Shaibu Hiwalisi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 603
- 582
Uingereza, ufaransa na vibaraka wengine waliingilia kati upande wa US kumsaidia kumdhibiti china, maana mkubwa alikuwa anaaibishwa vibaya mno. China akaona hamna sababu ya kuendelea tena kuwaangamiza hao mashoga, kwakua eneo lote la north hermit empire ilikuwa ishakombolewa.Pia jiulize hao wanajeshi wa China walikua wangapi ukilinganisha na wa Marekani?!
Na hapo ndo waliishia pale DMZ wakati US alianzisha kichapo tangu vijijini huko South korea wakaja Seoul wakakamata Pyongyang mpaka vijijini huko kichapo kilitembezwa. Cheza na US wewe
Ile haikuwa meli vita,bali meli ya kichunguzi. Kuna tofauti kubwa sabaVipi na ile manowari ya Urusi iliyogongana na meli ya mizigo mapema mwaka huu na ikazama, nayo ilidukuliwa nini?!.
Nani kakwambia NK yupo top ten kwa ubora wa kijeshi?!
Na akina India,Pakistan, UK, German, France wawe namba ngapi?!
Kama Marekani iliingia Pakistan na kujam rada zao na kumuua Osama bila Pakistan kujua sembuse NK. Then fananisha Pakistan na nk nadhan jibu unalo.
Hizo ICBM Marekani anayo mitambo ya kuzitungua kabla hata hazijafika hata Guam, jiulize NK ana mitambo ya kuzuia ICBMs za Marekani?!
Asante mkuu. Ubarikiwe.
Hayo matoi yanapendeza kwenye movieAsee huyu mnyama achana nae kabisa
Na huyu Babu yao
Wamarekani wenyewe wanamuelewa kiduku kuwa mtu Wa matendo.
Ila hawa wamarekani weusi ndio wabishi.
Wale mashoga hawathubutu kuingiza miguu yao NKtrump hata siku moja hawezi kutia pua korea hizo ni mbwembwe tu, kiduku sio wa kuchezea
kina bill clinton wenyewe walishindwa
Ungetafakari vizuri kule Sirya wala ungeandika tofautiTalking is cheap.. Tokea umezaliwa hadi leo hii ulishasikia na kuona wapi U.S akianza kuigonga nchi yoyote kuna mtu atajaribu kuisaidia nchi inayopigwa..? Tumeona kila mahali from Iraq, Afghanistan, Libya hakuna aliyetia mguu kuisaidia.. So acha kuwaza ujinga eti NK itasaidiwa.. Nasema kipigo kitakatifu kikianza, no one WILL EVER STEP IN TO ASSIST NK... Kiduku will face FURY and FIRE the World has never seen..!! Subiria kipigo hujawahi ona maisha yako yote NK atakachofanyiwa..!!
Tumesha waambia warushe hata jiwe mkuuWale mashoga hawathubutu kuingiza miguu yao NK
Kwanini alirudishwa nyuma na mchina?[emoji23] [emoji23] [emoji23] historia ya wapi hiyo mkuu, embu leta hata source tuone.
Hivi hujui vita vya Korea marekani ilipiga mabomu Pyongyang yote ile mpaka wakawa wanaripoti kwamba hakuna cha kulipua tena mji wote upo udongoni.
Marekani ilirusha mabomu tani 650,000 kwenye ile vita zaidi ya mabomu yote iliyorusha kwenye vita vya pili vya dunia ambayo yalikua tani laki nne na kitu.
Theluthi ya raia wa NK waliuawa, zaidi ya watu milioni 3 waliuawa. Marekani ilibakisha sehemu ndogo tu iichukue Korea yote ile. Huyo mchina kaja kuingilia kipindi NK kashakula kichapo cha mbwa mwizi ndo majeshi ya US yakarudishwa nyuma hadi pale mpakani (DMZ). Unadhan Kim kung'ang'ania nukes ni mjinga?!,anawajua Marekani vilivyo...
Wakati wa vita vya Korea NK ilikua ishateka Korea kusini yote ikibakiza kisehemu kidogo tu iichukue SK yote, ndipo Marekani akaingia mzima mzima kumtandika NK kuanzia SK mpaka kwake tena chumbani kabisa kuanzia Pyongyang mpaka vijijini kabisa huko. Usicheze na Marekani ww... Hata vita sasa hv vikizuka huyo mchina atakuja kuingilia baadae kipindi dogo yuko hoi taabani ili kuokoa jahazi maaana mchina mwenyewe anajua shughuli ya Marekani.
hatuogopi kitu hilo simba zee halina meno wala kucha[emoji3] mnaanza kuogopa?!
Haya sasa Dege hiloo lisharuka! [emoji28]
kwani amekwambia makombora anayoyatengeneza ni msaada toka iran au china,yeye anakomaa kivyakeWalio nyuma ya kiduku wengi wanafiki kama yeye mwenyewe akishindwa kusimama basi atapata msaada akiwa ameshazidiwa Sana na msaada wa kinafiki tuache porojo Russia na China Iran Nani wamewai kumsaidia mwanzo mwisho hizo nchi ni wanifiki Sana Wana urafiki wa kinafiki kinafiki kiduku ajiimalishe yeye kama yeye sio hao wanafiki
Unadhani meli ya kiuchunguzi haina rada za maaana, embu nenda kaigoogle halafu ulete mrejeshoIle haikuwa meli vita,bali meli ya kichunguzi. Kuna tofauti kubwa saba
Ungeweka hapa tuone. Ile inakuwa na mawasiliano zaidiUnadhani meli ya kiuchunguzi haina rada za maaana, embu nenda kaigoogle halafu ulete mrejesho
[emoji23] [emoji23] eti jibu la kijuma pili jumapili[emoji119]Saaante! [emoji106]
Nimependa hili jibu la kijuma pili jumapili! [emoji4]
Watu kama hao wafata mkumbo tuuUngetafakari vizuri kule Sirya wala ungeandika tofauti
Lina nguruma tuuhatuogopi kitu hilo simba zee halina meno wala kucha
Ulishawahi kupiga.... Acha utapeliJIPATIE ELA YA UGALI HAPA: Viewing payed advertising sites vbmoney.site - Welcome!. NI RAHISI SANA JIUNGE FUATA MAELEKEZO UANZE KUPIGA ELA