Bill Clinton said black civil rights leaders Andrew Young and John Lewis have defended his wife. "They both said that Hillary was right and the people who attacked her were wrong and that she did not play the race card, but they did," he said.
Clinton said the news media is much tougher on his wife than on Obama. At the end of the exchange, he told the CNN reporter, "Shame on you."
Mimi from the beggining niliona Democrats walifurahi sana na media ika-over hype uwezo wao wa kuchukua WH this year, lakini reality ni kwamba Democrats mwaka huu wana mtihani MGUMU SANA siyo Obama wala HRC. wote wawili wana natural disadvantages ambazo inahitaji miracles kuziovercome!
I bet mtu kama AL Gore angeweza kuwa very appealing (ingawa hard core dems hawajamsamehe kwa kumuavoid Clinton in 2000 election) na wengi hawasemi but most dems wameanza kuona uwezekano wa kupoteza WH unazidi kuwa mkubwa this year , kifupi hawana candidate ambayo yuko cross cutting. Edward ni zero hakuna kitu.
Labda HRC/BO wawe kwenye ticket moja. Iam sure there are dems wanaoona mbali wanaweza kufanya hicho kitu, but hata hiyo haiwapi guarantee ya WH kwa sababu Republicans watawaponda wote vibaya mno (ingawa Clintons nao ni sadist ikija kwenye swala la charactersasination) its sad really. politics za Obama ni nzuri sana, lakini kwa USA when it comes to the issue of presidency, politics of hope inawekwa kwenye capeti.
I tend to believe kama Al Gore angeingia kwenye race, HRC asingegombea, na, well ndizo siasa lakini ukweli unauma sana. Demz mwaka huu wana task kubwa saana, than you might see. na wala tatizo siyo HRC wala BO sema walikosa cross cutting candidate ambaye haatract natural prejudices za binadamu kama race (which is hot in US) Au gender which is really divisive (though people cant publicly admit)
Mkuu YRS,
Ushindi ni mzito na mzuri sana kwa Obama, lakini pia kuna faida na hasara, faida ameshidna, hasara ni kwenye jimbo la weusi wengi, sasa kwenye majimbo mengine ambayo weusi sio wengi itakuwaje? Weupe huko kwingine hawatakumbuka haya?
Othewise ni ushindi saafi ila ulitarajiwa kutokana na wingi wa weusi huko.
Clinton campaign strategists denied any intentional effort to stir the racial debate. But they said they believe the fallout has had the effect of branding Obama as "the black candidate," a tag that could hurt him outside the South.
Wakuu hiii ndiyo my concern, otherwise hongera nyingi kwa Obama, isipokuwa urais bado sana kuufikia, ila ni very interesting race!
Clinton hakusema kuwa King alisaidiwa na rais mweupe; alichosema ni kuwa ndoto ya King isingetimia kama kusingekuwa na rais aliyejua umuhimu wa ndoto ile. Message yake ilikuwa kuhusu umuhimu wa kuwa na rais anayejua mambo; hakuwa na maana ya kumdharau King.
Hili swala la race limetumbukizwa kwenye kampeini hizi na watu wasiohusika na Obama wala Clinton. Unfortunately, Obama alifanya makosa sana kushindwa kuli-control, na akaamua kulitumia indirectly. Alitakiwa achukue lead ya kuliondoa kabisa kwenye mjadala.
Baada ya kuliendeleza, linaweza kupunguza sana nafasi ya democrats kushinda White House. Kwa nini, endapo Obama atateuliwa, kuna hatari kubwa sana watu weupe wasimpigie tena kwa vile atakuwa ameshapakwa rangi ya "Black candidate"
Iwapo Clinton atateuliwa, inawezekana asipigiwe kura na watu weusi ambao ni voting block ya muhimu sana kwa democrats kwa vile ameshapakwa rangi ya "Kudharau watu weusi."
Habari njema zaidi kwa Obama ni kuwa amekuwa endorsed na Calorine Kennedy; sijui kama itasaidia kitu, lakini ni endrsement nzuri.