...endeleeni kuplay race victim,na wala sijabisha na ninajua racism is well & alive ila to cry baby racism kwenye race kama hii nafikiri ni ujinga wa hali ya juu,unafikiri Obama alivyoingia alikuwa hajui whats coming? tatizo ni pale watu kama nyie mnaanza kulalamika race foul bila evidence yeyote na ndio maana Obama haongelei race katika campaign zake ila ikitokea utasikia,mjomba huku hatukai kulalamika tuu kwa sababu tunafikiria this or that,ikija we'll confront it effectivelly ila sio kuanza kuplay race card victim kwenye campaign kubwa kama hii!
Hebu soma hapa then think again before you dismiss the race factor in American politics.Kwa vile sijui uko wapi,siwezi kukulaumu kwa kuwashangaa wanaodhani race inamkwaza Obama.Any sensitive Black person in the West anaweza kubaini kwamba racism ipo (kwa vile racists wapo) na itaendelea kuwepo.Kwanini Obama halalamiki kuhusu hilo?Well,ili ku-win hearts&minds of middle-of-the-road Whites,he must avoid ishu ya race.Mind you,Blacks ni percentage ndogo tu ya wapiga kura...
Nakubaliana nawe kwamba suala sio kulalamika tu,inabidi ku-confront...je wewe ungekuwa mgombea mweusi katika sehemu ambayo ni predominantly White how would have confronted racist voters?
well,hapa tutabishana mpaka yesu arudi lakini kitu kimoja tunakubaliana racism ipo na Obama hatakiwi kuplay race card maana akianza tuu ujue uchaguzi umekwissha hata kabla vote moja haijapigwa,Kitila ubaguzi upo sana tuu lakini sio kama ule wa miaka ya nyuma,kidogo mambo yanabadilika(naongelea America) maana atleast unaweza uka confront racism legally sio maneno tuu au makelele na sehemu nyingi ina work vizuri tuu,ubaguzi unapungua sio kwa sababu ya morals & sympathy za watu,ni laws zilizopo ndio zinasaidia kuondoa ubaguzi
Sasa kama ubaguzi haupo kwa nini ktk seneti ya na majimbo ya Marekani kuna seneta na gavana mmoja tu mweusi? Hivi unadhani kunakuwaga hakuna weusi wenye sifa wanaogombeaga?
ubaguzi unapungua sio kwa sababu ya morals & sympathy za watu,ni laws zilizopo ndio zinasaidia kuondoa ubaguzi
true indeed; tatizo ni kwamba wanapoenda kupiga kura kinachowaongoza hapo tena sio sheria bali mioyo yao ambayo haifungwi na sheria yeyote. Yaani hapa tunaongea mambo mawili tofauti: wewe unasema ubaguzi hakuna kwa sababu ya sheria-well and good, hiyo tunaita extrinsically influenced not to be racist because of fear for being punished, but the problem is, it is overt behaviours that are punishable. You cannot punish covert behaviours-and unforunately it is these that are more relevant when it comes to voting!
YourNameisMine,
..John Edwards alikuwa runningmate wa John Kerry.
..Since Kerry is from Mass he would have been more helpful if he had endorsed Obama before NH caucas.
..This is HUGE for Obama, and a big snub to Edwards campaign.
..Watch how it is going to be spinned against Hillary Clinton.
..I am very curious who Al Gore is going to endorse.
Al gore na vingunge wengine wa dems are very smart mkuu! lazima wabaki juu ya hizi fray kusudi waangalie who is a likely winner. Kila mtu anapenda kuji-associate na ushindi. Kama Obama akiendeleza hii momentum mpaka Feb 5 Iam sure the powers that be will shower him endorsement. Kwa sasa it is too soon for them maana mama hatabiliki kabisa and they are intelligent enough to know that. Sio wote wanaompenda mama, lakini mkuu, kumbuka siasa ni kulipa fadhila! Kama mtanzania unalijua hili.
Harafu waungwana mi mnisaidie, what is wrong with American press? yaani ilivyomgeuka HRC mpaka naona kama cinema. Do you think the turn of Obama will come? Iam afraid iko siku wanaomsifia leo watamfanyia kitu mbaya. But what Iam sure of ni kwamba kama Obama akiface barrage za mama anazokutana nazo, sidhani kama ata survive. Press ya US ina influence kubwa sana katika kushape mawazo ya watu.
Mzee Joka,
Al Gore atachelewa kidogo kujimwaga ukumbini, lakini wakti ukifika atamwi-endorse Obama!!! Gore na Clintons wana bonge la beef......the clintons, are terrible human beings if and only if you studied 'em closely.
Lose ya Obama in NH ina mambo mengi sana, including kujilizaliza kwa bibie, some pple became anti-media na kuamua kuwa-defiance. Kuna wanaosema kisogezwa(takriban wk 3 mbele) ya uchaguzi kumefanya Obama kushindwa. This is true because, UNH in Durham and other colleges kama vile in Exeter zilikuwa bado zimefungwa na wanafunzi/professors wapo out of town, mind you kwamba hizi ndio zilikuwa strongholds za Obama na potential voters kama 8000!!!!.............so mapambano bado yanaendelea. Argument ya ubaguzi ni weak kinomanoma yaani, kwani in NH population ya minorities ni less than 3 per ilihali wengi ni immigrants wa kisomali na sudan ambao si voters. Now hizo asilimia 36 za kura Obama kazipata wapi???
Ngabu,
Ubaguzi upo, lakini ni muhimu sana kuwa positive na ku-ignore hiyo fact. Mie naamini wakisubiri mpaka apate nomination itakuwa too late..........wazungu wengi hasa wasomi wanaona hii ni opportunity ya ku-turn page to a new chapter in racial relations na mambo mengine in America. Plus Obama si Jesse au Sharpton, is a man of great talents na wewe mwenyewe (ngabu) unajua kwamba wazungu, regardless huwa wana-appreciate kama kweli unajua/kuweza jambo!!.
Mzee Joka,
Al Gore atachelewa kidogo kujimwaga ukumbini, lakini wakti ukifika atamwi-endorse Obama!!! Gore na Clintons wana bonge la beef......the clintons, are terrible human beings if and only if you studied 'em closely.
Mzee Joka,
the clintons, are terrible human beings if and only if you studied 'em closely.