US Election Coverage 2008

jana Obama alipack kama mtu 10,000 kwenye rally na wengine walishindwa kuingia,haijawahi kutokea,huyu jamaa angekuwa mzungu huu uchaguzi leo ungekuwa umeisha tunasubiri kuapisha tuu.
 
Hao watu wasikuingize mkenge ukadhani watampigia kura kwenye uchaguzi mkuu kama akishinda. Hii imewahi kutokea California ktk miaka ya 80. Jamaa mweusi (jina limenitoka) alikuwa anagombea ugavana. Katika kura za maoni jamaa alikuwa anaongoza kwa mbali sana. Siku ya siku ilipofika matokeo yalikuwa kinyume kabisa na watu (media) walivyotarajia. Jamaa alishindwa vibaya sana.

Mfano mwingine: Michael Steele aliyekuwa Lt. Governor wa Maryland wakati anagombea useneta, kampeni yake ilifanya survey (polling) kama watu wa jimbo lake wana tatizo na kumchagua raisi mweusi. Asilimia 70 wakasema hawana. Ktk survey hiyo hiyo wakaulizwa kama jirani zao wana tatizo na kumchagua raisi mweusi. Asilimia 40 tu wakasema hawadhani kama jirani zao watakuwa na tatizo. Now figure it out yourself.....
 
YN sasa mkuu wangu naanza kukushtukia. The article/media is good when its bashing Clinton but its bad and biased when it touches BO, Any endorsement is good if it is for BO but is nothing and carries no weight if its for HRC!if BO snubs mama as yesterday..it was unintended and overblown by the media, but if Bill or HRC says fairly tale..it was an intended racist comment..... Kaka siasa ni civility na kuappreciate mapungufu ya mwenzio... msumeno ukate pande zote bwana! Maana Sasa tutashindwa kujua what kind of change and politics of hope you are preaching mkuu! BO and his campaign should not only be agent of change, you should be SEEN to be so.
 
We ngabu acha story hapo,kuhusu Michael steel hakushindwa kwa sababu ni mweusi kumbuka Maryland ni heavily Democratic states na jamaa ni Republican na vile vile almost 40% ya voters wote ni weusi na wengi walimpigia yule mzungu kwa sababu anasimamia mambo yao sio steel mpambe wa Bush tunamjua yule hapo Maryland sasa rangi imetokea wapi hapo?
 

Tatizo lako wee Koba Kimanga umekurupuka tu bila hata kusoma na kuelewa nimesema nini. Mi nakuacha kama ulivyo
 
Tatizo lako wee Koba Kimanga umekurupuka tu bila hata kusoma na kuelewa nimesema nini. Mi nakuacha kama ulivyo

...nimekubali maana baada ya kurudia kusoma ndio nimeona,lakini uache siasa zako za rangi rangi na kuogopa wazungu
 
...nimekubali maana baada ya kurudia kusoma ndio nimeona,lakini uache siasa zako za rangi rangi na kuogopa wazungu

Mimi siogopi mtu bana. Mi nazungumzia uhalisi wa mambo kama niyaonavyo mimi kulingana na historia, uzoefu, na jinsi dunia ilivyo.
 
YNIM,NN,FMES,Susuviri,Koba,

..JOHN EDWARDS, BILL RICHARDSON, na AL GORE, watamu-endorse nani?

..Nafikiri endorsements za hao watatu zitakuwa na uzito sana ktk primary hii.

..vilevile ni kina nani wanaonekana watapewa nafasi ya u-VP ktk kambi za Obama na Hillary?

..kuna gavana mwanamke amemu-endorse Obama. I thought that was huge lakini haikupewa coverage ya kutosha.
 

...nafikiri Edwards & Richardson wana play safe maana wako tayari kuwa VPs incase wakipewa hiyo chance kwa hiyo hawako sure nani atashinda na hawataki kuharibu na AL Gore definitelly anaonekana ni mtu wa Obama lakini naona kachoka na siasa na hataki kupata embarrasment ya 04 alipo endorse Howard Dean,uzito wa hizo endorsement lazima upo ingawaje sio rahisi kujua statistically,ila Al Gore ni heavy hitter kutokana na hii issue yake ya environment & global warming na kuna watu wengi wanafuatilia hizo issue religiously kwa hiyo sitashangaa kama akiamua kurusha support yake to anybody tukaona some swing voters wakielekea huko.
 


Ndio maana ya ushabiki. Hupofusha upande mmoja na kuona sana upande mwingine. Usifanye mchezo na ushabiki ndugu yangu upo very powerful, inafika mahala hata harufu husikii hata kama ni kali namna gani. Yaani hawa jamaa sasa hivi wamemzidi hata Obama mwenyewe!
 
wakina nanilii mnaenda personal, mie nilidhani ni hoja kwa hoja na sio msemaje!!! sipendi label ya kuitwa mshabiki na kipofu...........mnakaribia kuvuka mstari na nadhani tunafahamiana vizuri by now. So please, hoja kwa hoja kama unaona ni ushabiki na pumba basi zi-ignore na sio kuanza kupeana label!!!! tuwe wastaarabu na kuheshimu positions za wengine, aksanteni.
 
