Capitol Hill
JF-Expert Member
- Oct 19, 2007
- 749
- 48
Sikujua kuwa rally crowds zinamaanisha mtu kashinda uchaguzi.....but I guess to the simple minded it is the case
Nyani by no means big rally means kushinda uchaguzi lakini kama "maelfu" ya watu wako tayari kukaa nje kwenye mvua na baridi kumsikiliza mgombea...tena siku ya Jumanne (siku ya kazi). Wakati huo huo mgombea mwingine ana cancel rally yake na kuamua ku i mvove ndani na bado wahudhuriaji sio wengi. That says much about these 2 nominee.
Ila kwa sababu wewe ni bingwa wa ubishi unaweza ku interprate vyovyote utakavyopenda wewe mkuu.

This is low Nyani....I am sad and I condemn this "chooni" language.
Today in Pennsylvania:
Obama holds a rally outside in the rain, thousands show up to see him despite the weather.
McCain....cancels his outdoor event because nobody would attend, holds one indoors but still the attendance for his closing argument was minimal.
Obantu supporters have nothing better to do than attend his rallies. They obviously don't work for a living otherwise they wouldn't be at his rallies in the middle of the day on a weekday. In summary, they are too lazy to work and are waiting for Obantu to redistribute other people's wealth to them if he gets elected. McCain supporters most likely are too busy working for a living. If you pay attention to the crowds in McCain rallies are usually old retirees and stay at home mothers. Unlike grown men and women you find at Obantu rallies. Rest assured on the election day McCain supporters will come out.
..hivi nyie hamkujua mna discuss issue na mwendawazimu?
Today in Pennsylvania:
Obama holds a rally outside in the rain, thousands show up to see him despite the weather.
McCain....cancels his outdoor event because nobody would attend, holds one indoors but still the attendance for his closing argument was minimal.
You mean Nyani ni mwendawazimu? And I had such high regard for him:-

Jasusi, koba, Capitol Hill, Hofstede, Majita na JF Obama team! Naona we are on steroids za kudumu! Kwikwikwii
Sasa naomba niwakumbushe that last week niliwapa warning kwamba things will get ugly na Nyani pamoja na wafuasi wa Babu Makopo watabadilika na kuwa nasty, hivyo msishange, hata mtu mstaarabu na akili zake anapagawa anapoona chama chake cha GOP kinapormoka.
Wale ambao walikuwa na vision na foresight wamesha-jump ship, wengine kama Romney wamebaki ili kukisafisha chama.
But the GOP HAS TO CLEANSE ITSELF. imeruhusu too much elements of extremism and shallow thought!

Jamani wenzetu wanaposema lazima washinde...wana strategy zao ambazo sio "fair". Naombeni dakika zenu mbili muangalie mashine ya kura ambayo uki click Democratic candidate inarusha na kumpa credit Republican...Hii hapa hii mashine iko West Virginia...Swali: Ni mashine ngapi kama hizi ziko across America?
[media]http://www.youtube.com/watch?v=0Q9NSVUu8nk&eurl=http://www.huffingtonpost.com/2008/10/28/west-virginia-vote-flippi_n_138729.html[/media]