noma kabisa nitawakilisha familia yote ya JF kuanzia mitaa ya Grant Park pale Downtown Chicago mpaka kwenye joints zote.
 
Electoral College votesWinning post 270 Obama -
Democrat-200
McCain - Republican 124
Congressional Results:
SenateParty Seats
Democrat 50
Republican 35

House of RepresentativesParty Seats
Democrat 99
Republican 59
 
Wakuu nawaambia huu ushindi ni mwisho wa Karl Rove na Dick Morris's careers. Na ni mwanzo wa careers za akina David Alexrod na David Plouffe.
 
Barack Obama is now poised just 70 electoral votes from the presidency. Bear in mind California itself has 55 electoral votes. That's 15 votes Obama needs in all the states that have yet to be called, if you only assume California will be Democratic. Add in the other West Coast states of Washington (11) and Oregon (7) and he is there. And that's without Hawaii and a pile of other states in which Obama is favored
 
Electoral College votes-Winning post 270 Obama -

Democrat-200
McCain - Republican 130
Congressional Results:
SenateParty Seats
Democrat 50
Republican 35

House of RepresentativesParty Seats
Democrat 111
Republican 68
 
Leo ngoja niwafuate Fox news kabisa kabisa...maana najua sura zitawashuka kama wamelamba ndimu!!!
 
Barack Obama is now poised just 70 electoral votes from the presidency. Bear in mind California itself has 55 electoral votes. That's 15 votes Obama needs in all the states that have yet to be called, if you only assume California will be Democratic. Add in the other West Coast states of Washington (11) and Oregon (7) and he is there. And that's without Hawaii and a pile of other states in which Obama is favored

Mind you mkuu....Obama is leading in North Carolina, na Florida. Should he win one of these two and California...BASI. Its now 206-89 advantage Obama.
 
Back
Top Bottom