Debate ya leo ndio itatuonyesha nani ni nani, wataalamu wataanza hadi kusoma body language, sie yetu macho, kwa GOP naona nayo imebaki kuwa two men race, ila sijui kama Romney ataweza kurudi kinachomweka kwenye race ni his fat wallet.

Dems Want to Lose -- But GOP Doesn't Want to Win

By Victor Davis Hanson

Just a few months ago, the 2008 presidential contest seemed predetermined. The New York lawyers Rudy Giuliani and Hillary Clinton were far ahead in their respective party polls. And in the one-on-one match-up, Sen. Clinton was all but declared the foreordained winner a year in advance.

But not now.

After Barack Obama's unexpected surge in Iowa, Bill and Hillary Clinton resorted to chewing him up through their trademark politics of personal destruction. Thanks to Clinton Inc., we now hear almost daily that Obama is inspirational but inexperienced, that he had admitted to drug use, that his middle name is Hussein, that he really was not against the Iraq war, that he consorts with Chicago slumlords, that he spins fairy tales, and that he likes Ronald Reagan.

Hillary found her many voices and pulled out all the stops - screeching, accusing and nearly crying - until finally Bill Clinton himself was unleashed.

Long gone was Bill's carefully crafted veneer of ex-president as global humanitarian and bipartisan senior statesmen. Instead, the Bill of old lost his legendary temper at reporters. He shook his finger. He bent the truth. Always he distorted Obama's record.

Then a funny thing happened. Hillary's liberal audience jeered at the pro-wrestling tactics of the Clinton tag team. The Democratic referees warned the Clintons to stop the eye gauging. Liberal spectators were bewildered not so much at the familiar Clinton knee-in-the-groin, but that it would be turned on one of their own good guys - and a young, soft-spoken and idealistic African-American at that!

Suddenly, "shocked" Democrats cried foul and recalled the tawdry pardons, impeachment and the tainted Clinton of the 1990s - not the rehabilitated Bill who helps tsunami victims and presides over the Clinton Global Initiative.

When the Clintons' return to power crashed into liberal dogmas about race and gender, all sorts of unexpected ironies arose:

Bill, as our first "black" president, had encouraged identity politics among a collective black electorate, so why was he angry that African-Americans might vote collectively for Obama? And had any recent ex-president ever regressed to such nasty character assassination on the campaign trail? As a committed feminist, why was Hillary calling for a male bailout by outsourcing her dirty work to her husband? And whom were we now voting for - Hillary, Bill or some sort of Clinton centaur, her supposedly rational head and torso implanted on his frisky body and legs.

The result of all this has been that while Hillary still polls ahead of the surging Obama in most states, in hypothetical general election polls she runs behind Republican front-runner Sen. John McCain.

End of story?

Hardly. In reaction to McCain's own surge and the Republican windfall, the conservative base went ballistic. Soon a Republican civil war broke out over how best to lose the election.

Despite McCain's 82 percent ranking by the American Conservative Union, and his support for balanced budgets, an end to pork-barrel spending and earmarks, strong support for the war, and expressed regret over once supporting the Bush illegal immigration reform package, McCain was branded by the conservative media as a sellout and a near liberal. Not to mention, he was supposedly too old and hot-tempered to be the Republican nominee. The more McCain was discovered not to be a perfect conservative, the more he was accused of not even being a good one.

Even stranger, the various Republican candidates began invoking Ronald Reagan's three-decade-old tenure as the new litmus test of the times - apparently to show how moderates like the wayward McCain fell far short of the Gipper's true-blue conservatism.

Were conservatives supposed to forget that a maverick Reagan raised some taxes, signed an illegal alien amnesty bill, expanded government, appointed centrist Supreme Court justices, advocated nuclear disarmament, sold arms to Iran and pulled out of Lebanon - but to remember only that John McCain was not for the original Bush tax cuts or once supported the administration's offer of a quasi-amnesty?

The Democratic cat-fighters are doing their best to give away a once-sure general election, but the Republicans seem to be doing even more to ensure that they forfeit the unexpected gift they've been given.

If Hillary Clinton does end up winning her party's nomination, November's vote may hinge on whether moderates and liberals are nauseated enough by the Clintons' brawling and character assassination to cross over and vote for a decorated Republican war hero - that is, if his own flag-waving party doesn't destroy him first.
Victor Davis Hanson is a classicist and historian at the Hoover Institution, Stanford University, and author, most recently, of "A War Like No Other: How the Athenians and Spartans Fought the Peloponnesian War." You can reach him by e-mailing author@victorhanson.com.
Page Printed from: http://www.realclearpolitics.com/articles/2008/01/dems_want_to_lose_but_gop_does.html at January 31, 2008 - 02:49:13 PM CST
 
Aisee Mama is always on point...
Barack sio debater mzuri..yeye nadhani anafanya vizuri na crowds...he's just a motivational speaker
 
Aisee Mama is always on point...
Barack sio debater mzuri..yeye nadhani anafanya vizuri na crowds...he's just a motivational speaker

Mmoja wa hawa debaters anaweza kuwa the next US President, ila hii debate naona hiko boring...
Yeah Barack kwenye debate yuko nyuma.
 
Mimi napingana na nyie Obama amefanya vizuri kwenye hii debate esp part ya mwisho alipombana mama kuhusu suala la Iraq.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…