US Election Coverage 2008


Kerry alitupa medali zake mtoni: fact
Uongo uko wapi hapo?
 
Nani kakwambia wala chew wanaishi midwest tu?

wengi wao ni mid-west na huko kwenu swekeni...........northeast huku hakuna sana hiyo mambo, kwanza watu watakucheka!!. wachache wanao-chew ni wale hardcore baseball fans and wannabes baseballers, vinginevyo, nehiiii!!!.
 
Kerry alitupa medali zake mtoni: fact
Uongo uko wapi hapo?

kwamba hata robo ya 'Nam vets haifiki hesabu ya wale waliom-mind kwa kitendo hicho!! majority ya 'Nam vets walitupa medals zao!! Fact. Ile ilikuwa ni right wing smear campaign, na kosa la Kerry ni kutokujibu mapigo forcefully na kwa wakati....what?? je watu walio-serve na Kerry kwenye boat moja walisemaje wakati ule?? je unajua kwamba kuna 'Nam Vets wanaomlaumu Makopo na issue ya mateka wakati ule?? huwezi ku-please kila mtu...............ile ilikuwa pure politcs za smear.

sasa aliyetupa medals kwenye charles river na yule aliye-dodge kwenda vitani nani ni bora?? matokeo yake ndio haya, ati ame-give up golf ilikuwa kuwa sawa na wale wanaoomboleza the war deads!!! miujiza...
 

No, kosa la Kerry lilikuwa flip-flopping. He voted for it before he voted against it.....classic line....Lol
 
No, kosa la Kerry lilikuwa flip-flopping. He voted for it before he voted against it.....classic line....Lol

ni classic line yenye kupendeza kwa watu kama wewe wanaozimia mipasho..........ukweli ni kwamba tokana na dataz alizokuwa nazo/ kupewa wakati wa ile kura, ilibidi a-vote yes!! baada ya kupata facts zote na kugundua kwamba, awali walikuwa wamedanganywa jamaa akaamua kusema NO!! sasa hapo flip flopping iwapi? kwahiyo ukigundua kosa, na kama ukiamua kulikosoa...basi unakuwa ni flip flopper!!?? kaaazi kweli kweli.

kwani ni nini hasa kisa cha Powell kutema u-secretary of state?? naye pia ni flip flopper?? acha bangi bana...kuwa serious kidogo.
 

Kwa Marekani ni jambo la kawaida kabisa kwa mawaziri kukaa madarakani kwa muhula mmoja. Mbona Warren Chrostopher alikaa kwa muhula mmoja? Leo huna points kabisa. Huna hela ya gongo nini...? Kwa nini usiende pale hospitalini unapofanyia kazi ukaibe spirit...?
 
Stay tuned for shock and awe.....
McCain all the way...
Hivi unajua historia ya huyu bwana...? Hakuna fighter kama McCain.....google story yake ya Vietnam

Kwani mimi naongela u-fighter kwenye vita, siasa. Ingekuwa ni vita mbona ingebidi wote wajitoe wampishe MacCain!
 
Kwani mimi naongela u-fighter kwenye vita, siasa. Ingekuwa ni vita mbona ingebidi wote wajitoe wampishe MacCain!

My friend, the same spirit (fighter, warrior) carries over to everything you do in your life including politics.
 
 
Hahahahaha...umenikumbusha mbali sana mwanangu! Nilipoanza college jamaa walinipa chew nikaijaribu....hahahahaha.....I can't say what happened next.

Kuhusu Novemba, nadhani wote tunaweza kusubiri, sio?

Tungo tata hiyo mkuu!!! angalia wavimba macho wasianze kuianalyze isivyo.
 
 
..Icadon,
mkulu hongera kwa kufikisha mabandiko 2000!!!!!!!! hongera nyingi...

Ebanae duh!!! hii kitu nilishaacha kuiangalia(number ya posts) Ahsante sana mkuu...NN weekend ulienda Mulligan's(I hope sijakosea jina) maana naona ulikuwa MIA kwa muda. Kuna mtu mmoja alikwua anauliza Lieberman atakuwa anamsaidia McCain kujibu maswali magumu?
 

Aaah nilikuwa sehemu sehemu (undisclosed location) bana...si unajua tena
 
Kaanzishe thread ya hongera basi...hata wewe unaweza au ubrazameni umekuzidi na unaona noma...Lol

...duh, mbona mihasira bwelele namna hiyo? kama ulipewa 'wrong number,' hiyo ni shida yako!! bwahahahahahahaha
 
Haya maswala ya wrong number nilishawahi kupewa kanyaboya mpaka leo nikikumbuka uwa nacheka sana....

I hope huyu muungwana atasaidia kwenye maswala ushauri wa uchumi.
Mon May 19, 2008 at 10:22:55 AM PDT

Warren Buffett, the "Oracle of Omaha" (or "Sage of Omaha", take your pick), has endorsed Barack Obama for President.

In Frankfurt, Germany, today, billionaire Warren Buffett announced his support for Senator Barack Obama for President of the United States. He said that he offered support to both Senator Clinton and Senator Obama, but because it appeared that Obama would win the Democratic nomination, he is endorsing Senator Obama.

"I will be very happy if he is elected President. He is my choice."

Although many of the super-rich choose to align themselves with Republicans, Buffett, head of Berkshire Hathaway, has been a supporter of Democrats. He was one of Sen. John Kerry's economic advisors during his 2004 presidential run.

Buffett thinks the dollar will continue to weaken:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…