Its sad..uko kwenye state kama Ohio ambayo ni swing state...mmoja wa mashabiki au IDOL wa kampeni yako "Joe the Plumber" ni mkazi wa hiyo state...halafu unakosa audience kwenye rally yako..mpaka inabidi ulete watoto wadogo wa shule ambao hawatashiriki katika huu uchaguzi ujao.. To me this is a symptom of a trouble..no matter how Foc News, and townhall.com spins it.
Mkuu
Capitol Hill,
Ohio nilihama kitambo na sasa niko Michigan ambako McCain ali-wrap up
his campaign maana we are sooooo bluuuuu!!!!!
Wala hujakosea na hio Obama brand maana jana ma-pundits kwenye TV
walikua wanauliza watamuorodhesha vipi Obama.His commercials have a big
financila input utadhani ana-uza "Air Jordans"...we acha tu!
McCaina ameishiwa hoja na katika mikutano yake kama hamtaji Obama basi
he has nothing to say.Wamejaribu kumbandika kila aina ya lebo huku
wakisahau kwamba politics of fear ziliisha na Dubya.Kwa sasa all we want to
hear ni economy na hio ni corner ambayo McCain ameogopa kabisa kuitaja.
When he talks about the economy he talks about Obama being a socialist.
Wamekubali kua kumita muislamu hailipi and if anything inampotezea McCain
kura za waislamu na madhehebu mengine kibao.
Obama in turn has flipped that socialist label around kwa kuhadithia ile story
ya alipokua mtoto alikua ana-share toys zake na rafikize...kwa hivyo Rethuglicans
watamuita mkomunisti sio?....Hizi kura kiboko aisee.Tusubiri hio Nov 4th na jamani
....bado mapambano yapo.
Lets keep on working in every little way that we can.
Regards.