Ngabu hakuna lolote...Huyo mtu mzima akiwa hapo hapo nyumbani kwake hasemi lolote na najua kavurunda...Anasubiri hadi asafiri nusu ya dunia ili akaseme sio....Uchaguzi uko hapo US sio Israel. Na hata huyo mshkaji wake Ehud Olmert ana skendo ya rushwa wanayomshikia nayo kidedea.
Na ulisikia kaamua kustop by Saudia ili akaombe msaada wa kuongezewa mafuta, jamaa wamemtolea nje. Wamemwambia hilo ni tatizo lake wao Wasaudia supply yao iko bomba tu, sehemu zote duniani.
Na wenyewe Republican wanasema kama name brand yao ingekuwa chakula cha mbwa, basi tayari ingeshatolewa madukani, imevunda......
Kwikwikwikwi....Heheheeeeya Asusa.
Yeah, Lamu na hata sikutaka kugusia suala lake kuwasema wenzie kuwa wanataka kuongea na magaidi.
yes ana ubabe wa kitoto...kununia watu; na alifikiri utasaidia, wapi!!
Kaongea na Libya hadi Gaddafi akakubali kuachia mizinga yake ichukuliwe ikakae Tennessee. Kaambiwa aongee na Korea ya Kaskazini ili afanikiwe...na kweli kapeleka watu wake wakazungumzie ugomvi ulioko. Kaambiwa aongee na Iran ndo atafanikiwa; anasuasua lakini ndiko anakoelekea, na hadi mawaziri wake wanasema hivyo......Sasa jana sijui ndo kaongea nini mtu mzima yule naye.....Ovyoooo
..najiuliza kama wanasiasa wa tanzania wanajifunza lolote toka kwenye uchaguzi huu.
..kitila?[/QUOTE]
I see tunajifunza sana tena kwa bidii. Yapo mengi tunayochota. Mojawapo ni umuhimu wa kuwa na wagombea wazuri kadhaa ndani ya chama na kuruhusu ushindani wa uhakika ndani ya chama. Hii inakomaza sana wagombea, inawapa nafasi wananchi kuwapima wagombea vya kutosha kabla hawajafanya maamuzi na, muhimu zaidi, inatangaza vizuri sana chama. Vilevile, tunajifunza hapa kwamba mgombea ni muhimu awe na sera na misimamo yake sanjari na sera za chama. Sasa kule kwetu kuna tabia chafu sana ya wagombea, hasa wa CCM, kusema kwamba mimi sina sera, sera ni za chama. Sasa hii ni fake, ndio maana vyama vyetu unakuta havibadiliki japokuwa viongozi wanabadilika kila siku. Again, we are learning the importance of balancing style and substance in politics and the need for a leader to be inspirationally visionary (a lesson particulary from Obama). So, yeah, we are learning a lot from these elections. Nafikiri Zitto anachota zaidi maana yeye yupo hukohuko kipindi hiki.
zitto huyu ziro? zitto kazi yake kukopi na kupaste
..najiuliza kama wanasiasa wa tanzania wanajifunza lolote toka kwenye uchaguzi huu.
..kitila?
Mkuu nipo unajua maboksi yameelemea, nafuu ni wikiendi.ha ha kweli weekend imeanza...
Ebanae Rev za siku nyingi? Umepotea sana au ndio mambo ya ku operate chini kwa chini?
Haya nasikia Insiders wa Billary wanaanza kukubali kuwa she can't win.
Dar Si Lamu,
Niliuliza hili swali mwezi wa January kama si February, nikauliza Watanzania tunajifunza nini kwa huu mchakato mzima wa Uchaguzi wa Marekani, nikajibiwa kwa kebehi sana. go back perhaps about 150 pages, utakuta majibu ya hawa hawa wana mapinduzi wa JF kuhusiana na swali lako.
Rev.Kishoka said:Niliuliza hili swali mwezi wa January kama si February, nikauliza Watanzania tunajifunza nini kwa huu mchakato mzima wa Uchaguzi wa Marekani, nikajibiwa kwa kebehi sana.
..nimejifunza kwamba Barack Obama ameiga toka kwa Jakaya Kikwete kwamba ni muhimu kwa kila kampeni kuwa ni KIBWAGIZO au KAULI MBIU. Kikwete alikuja na ari mpya, kasi mpya, Obama akaja na change--yes we can.
..kupagawisha wapiga kura ni muhimu sana kuliko uzoefu na weledi wa masuala ya kisiasa na kijamii. hili nimelishuhudia kwa Wamarekani na Tanzania[ngazi ya taifa na hata ubunge]
..role of the media.
Mnaweza kuspin na hili as well...Lakini ukweli unabaki jaluo ameiangusha machine ya kina Clinton, Yes the same skinny, inexperienced junior senator from IL.
Michigan and Florida alone can't save Hillary Rodham Clinton's campaign.
Interviews with those considering how to handle the two states' banished convention delegates found little interest in the former first lady's best-case scenario. Her position, part of a formidable
comeback challenge, is that all the delegates be seated in accordance with their disputed primaries.
Even if they were, it wouldn't erase Barack Obama's growing lead in delegates.